Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Mimi na group O na siuguagi ovyo ovyo yaan mafua ni BALAA wiki 3 Mimi pia plus kuharisha Kama Bata yaan nilikua kifua kinauma, mafua naishiwa nguvu, loss appetite's

Mpaka nikaogipa Ila now alhamdudilah naendelea vyema mafua Yana ishilia ishilia.
Mimi ni O negative..

Huwa nasumbuliwa na allergies tu!

Mara yangu ya mwisho kuumwa ni 2012 tena nilikuwa shule nilipata Malaria. Ila mafua kwangu ni ugonjwa tishio sana!

Hata kabla ya corona huwa naugua kwa wiki 2 mpaka 3.

Nikifanya masihara nalala huku napumua kwa mdomo, kichwa kitauma, miguu inakufa nguvu, napoteza hamu ya kula, joto la mwili huwa juu. Mafua huwa yananipelekesha kweli kweli.

Mafua nayaogopa sana!

Na kingine jua! Jua siliwezi. Nikipigwa na jua kali lile la mchana napata homa. Najisikia vibaya mnoo!
 
Aah. Nilidhani GRIDI YA TAIFA, kumbe CRESTA
 
Hali ya hewa yenyewe ni mbovu kweli, ikifika miezi hii lazima usikie vilio...
Mimi tangu 2019 ikifika hii miezi kuna asilimia kubwa nakimbizwa na mafua. Kuanzia mwezinwa 10, 11 mpaka 12. Hiyo miezi huwa napata mafua makali sana. Mwaka 2019 walishatoa mwongozo kuwa kutokana na hali ya hewa na sababu zingine za kitaalamu. Kama kuna mtu ana waraka wake anaweza akatusaidia.

Waliainisha na miezi husika nayo ni kuanzia mwezi wa 10 mpaka 12.
 
Mkuu tuanzie hapo ulikuwa unaharisha Kama bata
 
Is it Perfume Poisoning Attack attempt?
Are you aware about Asernic Poisoning?

Just investigate!
 
Ni kweli kabisa mkuu,
Kuna jamaa mmoja hapo juu nimemwambia watu wenye group O wanaweza kukaa muda mrefu bila kuugua yeye anabisha anasema Ni story za mitaani ananitajia kua kasoma MUHAS nikaona nimpuuze TU maana ndio busara nilivyo ichagua.

Chunguzi/ tafiti zinaonyesha kua watu wa group O ni vigumu kuugua ugua compared na group zingine za damu

Dunia inaenda mbali Sana wataalam wanafanya chunguzi za IQ ku relate na blood group na imegundulika watu wa group A Wana IQ kubwa Ila Bado chunguzi zinaendelea.
 
Kwa upande wangu nimepitia hali hiyo mpaka nikafifika mahala nikasema heri waliokufa.

Nilibanwa na kifua na pumzi zikawa zinatoka kama filimbi, nilikimbilia hospitali kwa miguu saa nane usiku.

Hii flu kali imekuja na UTI na kifua. Yaani wanatuua huku tunajiona
 
Mimi ni blood group A, lakini naungana nawe kuwa group O ni resistance kwenye maradhi. Hawaugui hovyo.

Anayebisha ni msela wa kijiweni tu hajishughulishi kufanya tafiti
 
Da pole sana
 
Mimi poa imenichapa hii ila mi sikupata mafuanbadala yake nikapata kikohozinkikavu kikali kilivjoambatana na koo kuwasha na vjafya kali kilichodumu kwa zaidi ya wiki na kichwa kuniuma kila siku asubuhi, usiki ni jasho jingi mno kama nimemwagiwa maji, natumia asali kitunguu saumu tangawizi na zecuf saiv kikohozi kimelainika angalau na kimepungua
 

Kuna mtu ameniambia mbio za ile taa zimepeka kule Kirumba
 
Yani covid ni ugonjwa mbaya. Kukiondoa mafia ina smbatana na kukatisha na kukosa hamu ya kula.

Na kweli ikikukuta umdhoofu inaondoka na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…