Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,133
- 3,758
Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!
Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.
Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.