Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Wewe ulijimwagia ndio maanaSema niliruka na huu ushauri nikaagiza hiyo kitu kwa Emat asee, kwangu mimi ni miongoni mwa worst products nilizowahi tumia. Nikifungua tu kifuniko napiga chafya kabla ya kujipulizia.
Pesa yangu iliteketea bure wife alijaribu nae katoka nduki imebaki kama pambo tu kabatini. Mara mia zile product za Syria
Sijui, lakini inanukia vizuri sana.Pink Sugar naweza kupuliza mimi mwanaume?
Waungwana na wataalam humu ndani, ni kwa muda mrefu sasa nimekua nkitafuta perfume inaitwa "dior homme intense". Natafuta zile oil based zake kwanza maana kibubu ni bubu kweli siwezi kuruka na bififte tuu a.k.a laki 5 ya ile box.
Kwa mwenye kujua wapi ntapata, natanguliza shukrani mingi.
Tupe matokeo?bro hii nishapita nayo tayar, nipatie mchanganyo mwingne wa manukato nipite nao
Light Blue 200mil inauzwa ZAR 3710 approx 540,000 TZS , kuna mshikaji anakuja na ndege ya usiku ile, kama unahitaji...
Invictus kakosa...
Ila kwa ushauri, bei za perfume SA ni ghali kidogo kuliko hata TZ...
Mkuu Watu8 kwa hii ninaweza niliona 540k nikarudi nyuma kidogoπ ngoja nije inbox naona kwa hii itakuwa ni kama 165k hiviRevolution mzigo ulikuja lakini naona response yako imekuwa slow ndio maana niliagiza 50mils tu, nitautumia tu mwenyewe...
View attachment 3040538
View attachment 3040557
Mkuu Watu8 kwa hii ninaweza niliona 540k nikarudi nyuma kidogoπ ngoja nije inbox naona kwa hii itakuwa ni kama 165k hivi
Hapa patam sasa mumenigusa penyewe,mimi ni mmoja kati ya mteja mzuri toka kaanza kule makumbusho,alikua na package mbovu sana ila juice super A+..hata ofisini ilikua ndogo na mbaya.Emat perfume zake kali, sio uongo.
Yan uwa napulizia nguo, naingia kuoga. Mpaka nitoke imekaa moderate.
Syria perfume baba lao, nimetumia pink sugar yao aisee ni kunukia utamu tu
Hapa patam sasa mumenigusa penyewe,mimi ni mmoja kati ya mteja mzuri toka kaanza kule makumbusho,alikua na package mbovu sana ila juice super A+..hata ofisini ilikua ndogo na mbaya.
Nunua utatuletea mrejesho.Alianza kabla ya pale Makumbusho, kabla alikuwa anafanya delivery na boda yeye mwenyewe, naona sasa kafika mbali...
Kuhusu quality yake sijui kwa sasa ipoje, ingawaje hizo oil perfume mimi huwa naona zote zinafanana tu...
safi,fanya hivyoNikipata hela naenda kwa huyo Emascent kuchukua perfume za kupima zifuatazo:
Jumla haitozidi 70,000/=
- Black Opium
- Lacoste White
- Bleu de Chanel
Nitadumu nazo mwaka mzima.
Kwa kuanzia mimi nianze na ipi? Nina F ya manukato.Nikipata hela naenda kwa huyo Emascent kuchukua perfume za kupima zifuatazo:
Jumla haitozidi 70,000/=
- Black Opium
- Lacoste White
- Bleu de Chanel
Nitadumu nazo mwaka mzima.
Tatizo utashangaa Laki 2first time to use Bvlgari, and i've gone for the Rain Essence...hii makitu ni dope!!!
View attachment 3102395
Tatizo utashangaa Laki 2
Ahahaha dah.Naam, bei imesimama kwenye 390,000 TZS...
Pesa ikiwa kiduchu wasyria, oil na tester za Dubai zipo mzee baba, ndio uzuri wa Bongo ππ
Ahahaha dah.
Sahivi bado najitafuta mzee, nitatafuta usiozidi 35k kwanza.