Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
- Thread starter
-
- #81
hata wateja wa jamaa wa tofalu mbovu walikua wnaziona nzuri sana kama za mpemba.itakua uchawi w mpemba ushakukumb wewe ndo maana unaziona supa.kumbe za kawaiiida
Asante tunahitaji watu kama nyinyi eti ushindwe biashara kisa uchawi Una muda gani katika hiyo biashara yako na umewahi kumbana na haya ya uchawiUchawi wangu ni yesu tu na kila kitu kinaenda sawa tu nyie tegemeeni wanadam na shetani tu
Biashara paspo uchawi ni sawa kujiangaisha tu zunguka tafuta waganga wa mahanaBiashara bila uchawi haiendi. Anaye fanya biashara bila uchawi anafanya biashara kitoto.
Utamtegemeaje binadamu Mungu kakataza ivo? Na sijawaona cha kutisha katika huo uchawi mtu una flem moja nayo ya kuuza CD fasta kwa mganga duuuh tupunguze huu ujinga Wengi HUMU WAPO KIMUNGU ZAIDI MGANGA HAKUFIKISHI POPOTEBiashara paspo uchawi ni sawa kujiangaisha tu zunguka tafuta waganga wa mahana
Duuuh sasa huko kukatishana tamaa nyinyi wengi mnaosapoti ushirikina hamsali nyinyi maana imewakaa ya uchawiKama una biashara waganga lazima uwajue .
uchawi ni imani kama unavyoamini dini yako au mpagani asieamini mungu..so faida unazo zipata kwenye dini yako ndo mchawi anazipata kwenye uchawi wake.kinachotokea ni usuperior tu wa mtu na imani yake hasa enzi iz i.wahindi wenzetu kuvunja nazi makazini au njiani ni kawaida sn.mtu anafanya kweupeee.ila kwetu usithubutu.[emoji12]hahhaha wewe nawe nahisi upo kwenye chama duuh ndio maana nikasema biashara nyingi kuna uchawi ndani yake WATU ROHO NGUVU NENO LA MUNGU NJE
ngoja niendelee kudadisi maana inashangaza wabongo kuzikumbatia hizi imani kama umo useme faida kubwa unayoipata
uchawi ni imani kama unavyoamini dini yako au mpagani asieamini mungu..so faida unazo zipata kwenye dini yako ndo mchawi anazipata kwenye uchawi wake.kinachotokea ni usuperior tu wa mtu na imani yake hasa enzi iz i.wahindi wenzetu kuvunja nazi makazini au njiani ni kawaida sn.mtu anafanya kweupeee.ila kwetu usithubutu.[emoji12]
Acha hiyo mi nlianza tu kulima bustani sehemu flani hivi() wenyeji wakanishuri niende kwa sangoma kuomba ulinzi wa shamba. Sina hamu mpka leo
kwan we uchawi unauelewaje.?kwa dini yako au imani yako??duuuh ukizisema ivo unazipaisha mkuu hizi tuzitupie kule unapewa masharti kuoga mara moja kwa mwezi unakubali tu HUO NI UTUMWA WA PESA wahindi labda hawa wa bongo nao wanaviiga toka kwetu sidhani kwao kama wamevikumbatia kama tulivo unauza biskuti unawaza zindiko tupoje
kwan we uchawi unauelewaje.?kwa dini yako au imani yako??
mkuuu hii mada kwako inaonekana ngumu sna.kujua haya mambo sio kwamba ni mshiriki ni kupitia uzoefu na kupenda kujifunza vitu tofauti.ebu nkuhulize "unauhakika wachawi na waganga hawaamini ktk mungu??hebu pitia pitia mada za akina mshana jr 'jichawi na wengine utaona wanavyoelezea haya mambo.we hii elimu huna mkuu .uliyonayo haitoshi kutetea hoja zako.unakataa tu kila kilichoa against na wazo lako.hpo hutojifunzamimi nauelewa uchawi kama imani nje ya Mungu maana tumeagizwa tusikiabudu kitu au yeyote nje ya MUNGU WALA KUKITEGEMEA ni amri kuu tuliyoagizwa KO KUMTEGEMEA MGANGA ANIFANIKISHE SIKIAMINI KITU KAMA HICHO NA SIKIPENDI ni nje ya MUNGU lakini wengi ndiko walikoelemea hata wewe pia yaonyesha upo huko
wahindi ni washirikina kwa asili yao na baadhi -baniani- ni washirikina kwa kupitia dini yao ukiikaribia ni kama ya kishetani.duuuh ukizisema ivo unazipaisha mkuu hizi tuzitupie kule unapewa masharti kuoga mara moja kwa mwezi unakubali tu HUO NI UTUMWA WA PESA wahindi labda hawa wa bongo nao wanaviiga toka kwetu sidhani kwao kama wamevikumbatia kama tulivo unauza biskuti unawaza zindiko tupoje
mkuuu hii mada kwako inaonekana ngumu sna.kujua haya mambo sio kwamba ni mshiriki ni kupitia uzoefu na kupenda kujifunza vitu tofauti.ebu nkuhulize "unauhakika wachawi na waganga hawaamini ktk mungu??hebu pitia pitia mada za akina mshana jr 'jichawi na wengine utaona wanavyoelezea haya mambo.we hii elimu huna mkuu .uliyonayo haitoshi kutetea hoja zako.unakataa tu kila kilichoa against na wazo lako.hpo hutojifunza