Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Wejamaa Kila Unacho Kiongea ndio Uhalisia Nilio kuwa nao
Kiukweli Sikuweza Kupata Usingizi kabisa Ukilala Shida
Unafumuka Jasho ukitoka nje Kubaya
 
Ni kweli mafua ,vifua,kikohozi kwa Sasa imeshika Kasi.
 
Nimetoka kumuuguza mwenzangu kama wiki moja hivi iliyopita, amepona ila yeye ni mfanyakazi wa sekta ya afya, alizidiwa mno. Mafua makali yaliambatana na maumivu ya kichwa yaliyodumu kwa zaidi ya siku tano mfululizo.
 
Pole sana mkuu. Hali ni mbaya sana mtaani lakini serikali ya chifu Hangaya inajitahidi kuficha ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…