Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Mi mwanzo nilikuwa na jiko la plate 2.
Lina moto mkali sana. Lilikuwa linafaa sana kwa mapishi ya chips.

Nikaona limechakaa kidogo nikaamua ninunue lingine kwa maana ya kuboresha jikoni kwangu.

Nikanunua lenye plate 4.
Yaani moja umeme matatu gas na chini oven. Ndipo niliposhangaa.

Moto ni mdogo sana hata flame zake ni za blue badala ya njano iliyokuwepo kwenye jiko la awali
Lakini nikagundua pia kuwa gas inadumu sana.

Nilinunua pale Mlimani city kuna duka kuuubwa la mawakala wa Hot Point na Sumsung kama sikosei. Manake ni muda kama miaka mitatu ilopita likini halijachunika wala kusumbua.

Na kuhusu kubadilisha mtungi inategemea na mtaji wa muuzaji.
Wenye mitaji midogo huwa hawakubali.
Tena husingizia haiwezekani. Ili ukute tamaa.

Kwasasa natumia Lake gas.
Ni cheap kuliko kampuni zote kwa muda kidogo.

Halafu nimesikia TETESI kuwa oryx ina ubia na Lake. Na kwamba wanataka kuiua oryx ibaki Lake.

Sijui kuna ukweli hapo.
Tujuzane.
 
Maelezo mengine ni kudanganyana huwezi kwenda na mtungi wa oryx wakujazie mihan. Labda kitu unachoweza kufanya ni kuongea na wakala kama anatoa huduma kwa kampuni zote 2 akubadilishie, na hapo inawezekana ukalazimika kubadilisha regulator.
 
Oryx inapatikana sehemu nyngi.
Hao Mihan nasikia ni cheap ila hawajasambaa,mawakala wa Oryx hawakubali mitungi isio yao.
 
Maelezo mengine ni kudanganyana huwezi kwenda na mtungi wa oryx wakujazie mihan maana hata zile regulator ni tofauti. Labda kitu unachoweza kufanya ni kuongea na wakala kama anatoa huduma kwa kampuni zote 2 akubadilishie.

Mkuu tukisema akujazie hatumaanishi unajaziwa pale kama tairi la gari....mitungi inakuwa ishajazwa...unachofanya unaongea na wakala akubadilishie kama atakubali ,mimi binafsi nishabadilisha kutoka orxy nikaomba kupewa mihan na imekubali kukonect na jiko langu...
 
Mimi huku kijijini nilipo hakuna kampuni yoyote ya mitungi ya gesi na pale karibu kabisa pa kupata gesi ni Oryx tu tena kwa bei ya juu zaidi kuliko mijini. Zaidi tunatumia Biogas kama mtu ana mifugo hususani Ng'ombe. Kama una mtaji kidogo tu basi technologia hii unafungiwa bure na wataalam kutoka taasisi fulani fulani za utunzaji mazingira. Na hivyo ndivyo tunavyoishi!!
 
Mihan ndo mpango mzma

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Nafikiri hatujaelewana na masuala ya utumiaji wa gas nayajua japo si kwa kiwango kikubwa. Maana yangu ilikuwa, uwezi kumpa wakala wa oryx mtungi wa mihan akubadilishie/akujazie isipokuwa huyo wakala awe anatoa huduma kwa kampuni zote 2.
 
Nafikiri hatujaelewana na masuala ya utumiaji wa gas nayajua japo si kwa kiwango kikubwa. Maana yangu ilikuwa, uwezi kumpa wakala wa oryx mtungi wa mihan akubadilishie/akujazie isipokuwa huyo wakala awe anatoa huduma kwa kampuni zote 2.

Hicho ndicho kinachomaanishwa, kama ni wakala wa kampuni zote mbili anakubadilishia, mimi nilibadilisha oryx nikapewa mihan....inawezekana kabisa.
 

naomba nijuzwe nini haswa cha kuangalia wakati wa kununua jiko la gesi mana mi nilikuwa najua jiko ni jiko.
 
Kuna gas mpya ya oil com ni gharama nafuu na unaweza kubadilisha na oryx.ni mpya.mm nimenunua nilienda na mtungi wa oryx nikaambiwa upo wa oil com unaweza chukua ni rahisi bt kama ntaona haufai narudi tena kuchukua oryx
 

ila mkuuu mimi najua mi najua matumizi ya gesi si mtungi inategemeana na jiko
 
Kwangu mm mihan n nzur....nimenunua mtung wa kg30 tang mweZ wa 1 mpaka Sasa nadunda na sion dalili ya kuisha mweZ huu wala ujao.....
kama unachemshia chai tu unafikiri utaisha na leo?
 
kama unachemshia chai tu unafikiri utaisha na leo?

Mi Ni mwanamke sishindii chai....napika Mara mbil kwa siku au sometyms once per day.....pia Hayo n matumiz yang so kama hukubalian na mm better ukatoa experience yako ww
 
Mi Ni mwanamke sishindii chai....napika Mara mbil kwa siku au sometyms once per day.....pia Hayo n matumiz yang so kama hukubalian na mm better ukatoa experience yako ww
wacha wewe kwa hiyo unatumia mtungi wa kilo 30 mpaka miezi sita? du wewe mtaalamu kweli kweli. Sawa bwana nimekubali.
 
ukitaka majiko mazuri ya gas nunua aina/ toka kampuni za Geepas,Saachi na zaidi nunua Infrared gas stove za kampuni husika hapo juu.Bei Tsh 140,00-125,000 plate mbili.
 
ukitaka majiko mazuri ya gas nunua aina/ toka kampuni za Geepas,Saachi na zaidi nunua Infrared gas stove za kampuni husika hapo juu.Bei Tsh 140,00-125,000 plate mbili.
Mwaka jana nlinunua jiko la Oryx lenye infrared gas stove ni zuri sana mana hautuimii gas nying kuna mahali uanpunguza gas inatok kidog na hakua kinaiva vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…