Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

samaki wa baharini ndio ugonjwa wangu #maji chumvi, pweza ngisi chuchunge kibua dagaa mchele
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________

None of the above
 
Nguva yule mwenye umbo kama la mwanamke ni mtamu balaa zitoo
 
mkuu sasa nipo China, samaki wale ni wa kawaida kwetu. nafikiri Tanzania yana maduka mengi ya Chinese ambapo unaweza kutafuta samaki wale.
Si huwa wanasema china mitandao ya kijamii Ni inaccessible Kama insta,fb, sijui hata WhatsApp... Vipi jamiiforum inapatikana fresh tu
 
Si huwa wanasema china mitandao ya kijamii Ni inaccessible Kama insta,fb, sijui hata WhatsApp... Vipi jamiiforum inapatikana fresh tu
hatuwezi kutembea kwenye mitandao ya kigeni kwa kutumia App km: google playstore, facebook, youtube, vimeo ,whatsapp, jf n.k wala tovuti km: google, facebook, youtube, vimeo, twitter n.k lakini tunaweza kutembelea jf kwa browser wala si app
 
Hii Ni hata kwa wageni/foreigners Kama wafanya biashara wanakuja huko china
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________

Ungetuwekea picha tu maana mimi nawafahamu kwa sura ila majina mmhhhh.
 
Back
Top Bottom