Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gucci blackKuna perfume nyingine ukijipulizia unakuwa unanukia hela hela tu... Nazitafuta saana hizo
Naomba kamoja
Kamoja hakakutoshi. Wewe unafaa kupata zaidi mpaka majogoo.Naomba kamoja
Yeeeey.... Am waiting[emoji4]Kamoja hakakutoshi. Wewe unafaa kupata zaidi mpaka majogoo.
Bei hujaweka pia inapatikana wp?Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
Ukizipata mkuu nijulisheKuna perfume nyingine ukijipulizia unakuwa unanukia hela hela tu... Nazitafuta saana hizo
Utakuja kupewa pafyum za kigei shauri yakoUkizipata mkuu nijulishe
Du mie hayo machupa yakiisha niwekee. Utani .... hakuna asiependa maisha mazuri ni basi MUNGU humpa amtakae. KILA LA HERI.Watu wanaotumia neno "huwaga" hawawezi kuelewa hayo mambo.
Hawajajua hata Kiswahili bado, watajua collection ya cologne ni kitu gani?
Cologne haitibu kikwapa. Na mimi nipo kwenye full kiyoyozi karibu muda wote.
Nyingi ni relative tu. Unapoona nyingi mwingine ataona huu msingi tu.Hiyo ni collection. Inakua organically.
Hilo bafu la juu tu ushaona nyingi. Nikiweka na za bafu la chini je?
Unaelewa maana ya collection?
Acha vijembe katika vitu usivyoelewa.
Natumaini umesema "mungu" figuratively.Du mie hayo machupa yakiisha niwekee. Utani .... hakuna asiependa maisha mazuri ni basi MUNGU humpa amtakae. KILA LA HERI.
mmmh unataka utumie spray za kiume???Ukizipata mkuu nijulishe
Kiranga Nadhani Watu hawajakuelewa labda, au mimi ndio sijakuelewa, mi nadhani huwa unaishi kulingana na uwezo wako, haujibanibani.... If Am not mistakeNatumaini umesema "mungu" figuratively.
hahahaha ameikataa uliyompelekeaNimeghairi...
mkuu sasa hii ndo body spray na perfumeMafuta ya nazi shs.600
Hana jeuri ya kukataahahahaha ameikataa uliyompelekea
Hivyo vingereza wengine hatuelewi nia yangu ilikua nzuri umepewa kitumie hakuna jingine ndugu.Natumaini umesema "mungu" figuratively.