Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

Afrika. Tulilikataa kitambo bado tunadunda. Tuliwafukuza kitambo balozi zao na. Tulikuwa poaa. Hakuna cha laana wala upuuzi wake. Wamerudisha juzi tu hapa. Toa utumwa wako WA kifikra hapa.......
Kumbe afrika hatuna shida yoyote? Kumbe wote nimatajiri, Wala halingumu hatuna, Wala UMASIKINI kwishaaa?? Basi hongereniii
 
Acha porojo za wewe!
Wakristo wanajua wayahudi sio wakristo!
Kama ni kuvunja mahusiano basi tutavunja na karibu nchi zote za Ulaya!
Anayofanya Urusi kwa Ukraine vipi?
Sudan Darfur?
Somalia?
Kama ni kuvunja mahusiano tutavunja hadi na Rwanda kwa anayofanya DRC.
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.

Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.

Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.

Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.

Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.

Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.

Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Peleka ujinga wako Kwa family yako, ugomvi wa Muyahudi na mwarabu SS unatuhusu nn? wakati ugomvi wao ni mpango wa Mungu!!
 
Ukate mahusiano kwa sabu mmeingia mahusiano ya damu na Dubai? Labda hko visiwa vya Shelisheli na Komoro
 
Israel isingekaza kama hivi ilivyokaza kitambo sana ingekuwa imefutika kwenye uso wa dunia na hao waarabu. Israel iongeze mbinyo kwa hao kenge ndio heshima inayoipata mpaka sasa ksbb tayari inaogopeka. Wengine wamesalimu amri
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.

Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.

Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.

Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.

Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.

Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.

Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Chiba wa kiarabu ndio zao
 
Sawa mpalestina mweusi tumekuewelewa
Kwaiyo tukate mausiano na taifa israel ila tuanzishe mahusiano na wakimbizi wasiokua na makazi yauwakika kwel shehe biriani
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.

Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.

Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.

Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.

Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.

Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.

Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
eneo loote la Israel, palestina, lebanon, parts of egypt, parts of syria na parts of Jordan, ni mali ya Israel,historia imeonyesha hivyo, na itabaki kuwa hivyo. nyerere alikatisha uhusiano na israel kwa shinikizo la wavaa kobaz waliomsapoti kwenye harakati zake enzi zile ila moyoni hakupenda kuvunja huo uhusiano. Africa kusini wanavunja uhusiano wakati kuna substantial number of Jews pale? na kuna hadi masinagoti ya dini ya kiyahudi kwasababu maeneo yenye wayahudi AFrica mojawapo ni south africa, morocco, algeria, Tunisia na Misri yenyewe. ukitaka Tanzania ipoteze kabisa uhusiano, futa uhusiano wa Tanzania na Saudia au nchi zote za kiarabu. mmefuta uhusiano na Israel lakini tumekuwa tukipata shida sana kuitembelea, hadi tukachukulie visa Nairobi, na pamoja na figisu zenu zote bado tutaendelea kwenda na kuipenda Israel, kwasababu Mungu tunayemwabudu ni Mungu wa Israel, sio mungu wa waarabu.
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.

Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.

Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.

Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.

Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.

Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.

Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Inafikiri hata wanafeel chochote mkijikataa?
Tz haina msaada wowote Israe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyinyi Waislam mna shida sana. Nikwambie kitu. Ktk Taifa la Palestina pia wako Wakiristo. Hawa wakiristo Cha kusikitisha wanateswa na Wapalestina Waislam na siasa zao za Kimjahidina na vile vile wanateswa na Wayahudi wa Dini ya Judaism. Duniani hapa ni Madhehebu mawili tu ya Wakiristo ambayo Yana Viongozi Wakuu: Pope wa Roman Catholic na ArchBishop of Canterbury kiongozi wa Anglican. Hawa wote wanaunga Mkono haki za Wapalestina.
Taifa la Israel ni sawasawa na Africa ya kusini kwa ingawa Makaburu katika zama zetu walikuwa ndiyo wenye nchi, history Inaonyesha walivamia nchi ya Waafrica. Jumuiya ya Kimataifa kwa kutambua ukweli kuwa miaka mingi iliisha pita na kwamba jamii zote mbili zilikuwa na vizazi na vizazi ambayo kwa sasa wote walikuwa wanaiita Africa ya kusini nyumbani ilifikia muafaka wa coexistence kati ya Waafrica na Wazungu. Lakini kwa utambuzi kuwa Waafrica ndiyo wenye nchi kwa asili.
Hivyo hivyo ndyo mantiki ya kurudisha taifa la Israel mwaka wa 1948. Na history Inaonyesha wayahudi ndyo wenye nchi kwa asili.
JE ULIPATA KUJUA KUWA NDANI YA TAIFA LA ISRAEL WAKO WAPALESTINA na Wana passport za Israel na haki nyingine zote za waisrael kama kuabudu dini ya kiislam na kujiunga na Jeshi? Ni kwambie wapo. Ila Kuna wale siasa kali walikataa to coexist. Wengi walikuja kukaa maeneo mpakani na Jordan. Waarabu kwa Ujumla wao Agenda yao ilikutwa kuliangamiza kabisa Taifa la Israel na ndyo chanzo Cha vita ya 1966. Israel iliposhinda hiyo vita ndyo ikawa chanzo Cha ku occupy east Jerusalem & west bank mpaka leo
Marekani na Mataifa mengine ya magharibi wakaona isiwe shida ndyo zikaanza initiatives za kuanzisha two states solution. Na hatimaye siku za karibuni ndiyo unasikia Abrahamic Accord.
Hamas, Islamic Jihad, Hezibula na Iran wao mpaka sasa Agenda yao ni kulifutilia mbali Taifa la Israel
SASA NI KWAMBIE KITU? Ingawa Wakiristo hawaafiki sera za Dini ya Kiyahudi, Bado hawataunga Mkono Waislam Hawa wa Siasa Kali kuchukua Ile nchi ya Israel kwa sababu experience Inaonyesha kuwa Agenda yenu nyinyi Waislam siyo tu kuufuta uyahudi bali pia Ukiristo na historia yake pale Israel. Mmekifanya hicho kule UTURUKI (Hagia Sophia church in Turkey was converted to a mosque). Kule Iraq ISLAMIC STATE waliharibu mabaki yote ya Ukiristo. Kule Afghanistan Talban waliharibu artifacts na majengo yote ya Hinduism
Hapo Jerusalem penyewe the Temple Mount, ambapo ndiyo lilikuwa Hekalu la Mfalme Daudi Waislam kwa hadithi zenu za Uongo mliliharibu hilo jengo na artifacts za ushahidi wa ufalme wa Daudi mkajenga Dome of the Rock. At mnasema Mtume Mohammad alisafirishwa kimuujiza Toka Macca mpaka Jerusalem ili apae mbinguni 🤣 Cha kushangaza historia Inaonyesha kuwa kama Kuna kitu chochote Cha Uislam kilijengwa pale Jerusalem basi ilikutwa ni mwaka 705. Sasa inakuwaje Mtume Mohammad aliyekufa mwaka 632 awe sehemu ya hiyo historia?
Acheni kulalamika lalamika; Dunia yote siku HIZI imekuja baini kuwa kila kitu kwenye Uislam ni UONGO MTUPU. NDIYO MAANA BAADHI YA MATAIFA YA KIARABU SIKU HIZI YAMEONA HAYAWEZI KUPINGANA NA UKWELI WA HISTORIA YA UKAZI WA ASILI WA WAYAHUDI KATIKA TAIFA LA ISRAEL NA SASA WANASAINI IBRAHIMIC ACCORD
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.

Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.

Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.

Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.

Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.

Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.

Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Hoja yako inaweza kuwa na mantiki, lakini presentation yako ina walakini mkubwa. Umetumia lugha isiyo nzuri, kitu kinachoonyesha wazi kabisa ndani yako kuna ile chuki ya upande ule mwingine.
Ukitaka hoja yako iguse watu wengi, mara nyingine epuka maneno ya chiki na yenye ukakasi kwa hadhira yako.
1. Mbona hukutaja yanayotokea Darfur ya Sudan kwa watu weusi?
2. Usiingize Ukristo kwenye jambo hili, na Wakristo wanajua kuwa Wayahudi sio Wakristo wala hao Wayahud hawakuandika Bibilia kama unavyodai.
3. Mateso ya Palestina yanasikitisha, lakini nchi za Waarabu ndio zinashindana kurejesha uhusiano na Israel-hata kuruhusu ndege za Israel kupitia anga zao. Umesikia kitu kinaitwa "Abraham Accords"?
Issue hili ya Waisrael na Wapelestina ni complicated sana.
Sasa mkuu wangu taifa teule unaweza kujiondoa nalo wkt Tanzania kipindi Cha magufuli ndio tulikuja kurejesha uhusiano na israel

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yaani Tanzania iache kuwaza kupata teknolojia mpya kutoka kwa Israeli kisa ugomvi uliotokea huko middle east?

Tulikuwa watu wa huruma hivihivi enzi za Mwalimu na hatuna maendeleo yanayoeleweka.
Mungu atawatetea Wapalestina, sisi sio kazi yetu kwanza hatuko upande wowote (NAM)
Post yako imepoteza maana na kuwa ya kipumbavu kwa kuwa umeitumia mada kama kivuli ilhali ulicholenga ni kuishambulia na kuinanga din
Huwa hawamtukanwi, mnaambiwa ukweli mlivyo, ona hapa mumeua waafrika wenzenu kisa dini ya mwarau mnayemuabudu ambaye bila huruma aligegeda katoto ka miaka 9 Magaidi wenye mlengo wa dini (Boko haram) waua wavuvi Chad
i ya Kikristo(Christian religion), relevance ya thread umeibomoa mwenyewe kwa sababu ya chuki zako za kidini.

Watu kama nyinyi ndiyo huwafanya watu wengine wai-support Israel hata kama hawafurahishwi na namna wanavyowasulubu Palestinians.
Soma #93
 
Kuchukuliwa maamuzi kama hayo ni katika ubinadamu.Inashangaza kuona Afrika kusini daima inatushinda kwenye hilo. Walichokiona Afrika kusini kilikuwa ni kidogo na kiliwauma wao na dunia nzima walipokuwepo watu wenye kuwaza.
Yanayowapata wapalestina wote hayana mfano kwanini dunia nzima isiwe upande wao.
Vipi kuhusu watu wanaouliwa na boko haramu?.
Kumbe na wewe mwarabu mweusi una ndugu zako palestina? Pole
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.

Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.

Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.

Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.

Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.

Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.

Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Acha hizo,

Mwenye nyumba akitoka safari anaweza kuvamia Ili kuingia kwake?
 
Nitambaliki Kila atakae mbaliki islael na nitamlaani Kila atakae mlaani islael. Asema bwana MUNGU wa majeshi
Alinena wapi mkuu? mbona mi sikusikia hiyo au itakuwa nilikuwa bize kwenye tamasha la Simba Day ikanipita hiyo!

Baliki ni kichina? Au unamaanisha Bariki?
 
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.

Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.

Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.

Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.

Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.

Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.

Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Wewe ni mdini. Ungejikita kwenye diplomasia bila kuingiza dini ungekuwa na point
 
Back
Top Bottom