Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

Mkuu rejea huu msemo"siri ya mafanikio ya mtu ni kichaka"tafakari na uchukue hatua.Nikutakie mafanikio mema
 
tembea vzr n mungu wako uone kama mchaw atasogea kwko mungu ni moto ulao
 
Kinachofanya uchawi uitwe uchawi sio mganga,Bali ni ile imani anayoweka mtu kwamba akienda kwa mganga ndipo atafanikiwa be it ni kwenye biashara au maofisini n.k....na pia binadamu wanakua wepesi kuamini katika uganga sababu ni visible lakini uwepo wa Mungu aliye hai na mwenye nguvu juu ya kila kitu ni invisible.....lakini mwisho wa siku mwenye heri ni mtu yule anayeamini katika uwepo wa nguvu za Mungu katika utendaji wake.
 
Uchawi upo kabisa. Lakini hauna nafasi kwa wanaomwamini Mungu kwa maana dawa ya uchawi ni Yesu kristo kupitia damu ya Yesu na jina la Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…