Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahsante, tushapoa.poleni kwa matatizo
Mimi Shabiki lia lia wa Kifamba ya Igoma - Mbeya.Mbeya City shabiki liamia nipo hapa.
Mpaka nimeikumbuka Ile.Land Rover 109 ya Mzee Kifwamba. Mchezaji namba saba wa timu yakeπMimi Shabiki lia lia wa Kifamba ya Igoma - Mbeya.
Bonge la mtu hivi na nyama uzembe kama zote! Ilikuwa lazima yeye awepo kwenye line-up bila ya hivyo mechi haichezwi.Mpaka nimeikumbuka Ile.Land Rover 109 ya Mzee Kifwamba. Mchezaji namba saba wa timu yakeπ
Mahasimu wao wakubwa walikuwa Town Stars timu ya Soko Matola. Juma Ahmad akitokea Town Stars kabla hajajiunga na Tukuyu Stars kisha akaenda Mecco na kurudi Tena Tukuyu StarsBonge la mtu hivi na nyama uzembe kama zote! Ilikuwa lazima yeye awepo kwenye line-up bila ya hivyo mechi haichezwi.
MECCO kwa akina Kasabalala na mgari wao wa Kirusi mbele umeandikwa KAMAZ.Mahasimu wao wakubwa walikuwa Town Stars timu ya Soko Matola. Juma Ahmad akitokea Town Stars kabla hajajiunga na Tukuyu Stars kisha akaenda Mecco na kurudi Tena Tukuyu Stars
Mahasimu wao wakubwa walikuwa Town Stars timu ya Soko Matola. Juma Ahmad akitokea Town Stars kabla hajajiunga na Tukuyu Stars kisha akaenda Mecco na kurudi Tena Tukuyu Stars
MECCO kwa akina Kasabalala na mgari wao wa Kirusi mbele umeandikwa KAMAZ.
Kunusulika ndy nn?Simba leo imenusulika
ulizani simba inaweza kutia aibu taifa kirahisi hivyo kama nyir uto mlivyochapwa nje ndani na rivers unitedSimba leo imenusurika
ππππUkitaka kuwajua huyu ni timu gani pitia post zao ukiona malalamiko, chuki jua ni utopolo zile zilizoenda shule ni simba