Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
Bei hujaweka pia inapatikana wp?
 
Hivi zile lovilea ziliishia wap khaaa tunatoka mbali [emoji23][emoji23][emoji23] iko na harufu nzuuuri
 
Watu wanaotumia neno "huwaga" hawawezi kuelewa hayo mambo.

Hawajajua hata Kiswahili bado, watajua collection ya cologne ni kitu gani?

Cologne haitibu kikwapa. Na mimi nipo kwenye full kiyoyozi karibu muda wote.

Nyingi ni relative tu. Unapoona nyingi mwingine ataona huu msingi tu.Hiyo ni collection. Inakua organically.

Hilo bafu la juu tu ushaona nyingi. Nikiweka na za bafu la chini je?

Unaelewa maana ya collection?

Acha vijembe katika vitu usivyoelewa.
Du mie hayo machupa yakiisha niwekee. Utani .... hakuna asiependa maisha mazuri ni basi MUNGU humpa amtakae. KILA LA HERI.
 
Natumaini umesema "mungu" figuratively.
Kiranga Nadhani Watu hawajakuelewa labda, au mimi ndio sijakuelewa, mi nadhani huwa unaishi kulingana na uwezo wako, haujibanibani.... If Am not mistake
 
Back
Top Bottom