Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Zuwenna

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
2,133
Reaction score
3,758
Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.

Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!

Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
20241024_162233.jpg

Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.

Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
 
Mimi nimepigwa wiki 3 zilizopita na nikamwambia mtu hii ni COVID ,kumbe na mdogo wangu nae yupo hoi anajitibu anavyojua. Mafua makali sana, kupumua ni kwa shida, mwili unakosa nguvu. Nikachukua tangawizi za kutosha, changanya limao, pilipili mwendokasi, katakata vitunguu, nikaweka kwenye sufuria kubwa nikachemsha vikachemka nikajifukiza, usiku huohuo nikaanza kupumua vizuri na kupata nafuu. Keshokutwa yake nikarudia ndo nikarudi barabarani. Hii kitu imepiga wengi, ila ni kimyakimya haitangazwi na ikikukuta umelegea inakuondoa fasta.
 
Mimi wiki ya 3 na mafua makali Sanaa na tangu jumamosi nimekua naharisha Kama Bata mpaka naogopa

Kwa Sasa mafua yamepungua na kuhara kumepungua Ila Kuna mafua makali Sanaa Sanaa ni BALAA Sanaa nakubaliana na wewe

Pembeni yangu hapa Kuna watu nimekaa nao wanakohoa Sanaa
 
Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!
Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.

Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Hili sio kwako tu
Watu wanaugua Kimya kimya
Na Vifo Vingine hawajajua kua hali hii Inachangia
 
Mimi nimepigwa wiki 3 zilizopita na nikamwambia mtu hii ni COVID ,kumbe na mdogo wangu nae yupo hoi anajitibu anavyojua. Mafua makali sana, kupumua ni kwa shida, mwili unakosa nguvu. Nikachukua tangawizi za kutosha, changanya limao, pilipili mwendokasi, katakata vitunguu, nikaweka kwenye sufuria kubwa nikachemsha vikachemka nikajifukiza, usiku huohuo nikaanza kupumua vizuri na kupata nafuu. Keshokutwa yake nikarudia ndo nikarudi barabarani. Hii kitu imepiga wengi, ila ni kimyakimya haitangazwi na ikikukuta umelegea inakuondoa fasta.
Mimi na group O na siuguagi ovyo ovyo yaan mafua ni BALAA wiki 3 Mimi pia plus kuharisha Kama Bata yaan nilikua kifua kinauma, mafua naishiwa nguvu, loss appetite's

Mpaka nikaogipa Ila now alhamdudilah naendelea vyema mafua Yana ishilia ishilia.
 
Kuna Muda Nilikuwa nakohoa kama Kunamtu Ananichoma na Sindano kifuani na Kooni
Kikohoo kikavu mno
 
Mimi na group O na siuguagi ovyo ovyo yaan mafua ni BALAA wiki 3 Mimi pia plus kuharisha Kama Bata yaan nilikua kifua kinauma, mafua naishiwa nguvu, loss appetite's

Mpaka nikaogipa Ila now alhamdudilah naendelea vyema mafua Yana ishilia ishilia.
Mkuu jaribu dose niliyotumia hata kipindi kile ilisaidia wengi. Kwenye vita huwa hatuchagui silaha, kinachotakiwa ni kupambania uzima. Hata mimi sisumbuliwagi na mafua, naweza kukaa hata miaka 10 au zaidi ila haya ya zamu hii balaa. Nilikuwa naogopa kulala nashindwa kupumua vizuri nilihisi nikifumba macho siamki tena😄
 
Back
Top Bottom