Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Nadhani umenielewa tofauti Mkuu.
Siyo kuisha mwilini,
Kuisha yaani kumalizika.
Kumalizika ni matumizi yako dear, huenda unajipulizia nyingi , ama spray tube inamwaga nyingi, na pia unaweza nunua yenye harufu kali kiasi ili uspray kidogo sana itakaa zaidi ,, pia jitahidi kununua walau mbili kuendelea zitadumu zaidi mie nanunua kuanzia 6 napata kwa bei ya jumla so nakuwa nazo nyingi na pia nasave pesa kwa kununua bei ya jumla
 
Wazo zuri
 
Available, 30,000/=
 
Attachments

  • IMG-20230411-WA0023.jpg
    IMG-20230411-WA0023.jpg
    145 KB · Views: 50
  • IMG-20230411-WA0031.jpg
    IMG-20230411-WA0031.jpg
    82.3 KB · Views: 39
  • IMG-20230411-WA0022.jpg
    IMG-20230411-WA0022.jpg
    162.1 KB · Views: 43
  • IMG-20230411-WA0018.jpg
    IMG-20230411-WA0018.jpg
    134.3 KB · Views: 45
  • IMG-20230411-WA0011.jpg
    IMG-20230411-WA0011.jpg
    146.7 KB · Views: 43
Nilichogundua ukiwa huna hela ..unakua na wasiwasi sana na bidhaa unayonunua
KAma hela ipo nyingi nunua utumie utapata uzoefu huko huko
mawazo ya watu muda mwingine sio ya kufatwa
kitu kizuri kwa mwingine kwako kinaweza kisiwe kizuri
Kama umewahi kutumia hii either original au hata ya kupima, nipe ushuhuda vipi ina unyama au ya kawaida tu?

Kama umewahi kutumia hii either original au hata ya kupima, nipe ushuhuda vipi ina unyama au ya kawaida tu?View attachment 2587364
 
Ambae amewahi iona hii au itumia hii naomba anipe ushuhuda,ikoje kwa bongo inapatikana wapi?? Kwa sh ngapi? Nk pliz
 
Attachments

  • IMG_20230325_143632_577.jpg
    IMG_20230325_143632_577.jpg
    614.2 KB · Views: 46
Nilichogundua ukiwa huna hela ..unakua na wasiwasi sana na bidhaa unayonunua
KAma hela ipo nyingi nunua utumie utapata uzoefu huko huko
mawazo ya watu muda mwingine sio ya kufatwa
kitu kizuri kwa mwingine kwako kinaweza kisiwe kizuri
Ahsante kwa maoni
 
Nina perfume ya dark fever ila nina kama wiki Natumia body spray ya Dolby nashangaa leo nimepata complimemt toka kwa mdada anaeuza supermarket kwamba spray yangu nzuri
 
Back
Top Bottom