Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

Nitambaliki Kila atakae mbaliki islael na nitamlaani Kila atakae mlaani islael. Asema bwana MUNGU wa majeshi
Wee ndio umelewa haswa ile mvinyo wayahudi wa leo kina netanhahu wanapenda kusikia wakristo mumekunywa.
 
Siku zote hatufungamani na upande wowote.
 
God bless Israel...
He will never bless the FAKE ISRAEL. NI MUDA UMEFIKA KWA THE REAL YUDA KUAMKA. ASANTE S. AFRICA..... muda umefika kwa ndugu zetu wengine kurudi nyumbani. Zulu aka Yuda Nguni/Ngoni Tribe aka lawi. Muda WA KUAMKA umefika na hii ni Mwanzo tu. Soon all of us tutaamka usingizini na kuachana na huu utumwa WA kifikra WA kizungu.
 
Kila mmoja abebe msalaba wake. Hao wayahudi na wapalestina vita visivyoisha hawawezi kutufanya sisi (huku Afrika)tuache kufikiria ustawi wa watoto wetu tuanze kuwafikiria wao. Hivi waafrika tutaendelea kuwa mazuzu mpaka lini!?
 
Umekosea sana Kuwataja Wayahudi na kuwanasibisha na Ukristu. Ungejenga hoja yako vizuri kwa Waisrael wanachowafanyia Wapalestina ungeeleweka! Sasa hoja yako imekuwa ya hovyo kama Kitabu cha Salman Rushdie cha The Satanic Verses!
 
Sasa Afrika hata ikijitenga yote na hao waisrael kwa uelewa wenu mtaleta impact gani. Mwarabu mwenyewe kuanzia Saudia mpaka Emarati kutwa kucha wanasaini mikataba kurejesha uhusiano na Israel. Nyie watumwa weusi ndiyo mnajifanya mnaguswa sn na yanayowapata wafilistine. Kama filistine anataka amani na Israel aache ushamba kuwatumia Hamas,Mahizbullah na wengine kuvurumisha maroketi kwenda Israel. Wauate meza ya mazungumzo Kama baba yao Arafati,,,vunginevyo watafyekwa wote na wavaa kobaz wa Afrika hawatoweza kuwasaidia!
 
Huwa hawamtukanwi, mnaambiwa ukweli mlivyo, ona hapa mumeua waafrika wenzenu kisa dini ya mwarau mnayemuabudu ambaye bila huruma aligegeda katoto ka miaka 9 Magaidi wenye mlengo wa dini (Boko haram) waua wavuvi Chad
maliza kabisa toa nyongo yako na ile kusema maustadh na mtume wao wameoa wake kumi na nne mbona hujasema, uwanja wako huu kwa kuwa uzi huu unahusisha dini pia,,, so toa dukuduku lako kabisa hapa na naona umeniwekea na link nyingine, sawa nitaingia ,, lengo la kukuita hapa ili utukane kwa kuwa uzi huu hasa ndo wenyewe,,, ila kule kwenye uzi wa vita ya Ukraine/urusi usituletee taaarabu zako hizi, za chuki za maustadh na mashekhe
 
Utakuwa umeshau kumeza dawa zako au zimeisha nenda mirembe kachukue nyingine haraka kabla hali haijawa mbaya!
 
Waisraeli, wayahudi ni watu weusi ambao wengine wachache wamebakia nchini Israel, wapalestina nao pia wamevamia kama hao wasrael weupe katika nchi ambayo siyo yao!
Ngoma drow![emoji13]
 
Umetaja Zulu na Ngoni, Vipi Makonde! Au ndiyo Ephrahim?
 
Waturuki warudi kwao sasa muda wa kuigiza uisrael umeisha.
 
Sukumagang ndio kitu gani? Acha ujinga wewe. Maridhiano gani wakati mumeingizwa mkenge tu.
Mliingizwa mkenge na Jiwe kwamba kuua watu mnaotafautiana nao kiitikadi ndiyo dili, kafa mmebaki mmedata hamuelewi msimamie wapi. Sukuma gang mnatapatapa sana.
Haya maridhiano unayoyaita mkenge kwa tafsiri yako kiuhalisia mafanikio yake yanaonekana kwa kuwa watu wanafanya siasa kwa uhuru na hakuna animosity baina ya chama tawala na opposition parties, that's all that matters. Hakuna kutungiana mikesi ya uongo ya eti ugaidi kwa sababu tu mna misimamo na mitazamo tofauti kisiasa. Hayo yanayoonekana ni ndiyo proof ya reconciliation.
 
Kwani hata nchi ikikata uhusiano na Israel tutafaidika na nini?
 
Kuchukuliwa maamuzi kama hayo ni katika ubinadamu.Inashangaza kuona Afrika kusini daima inatushinda kwenye hilo. Walichokiona Afrika kusini kilikuwa ni kidogo na kiliwauma wao na dunia nzima walipokuwepo watu wenye kuwaza.
Yanayowapata wapalestina wote hayana mfano kwanini dunia nzima isiwe upande wao.
 
Islael kwa muda mfupi tulio husiana nae alijenga Nkuruma hall na baadhi ya majengo UDSM, alijenga Ubungo plaza na JWTZ imara. Nyerere akakata uhusiano nao kwa sababu ambazo zinamuhusu alafat sie hazituhusu. Tusije tukarudia kosa kama hilo tuimalishe ubarozi wetu pale Telaviv sisi ni NAM
 
Ila napendekeza tukate uhusiano na serikali ya kizayuni ya SA maana hawaachi kutuulia ndugu zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…