And that's my sweetheart mwasu...nitainunua mpenzi.Nilikuwa natumia Manji's inakaa vizuri sna nikaona oryx inaweza kuwa bora zaidi, sikufurahishwa na ukaaji wake nikarudi mbio Manji's. Hii kwangu ndio bora zaidi, hao mihan, lake nawaangalia tu wala sina mzuka wa kubadilika tena. Jaribu mpenzi hutojuta.
Aaaaaah wapi wewe? Subiri nijiunge Manji's naona sifa zao zinazidi Orxy...huhuhuhuuu gesi ya taifa!!!
hakianani watulipe. tumewatangaza vya kutosha!!
Tatizo umeongelea kitaalamu sana mkuu.Hapo kuna kitu lazima ukiangalie...,
1.Model ya Jiko lako
2. Rate pressure ya jiko kama jiko lako limezidi 2800Pa.,utabadili sana mitungi ukiamini haijazwi ipasavyo.
3. Ni Gas Consumption ya Jiko lako kiwango kizuri ni chini ya 265g/hrs.,ikizidi hapo ni majanga tupu.
Na hapa ndio unapokuja umakin wa kuchagua jiko liwe na plate ngapi.,Kila plate inauwezo wake wa kula gas..,ni bora pia kununua jiko lenye plate kubwa na ndogo.,ili pale unapolitumia kupikia vitu vinavyohitaji moto wa taratibu au moto kias utumie plate ndogo.
Aiseeeee naona unataka kunishawishi lakini upatikanaji wake ukoje mkuu?Kama unamjua mtu anaefanya kazi TPDC
waulize
wana gesi yao ya mtwara nafuu kuliko zote na safe
wafanyakazi wao hasa wanaoishi nyumba za TPDC mikocheni wanaitumia
Huwa ikitaka kuisha naistukia mapema nanunua kabisa wa emergence maana unaweza kuumbuka walah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo siku yangu imekuwa nzuri sana,I love JF!
Halafu kweli...uzuri sijawahi kuishiwa katikati ya upishi.
Nitaja adhirika hivihivi!
Bora mboga au chochote kile lakini sio ugali...nitafeli.
Aiseeeee naona unataka kunishawishi lakini upatikanaji wake ukoje mkuu?
Maana gas inaweza kuninogea itakapoisha kama ni adimu kitakuwa kimbembe.
Maana nishati kuu niitumiayo ni gas,na ikiisha siwezi kupitisha siku sijanunua tena maana ni shida tupu.
Kama unamjua hata mmoja niunganishe nae pls.
Au kama kuna mfanyakazi wa TPDC aliyeko humu anicheki PM jama [emoji120] ...
Kweli wewe mzoefu,mimi huwa nashtuka imeshapungua nikiitumia kidogo tu inaisha.Huwa ikitaka kuisha naistukia mapema nanunua kabisa wa emergence maana unaweza kuumbuka walah!
Aisee nami nimeshawishika na Manjis, hii ikiisha najaribu Manjis.
Yarabiiiiiii itabidi nipande treni nikawatafute...nitakupa mrejesho mkuu.Pale ubungo linapoishia treni wana kituo chao
anzia hapoo kuuliza
watu wa TPDC kama wanafanya siri
ila Sea Cliff hotel nimesikia pia wanatumia hiyo gas kupikia
Yarabiiiiiii itabidi nipande treni nikawatafute...nitakupa mrejesho mkuu.
Au wapo kwenye majaribio nini?Mbona wanafanya siri?
Hiyo inaonekana itakuwa nzuri.
Maana kibongobongo wakishaanza kupata jina na wateja wengi wanaanza kuchakachua.
Mkuu The Boss acha masikhara bwana...Wewe nenda watu 'wanafaidi kimyakimya'
nasikia inauzwa kilo sh 600 ...wafanyakazi wa TPDC hadi magari yao wameyabadilli
wanatumia hiyo gesi
wanatu enjoy tu sisi wengine
mimi kila siku nasema ntaenda huko nasahau
ukienda wewe utanipa feedback
Uwiiiii umesikia alichokisema?Huko kwa mtwara khaaaah!! Wanauziana kiukoo au!!
Mkuu The Boss acha masikhara bwana...
Kwahiyo mtungi wa kg 15 kuujaza ni 9,000?
Sasa kununua mpya (complete) si utakuwa 20,000 jamani?
Uwiiiiii hebu ngoja niende nikacheki mie.
Hii sijawahi kuisikia kokote!
Usijali mkuu,nitakwenda.Wewe nenda halafu unipe feedback
ukiteremka na treni fuata tu zile reli hadi zinapoanza
kuingia barabarani utaona petrol station
na ina kibao kabisa kituo cha kujaza gesi
ukifika hapo uliza halafu uniambie PM
labda wapandishe tu kiubishi
sababu project ilikuwa ya majaribio kabla haijasambaza kwa wanancho wote
but siku niliyouliza mimi niliambiwa yeyote anaruhusiwa kununua...
Hahaaaa! Hebu kacheki aisee maana hiyo bei ya kutupa.Uwiiiii umesikia alichokisema?
Hebu soma mwenyewe.
Nitaenda kucheki kisha nitawaletea mrejesho.
Mkuu kwani upo wapi mpaka Manjis ziwe adimu?Huku ni Orxy,Mihan,O gas na Lake.
Nyingine ni adimu sana.
Sasa sijui nifanyeje na Manji's ndio hasa lengo langu kwa sasa.
Duh,pole sana mkuu.
Uko sahihi sana mkuu, kila sehemu lazima uikute.Manjis ni kampuni ya Arusha ndo nyumbani kwao hadi vichochoroni wapo,wameenea sana Arusha hakuna kampuni inayowashinda wao kwa Arusha hata hao Oryx kwa Manjis Arusha wanaisoma namba,pia ni wazuri
kwani mitungi yao inajaa wala hawapunji.
Nitakwenda mpenzi,nitawajibu hapahapa mchague kusuka au kunyoa.Hahaaaa! Hebu kacheki aisee maana hiyo bei ya kutupa.
Manji OyeeeeeeeeManjis hana mpinzani