Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Mkuu jaribu dose niliyotumia hata kipindi kile ilisaidia wengi. Kwenye vita huwa hatuchagui silaha, kinachotakiwa ni kupambania uzima. Hata mimi sisumbuliwagi na mafua, naweza kukaa hata miaka 10 au zaidi ila haya ya zamu hii balaa. Nilikuwa naogopa kulala nashindwa kupumua vizuri nilihisi nikifumba macho siamki tena😄
Wejamaa Kila Unacho Kiongea ndio Uhalisia Nilio kuwa nao
Kiukweli Sikuweza Kupata Usingizi kabisa Ukilala Shida
Unafumuka Jasho ukitoka nje Kubaya
 
Mkuu jaribu dose niliyotumia hata kipindi kile ilisaidia wengi. Kwenye vita huwa hatuchagui silaha, kinachotakiwa ni kupambania uzima. Hata mimi sisumbuliwagi na mafua, naweza kukaa hata miaka 10 au zaidi ila haya ya zamu hii balaa. Nilikuwa naogopa kulala nashindwa kupumua vizuri nilihisi nikifumba macho siamki tena😄
Ni kweli mafua ,vifua,kikohozi kwa Sasa imeshika Kasi.
 
Nimetoka kumuuguza mwenzangu kama wiki moja hivi iliyopita, amepona ila yeye ni mfanyakazi wa sekta ya afya, alizidiwa mno. Mafua makali yaliambatana na maumivu ya kichwa yaliyodumu kwa zaidi ya siku tano mfululizo.
 
Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.

Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!

Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244

Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.

Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Pole sana mkuu. Hali ni mbaya sana mtaani lakini serikali ya chifu Hangaya inajitahidi kuficha ukweli.
 
Back
Top Bottom