Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

Mkuu pombe sinywi ila nakula mmea,, sababu ya kusema hivi,,, huyu jamaa MK254 ana chuki na uislam na waislam kwa ujumla sijui hata walimfanya nini,,, so kila uzi hata usiohusisha mambo ya dini basi yeye lazima atukane, akashifu uislam na uislam, hasa kwenye ule uzi wa vita ya Ukraine/urusi,, na ndio maana nikamwita hapa makusudi kwenye uzi huu kwa kuwa una viashiria vya kidini ili yale matusi yake,kashfa, na kejeli dhidi ya uislam na uislam avimalizie hapa,, na kama ulivyomuona kaja kweli kutukana. Yani kifupi huyu jamaa hamnazo. Na kumwita kwangu hapa ilikuwa kama joking lkn si umeona coment yake ilivyokuwa ya kipuuzi.. sijui hata maustadh walimfanya nini huyu jamaa.

Hamna sehemu nimetukana, huwa nawaambia mlivyo, kuabudu mwarabu aliyegegeda katoto, ni kitu imeandikwa kwenye vitabu vyenu wenyewe kisha mkikumbushiwa mnalialia kutukanwa, na pia kuua waafrika wenzenu kisa huyo mwarabu.
 
Hoja yako inaweza kuwa na mantiki, lakini presentation yako ina walakini mkubwa. Umetumia lugha isiyo nzuri, kitu kinachoonyesha wazi kabisa ndani yako kuna ile chuki ya upande ule mwingine.
Ukitaka hoja yako iguse watu wengi, mara nyingine epuka maneno ya chiki na yenye ukakasi kwa hadhira yako.
Wewe inaonekana ndo una mambo ya udini..jamaa ameeleza vizuri tu na ni facts. Ulitaka arembeje labda?
 
Nitambaliki Kila atakae mbaliki islael na nitamlaani Kila atakae mlaani islael. Asema bwana MUNGU wa majeshi
Kwahiyo kuondoa ubalozi ndio kuilaani? alafu makabila 10 ya Israel yalishapotea so unapotoa statement kama hizi usikariri kwamba Israel iliyopo palestina ndio Israel halisi. Uta back fire
 
Sasa mkuu wangu taifa teule unaweza kujiondoa nalo wkt Tanzania kipindi Cha magufuli ndio tulikuja kurejesha uhusiano na israel

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Taifa teule ndio Nini? Kwamba wengine hawatambuliki ama? Acheni kusoma maandiko kimakosa, tokea Yesu amekuja wote waliomfuata wamekua taifa teule sio kanchi kamoja ambako hata hakatambui hiyo Biblia.
 
Waarabu/waislam mngekuwa na uwezo mngewasafisha hao waisrael na kuwafuta kwenye uso huu wa dunia, mlijaribu ile Six Day War ili kumaliza wayahudi once and for all lakini kilichofuata kila mtu anajua, leo mnataka wayahudi wawamini kwa kipi wakati nia yenu mwanzo ilikuwa ni kuwasafisha , wote wadini na wakabila piganeni mpaka wote mfe au mpate akili, mwenye nguvu na akili ashinde, sina upande wowote
Wanachofanya Israel unaona ni sawa sababu wananyoosha waislam sio. Lakini huku Kila siku tunalia lia
kuhusu mabeberu kututawala rasilimali zetu.

Kuna wakati naona dini zinatupofusha kutoka katika uhalisia. Yaani kosa lile lile wakifanya wakoloni Africa tukadai uhuru ila wakifanyiwa palestina ni hali sababu israel ni so called "taifa teule"??
 
Islael kwa muda mfupi tulio husiana nae alijenga Nkuruma hall na baadhi ya majengo UDSM, alijenga Ubungo plaza na JWTZ imara. Nyerere akakata uhusiano nao kwa sababu ambazo zinamuhusu alafat sie hazituhusu. Tusije tukarudia kosa kama hilo tuimalishe ubarozi wetu pale Telaviv sisi ni NAM

Sasa Kuna haja gani ya kupinga ukoloni if at all tunasupport ukoloni wa Israel kwa palestina au Morocco kwa Saharawi??

Nyerere alikata uhusiano sababu wayahudi walikua wana support makaburu wa Sauzi. Walikua hawataki kuona SA inakua nchi huru kwa watu weusi ila Arafat Ali support mabadiliko kwenye nchi za Africa.

Kwahiyo angekua mwendawazimu kumsaliti rafiki yake kwa wakoloni wa kiyahudi.
 
Ila kikubwa yalikuwa hayamuhusu. Alipasa tuu awakemee kama angalishindwa kujizuia. Kwani ni wangapi walikuwa wanamuunga mkono mkaburu na hakukata nao mawasiliano?
 
Sasa Kuna haja gani ya kupinga ukoloni if at all tunasupport ukoloni wa Israel kwa palestina au Morocco kwa Saharawi??

Nyerere alikata uhusiano sababu wayahudi walikua wana support makaburu wa Sauzi. Walikua hawataki kuona SA inakua nchi huru kwa watu weusi ila Arafat Ali support mabadiliko kwenye nchi za Africa.

Kwahiyo angekua mwendawazimu kumsaliti rafiki yake kwa wakoloni wa kiyahudi.
Mimi najua mahaba kwa Alafat yalizidi sana. Alafat alikuwa na pesa gani kutusaifia Africa?
 
Sasa Kuna haja gani ya kupinga ukoloni if at all tunasupport ukoloni wa Israel kwa palestina au Morocco kwa Saharawi??

Nyerere alikata uhusiano sababu wayahudi walikua wana support makaburu wa Sauzi. Walikua hawataki kuona SA inakua nchi huru kwa watu weusi ila Arafat Ali support mabadiliko kwenye nchi za Africa.

Kwahiyo angekua mwendawazimu kumsaliti rafiki yake kwa wakoloni wa kiyahudi.
images (6).jpeg
 
Hakuna sababu kukata mahusiano na Israel
Basi msipinge Tena ukoloni mamboleo au msipinge urusi kuvamia Ukraine maana ni Yale Yale tu. Huwa mnalalamika china kujimilikisha Mali za nchi zingine kisa mikopo ila hapo hapo mna support Israel kumkalia kimabavu palestina.

Hizi double standards ndio zinatushangaza.
 
Wewe unataka waislail wakaishi wapi?
 
Wewe unataka waislail wakaishi wapi?
Two state solution... Walishagawanyiwa mipaka kwa ratio ya 55:45 lakini tamaa zikawafanya wajitanue tu Kila mwaka. So warudi kwenye mipaka ya pre 1967 ndio negotiations zianzie pale.

Ila wakiendelea hivi tusije kusikia kelele siku wakitawanywa tena kama enzi za Hitler Ili waone uchungu wa kutawaliwa.
 
Upumbavu ni huu wakwakoo wa kupingana na maandiko matakatifu ya MWENYEZI MUNGU. Upende usipenda huwezi shindana na islael ukabaki saalama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maandiko uliyodanganywa. Tangu WA africa tuibariki Israel tumebarikiwa nini??? The poorest continent.... Shida kila kona. Wake Up.
Mwanzo 13:1 KJV
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maandiko uliyodanganywa. Tangu WA africa tuibariki Israel tumebarikiwa nini??? The poorest continent.... Shida kila kona. Wake Up.
Mwanzo 13:1 KJV
Huna lolote. Kikubwa umeeelewaa, huwezi likataaa Taifa la islael ukabaki salamaa, waulize majirani zakee
 
Huna lolote. Kikubwa umeeelewaa, huwezi likataaa Taifa la islael ukabaki salamaa, waulize majirani zakee
Afrika. Tulilikataa kitambo bado tunadunda. Tuliwafukuza kitambo balozi zao na. Tulikuwa poaa. Hakuna cha laana wala upuuzi wake. Wamerudisha juzi tu hapa. Toa utumwa wako WA kifikra hapa.......
 
Back
Top Bottom