Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

Nitambaliki Kila atakae mbaliki islael na nitamlaani Kila atakae mlaani islael. Asema bwana MUNGU wa majeshi
Wee ndio umelewa haswa ile mvinyo wayahudi wa leo kina netanhahu wanapenda kusikia wakristo mumekunywa.
 
Siku zote hatufungamani na upande wowote.
 
God bless Israel...
He will never bless the FAKE ISRAEL. NI MUDA UMEFIKA KWA THE REAL YUDA KUAMKA. ASANTE S. AFRICA..... muda umefika kwa ndugu zetu wengine kurudi nyumbani. Zulu aka Yuda Nguni/Ngoni Tribe aka lawi. Muda WA KUAMKA umefika na hii ni Mwanzo tu. Soon all of us tutaamka usingizini na kuachana na huu utumwa WA kifikra WA kizungu.
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.

Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.

Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.

Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.

Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.

Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.

Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Kila mmoja abebe msalaba wake. Hao wayahudi na wapalestina vita visivyoisha hawawezi kutufanya sisi (huku Afrika)tuache kufikiria ustawi wa watoto wetu tuanze kuwafikiria wao. Hivi waafrika tutaendelea kuwa mazuzu mpaka lini!?
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.

Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.

Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.

Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.

Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.

Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.

Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Umekosea sana Kuwataja Wayahudi na kuwanasibisha na Ukristu. Ungejenga hoja yako vizuri kwa Waisrael wanachowafanyia Wapalestina ungeeleweka! Sasa hoja yako imekuwa ya hovyo kama Kitabu cha Salman Rushdie cha The Satanic Verses!
 
He will never bless the FAKE ISRAEL. NI MUDA UMEFIKA KWA THE REAL YUDA KUAMKA. ASANTE S. AFRICA..... muda umefika kwa ndugu zetu wengine kurudi nyumbani. Zulu aka Yuda Nguni/Ngoni Tribe aka lawi. Muda WA KUAMKA umefika na hii ni Mwanzo tu. Soon all of us tutaamka usingizini na kuachana na huu utumwa WA kifikra WA kizungu.
Sasa Afrika hata ikijitenga yote na hao waisrael kwa uelewa wenu mtaleta impact gani. Mwarabu mwenyewe kuanzia Saudia mpaka Emarati kutwa kucha wanasaini mikataba kurejesha uhusiano na Israel. Nyie watumwa weusi ndiyo mnajifanya mnaguswa sn na yanayowapata wafilistine. Kama filistine anataka amani na Israel aache ushamba kuwatumia Hamas,Mahizbullah na wengine kuvurumisha maroketi kwenda Israel. Wauate meza ya mazungumzo Kama baba yao Arafati,,,vunginevyo watafyekwa wote na wavaa kobaz wa Afrika hawatoweza kuwasaidia!
 
Huwa hawamtukanwi, mnaambiwa ukweli mlivyo, ona hapa mumeua waafrika wenzenu kisa dini ya mwarau mnayemuabudu ambaye bila huruma aligegeda katoto ka miaka 9 Magaidi wenye mlengo wa dini (Boko haram) waua wavuvi Chad
maliza kabisa toa nyongo yako na ile kusema maustadh na mtume wao wameoa wake kumi na nne mbona hujasema, uwanja wako huu kwa kuwa uzi huu unahusisha dini pia,,, so toa dukuduku lako kabisa hapa na naona umeniwekea na link nyingine, sawa nitaingia ,, lengo la kukuita hapa ili utukane kwa kuwa uzi huu hasa ndo wenyewe,,, ila kule kwenye uzi wa vita ya Ukraine/urusi usituletee taaarabu zako hizi, za chuki za maustadh na mashekhe
 
Utakuwa umeshau kumeza dawa zako au zimeisha nenda mirembe kachukue nyingine haraka kabla hali haijawa mbaya!
 
Waisraeli, wayahudi ni watu weusi ambao wengine wachache wamebakia nchini Israel, wapalestina nao pia wamevamia kama hao wasrael weupe katika nchi ambayo siyo yao!
Ngoma drow![emoji13]
 
He will never bless the FAKE ISRAEL. NI MUDA UMEFIKA KWA THE REAL YUDA KUAMKA. ASANTE S. AFRICA..... muda umefika kwa ndugu zetu wengine kurudi nyumbani. Zulu aka Yuda Nguni/Ngoni Tribe aka lawi. Muda WA KUAMKA umefika na hii ni Mwanzo tu. Soon all of us tutaamka usingizini na kuachana na huu utumwa WA kifikra WA kizungu.
Umetaja Zulu na Ngoni, Vipi Makonde! Au ndiyo Ephrahim?
 
Waturuki warudi kwao sasa muda wa kuigiza uisrael umeisha.
 
Sukumagang ndio kitu gani? Acha ujinga wewe. Maridhiano gani wakati mumeingizwa mkenge tu.
Mliingizwa mkenge na Jiwe kwamba kuua watu mnaotafautiana nao kiitikadi ndiyo dili, kafa mmebaki mmedata hamuelewi msimamie wapi. Sukuma gang mnatapatapa sana.
Haya maridhiano unayoyaita mkenge kwa tafsiri yako kiuhalisia mafanikio yake yanaonekana kwa kuwa watu wanafanya siasa kwa uhuru na hakuna animosity baina ya chama tawala na opposition parties, that's all that matters. Hakuna kutungiana mikesi ya uongo ya eti ugaidi kwa sababu tu mna misimamo na mitazamo tofauti kisiasa. Hayo yanayoonekana ni ndiyo proof ya reconciliation.
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi afrika ya kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kua mahudiano ya kiwango cha chini.
Ukweli kinachoendelea israel ni utawala kama ule uliyokuepo afrika ya kusini enzi ya makaburu.
Walowezi wa kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa israel hakina utahuzunika.
Israel nje imekua ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za maghararibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliyokua wa makaburu afrika ya kusini.
Israel kwa kufahamu inafaidika kwa wakristo wakereketwa kufikiri mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina netanhahu. Wala wakristo wengi hawataki kuamini mayahudi sio wakristo. Ili mradi biblia iliyoandikwa na mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja mayahudi basi wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita mayahudi leo.
Kwa maoni yangu ningependa kushauri tanzania na nchi za kiafrika kufuata mfano wa afrika ya kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na israel.
Katika kikao cha wakuu wa umoja wa afrika kilichopita ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa jamhuri ya demokrasia ya congo
Kwani hata nchi ikikata uhusiano na Israel tutafaidika na nini?
 
Kuchukuliwa maamuzi kama hayo ni katika ubinadamu.Inashangaza kuona Afrika kusini daima inatushinda kwenye hilo. Walichokiona Afrika kusini kilikuwa ni kidogo na kiliwauma wao na dunia nzima walipokuwepo watu wenye kuwaza.
Yanayowapata wapalestina wote hayana mfano kwanini dunia nzima isiwe upande wao.
 
Islael kwa muda mfupi tulio husiana nae alijenga Nkuruma hall na baadhi ya majengo UDSM, alijenga Ubungo plaza na JWTZ imara. Nyerere akakata uhusiano nao kwa sababu ambazo zinamuhusu alafat sie hazituhusu. Tusije tukarudia kosa kama hilo tuimalishe ubarozi wetu pale Telaviv sisi ni NAM
 
Ila napendekeza tukate uhusiano na serikali ya kizayuni ya SA maana hawaachi kutuulia ndugu zetu
 
Back
Top Bottom