Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini


Hamna sehemu nimetukana, huwa nawaambia mlivyo, kuabudu mwarabu aliyegegeda katoto, ni kitu imeandikwa kwenye vitabu vyenu wenyewe kisha mkikumbushiwa mnalialia kutukanwa, na pia kuua waafrika wenzenu kisa huyo mwarabu.
 
Wewe inaonekana ndo una mambo ya udini..jamaa ameeleza vizuri tu na ni facts. Ulitaka arembeje labda?
 
Nitambaliki Kila atakae mbaliki islael na nitamlaani Kila atakae mlaani islael. Asema bwana MUNGU wa majeshi
Kwahiyo kuondoa ubalozi ndio kuilaani? alafu makabila 10 ya Israel yalishapotea so unapotoa statement kama hizi usikariri kwamba Israel iliyopo palestina ndio Israel halisi. Uta back fire
 
Sasa mkuu wangu taifa teule unaweza kujiondoa nalo wkt Tanzania kipindi Cha magufuli ndio tulikuja kurejesha uhusiano na israel

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Taifa teule ndio Nini? Kwamba wengine hawatambuliki ama? Acheni kusoma maandiko kimakosa, tokea Yesu amekuja wote waliomfuata wamekua taifa teule sio kanchi kamoja ambako hata hakatambui hiyo Biblia.
 
Wanachofanya Israel unaona ni sawa sababu wananyoosha waislam sio. Lakini huku Kila siku tunalia lia
kuhusu mabeberu kututawala rasilimali zetu.

Kuna wakati naona dini zinatupofusha kutoka katika uhalisia. Yaani kosa lile lile wakifanya wakoloni Africa tukadai uhuru ila wakifanyiwa palestina ni hali sababu israel ni so called "taifa teule"??
 

Sasa Kuna haja gani ya kupinga ukoloni if at all tunasupport ukoloni wa Israel kwa palestina au Morocco kwa Saharawi??

Nyerere alikata uhusiano sababu wayahudi walikua wana support makaburu wa Sauzi. Walikua hawataki kuona SA inakua nchi huru kwa watu weusi ila Arafat Ali support mabadiliko kwenye nchi za Africa.

Kwahiyo angekua mwendawazimu kumsaliti rafiki yake kwa wakoloni wa kiyahudi.
 
Ila kikubwa yalikuwa hayamuhusu. Alipasa tuu awakemee kama angalishindwa kujizuia. Kwani ni wangapi walikuwa wanamuunga mkono mkaburu na hakukata nao mawasiliano?
 
Mimi najua mahaba kwa Alafat yalizidi sana. Alafat alikuwa na pesa gani kutusaifia Africa?
 
 
Hakuna sababu kukata mahusiano na Israel
Basi msipinge Tena ukoloni mamboleo au msipinge urusi kuvamia Ukraine maana ni Yale Yale tu. Huwa mnalalamika china kujimilikisha Mali za nchi zingine kisa mikopo ila hapo hapo mna support Israel kumkalia kimabavu palestina.

Hizi double standards ndio zinatushangaza.
 
Wewe unataka waislail wakaishi wapi?
 
Wewe unataka waislail wakaishi wapi?
Two state solution... Walishagawanyiwa mipaka kwa ratio ya 55:45 lakini tamaa zikawafanya wajitanue tu Kila mwaka. So warudi kwenye mipaka ya pre 1967 ndio negotiations zianzie pale.

Ila wakiendelea hivi tusije kusikia kelele siku wakitawanywa tena kama enzi za Hitler Ili waone uchungu wa kutawaliwa.
 
Upumbavu ni huu wakwakoo wa kupingana na maandiko matakatifu ya MWENYEZI MUNGU. Upende usipenda huwezi shindana na islael ukabaki saalama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maandiko uliyodanganywa. Tangu WA africa tuibariki Israel tumebarikiwa nini??? The poorest continent.... Shida kila kona. Wake Up.
Mwanzo 13:1 KJV
 
Kwahiyo kuondoa ubalozi ndio kuilaani? alafu makabila 10 ya Israel yalishapotea so unapotoa statement kama hizi usikariri kwamba Israel iliyopo palestina ndio Israel halisi. Uta back fire
Tokaa, makabila 10 umeyapoteza wewee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maandiko uliyodanganywa. Tangu WA africa tuibariki Israel tumebarikiwa nini??? The poorest continent.... Shida kila kona. Wake Up.
Mwanzo 13:1 KJV
Huna lolote. Kikubwa umeeelewaa, huwezi likataaa Taifa la islael ukabaki salamaa, waulize majirani zakee
 
Huna lolote. Kikubwa umeeelewaa, huwezi likataaa Taifa la islael ukabaki salamaa, waulize majirani zakee
Afrika. Tulilikataa kitambo bado tunadunda. Tuliwafukuza kitambo balozi zao na. Tulikuwa poaa. Hakuna cha laana wala upuuzi wake. Wamerudisha juzi tu hapa. Toa utumwa wako WA kifikra hapa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…