Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

hichi kidude ni 50ml nadhani ni kama laki, kina unyama balaa, sinaga kazi mbovu.. pima pima bhasi tena.. now natembelea original.

List yangu ya 2025 zote OG

1-Issey miyake-hii natafuta sample kwanza
2-Black opium-najua ni ya kike ila namix na
3-Cool water
4-Alpha male
5-perfect hunter
6-club de nuit
7- baccarat rouge 540.. sema hii bei ya moto
 
Kuna xerjof erba pura
 
Hii Cool Water ni ile David Off?
 
So mkuu kati ya David Off Cool Water na hii una-prefer ipi zaidi?kwa maoni yako unadhani ipi ingekuwa chaguo lako zaidi kama umewahi kuzitumia zote!View attachment 3182031
Mijake ina unyama mwingi, kuna bro mmoja aliwwahi tumia hii. Siku ya kwanza kuvuta harufu yake, nikajikuta tu nimetoka nje kuifuata harufu.
 
Issey Miyake ni all time classic. D cool water ya kawaida sana. Nimeimaliza juzi juzi sinunui tena.
Sure mkuu.

Ni aina gani nyengine una-recommend kwa bajeti isizidi 150K kwa opti mbili kununua hapa hapa au kuagiza?nataka angalao kuwa nazo mbili zenye kiwango.
 
Perfume hii naweza ipata wapi wauzaji mnipe na bei yenu
 

Attachments

  • IMG_20230621_213542.jpg
    367.2 KB · Views: 12
mambo vipi mkuu, ushalipata chimbo jipya la uhakika unijuze
 
vipi bro,ulifanikiwa kuichukua hiyo bleu de chanel? nipe feedback yake
 
Yara pink ni nzuriii. Ila haikai muda mrefu 🥹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…