Firdaus9
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,196
- 2,797
Huyu emat sikuiz kuna baadhi anachakachua vipi hiyo inakaa ?Bitter peach clone labda,original mkasi View attachment 2580340
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu emat sikuiz kuna baadhi anachakachua vipi hiyo inakaa ?Bitter peach clone labda,original mkasi View attachment 2580340
Bei yake?Inaitwa weka mbali na warembo
Kumalizika ni matumizi yako dear, huenda unajipulizia nyingi , ama spray tube inamwaga nyingi, na pia unaweza nunua yenye harufu kali kiasi ili uspray kidogo sana itakaa zaidi ,, pia jitahidi kununua walau mbili kuendelea zitadumu zaidi mie nanunua kuanzia 6 napata kwa bei ya jumla so nakuwa nazo nyingi na pia nasave pesa kwa kununua bei ya jumlaNadhani umenielewa tofauti Mkuu.
Siyo kuisha mwilini,
Kuisha yaani kumalizika.
Wazo zuriKumalizika ni matumizi yako dear, huenda unajipulizia nyingi , ama spray tube inamwaga nyingi, na pia unaweza nunua yenye harufu kali kiasi ili uspray kidogo sana itakaa zaidi ,, pia jitahidi kununua walau mbili kuendelea zitadumu zaidi mie nanunua kuanzia 6 napata kwa bei ya jumla so nakuwa nazo nyingi na pia nasave pesa kwa kununua bei ya jumla
Huyu emat sikuiz kuna baadhi anachakachua vipi hiyo inakaa ?
Kama umewahi kutumia hii either original au hata ya kupima, nipe ushuhuda vipi ina unyama au ya kawaida tu?
Kama umewahi kutumia hii either original au hata ya kupima, nipe ushuhuda vipi ina unyama au ya kawaida tu?View attachment 2587364
Hii unayoizungumzia ninipi ?? SorryHiyo inauzwa laki na ishirini kwa bei za kujuana madukan ukiikuta ni laki na nusu lakin ipo vizuri sana tena sana ukiipulizia hadi nguo ikifuliwa ikaanikwa bado inanukia
Iko fresh na inakaa sana...Kama umewahi kutumia hii either original au hata ya kupima, nipe ushuhuda vipi ina unyama au ya kawaida tu?View attachment 2587364
Ahsante kwa maoniNilichogundua ukiwa huna hela ..unakua na wasiwasi sana na bidhaa unayonunua
KAma hela ipo nyingi nunua utumie utapata uzoefu huko huko
mawazo ya watu muda mwingine sio ya kufatwa
kitu kizuri kwa mwingine kwako kinaweza kisiwe kizuri
Yakike nunua feelingsWekeni na body spry zinazo nukia muda mrefu
Dolby sh ngapi ?Nina perfume ya dark fever ila nina kama wiki Natumia body spray ya Dolby nashangaa leo nimepata complimemt toka kwa mdada anaeuza supermarket kwamba spray yangu nzuri
5k chiefDolby sh ngapi ?
Chupa hii ni 5k, wapi umenunua?. Najua sehemu nyingi ni 7k.5k chief