Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Kumbe afrika hatuna shida yoyote? Kumbe wote nimatajiri, Wala halingumu hatuna, Wala UMASIKINI kwishaaa?? Basi hongereniiiAfrika. Tulilikataa kitambo bado tunadunda. Tuliwafukuza kitambo balozi zao na. Tulikuwa poaa. Hakuna cha laana wala upuuzi wake. Wamerudisha juzi tu hapa. Toa utumwa wako WA kifikra hapa.......
Peleka ujinga wako Kwa family yako, ugomvi wa Muyahudi na mwarabu SS unatuhusu nn? wakati ugomvi wao ni mpango wa Mungu!!Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.
Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.
Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.
Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.
Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.
Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.
Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Ukate mahusiano kwa sabu mmeingia mahusiano ya damu na Dubai? Labda hko visiwa vya Shelisheli na KomoroBinafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.
Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.
Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.
Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.
Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.
Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.
Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Chiba wa kiarabu ndio zaoBinafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.
Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.
Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.
Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.
Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.
Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.
Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
eneo loote la Israel, palestina, lebanon, parts of egypt, parts of syria na parts of Jordan, ni mali ya Israel,historia imeonyesha hivyo, na itabaki kuwa hivyo. nyerere alikatisha uhusiano na israel kwa shinikizo la wavaa kobaz waliomsapoti kwenye harakati zake enzi zile ila moyoni hakupenda kuvunja huo uhusiano. Africa kusini wanavunja uhusiano wakati kuna substantial number of Jews pale? na kuna hadi masinagoti ya dini ya kiyahudi kwasababu maeneo yenye wayahudi AFrica mojawapo ni south africa, morocco, algeria, Tunisia na Misri yenyewe. ukitaka Tanzania ipoteze kabisa uhusiano, futa uhusiano wa Tanzania na Saudia au nchi zote za kiarabu. mmefuta uhusiano na Israel lakini tumekuwa tukipata shida sana kuitembelea, hadi tukachukulie visa Nairobi, na pamoja na figisu zenu zote bado tutaendelea kwenda na kuipenda Israel, kwasababu Mungu tunayemwabudu ni Mungu wa Israel, sio mungu wa waarabu.Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.
Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.
Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.
Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.
Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.
Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.
Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Inafikiri hata wanafeel chochote mkijikataa?Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.
Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.
Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.
Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.
Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.
Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.
Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
AmenGod bless Israel...
Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.
Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.
Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.
Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.
Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.
Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.
Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Hoja yako inaweza kuwa na mantiki, lakini presentation yako ina walakini mkubwa. Umetumia lugha isiyo nzuri, kitu kinachoonyesha wazi kabisa ndani yako kuna ile chuki ya upande ule mwingine.
Ukitaka hoja yako iguse watu wengi, mara nyingine epuka maneno ya chiki na yenye ukakasi kwa hadhira yako.
1. Mbona hukutaja yanayotokea Darfur ya Sudan kwa watu weusi?
2. Usiingize Ukristo kwenye jambo hili, na Wakristo wanajua kuwa Wayahudi sio Wakristo wala hao Wayahud hawakuandika Bibilia kama unavyodai.
3. Mateso ya Palestina yanasikitisha, lakini nchi za Waarabu ndio zinashindana kurejesha uhusiano na Israel-hata kuruhusu ndege za Israel kupitia anga zao. Umesikia kitu kinaitwa "Abraham Accords"?
Issue hili ya Waisrael na Wapelestina ni complicated sana.
Sasa mkuu wangu taifa teule unaweza kujiondoa nalo wkt Tanzania kipindi Cha magufuli ndio tulikuja kurejesha uhusiano na israel
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yaani Tanzania iache kuwaza kupata teknolojia mpya kutoka kwa Israeli kisa ugomvi uliotokea huko middle east?
Tulikuwa watu wa huruma hivihivi enzi za Mwalimu na hatuna maendeleo yanayoeleweka.
Mungu atawatetea Wapalestina, sisi sio kazi yetu kwanza hatuko upande wowote (NAM)
Soma #93Post yako imepoteza maana na kuwa ya kipumbavu kwa kuwa umeitumia mada kama kivuli ilhali ulicholenga ni kuishambulia na kuinanga dini ya Kikristo(Christian religion), relevance ya thread umeibomoa mwenyewe kwa sababu ya chuki zako za kidini.Huwa hawamtukanwi, mnaambiwa ukweli mlivyo, ona hapa mumeua waafrika wenzenu kisa dini ya mwarau mnayemuabudu ambaye bila huruma aligegeda katoto ka miaka 9 Magaidi wenye mlengo wa dini (Boko haram) waua wavuvi Chad
Watu kama nyinyi ndiyo huwafanya watu wengine wai-support Israel hata kama hawafurahishwi na namna wanavyowasulubu Palestinians.
Sawa mwarabu mweusi kutoka palestinaSubiri wayahudi wa Buza waje kukushambulia
Vipi kuhusu watu wanaouliwa na boko haramu?.Kuchukuliwa maamuzi kama hayo ni katika ubinadamu.Inashangaza kuona Afrika kusini daima inatushinda kwenye hilo. Walichokiona Afrika kusini kilikuwa ni kidogo na kiliwauma wao na dunia nzima walipokuwepo watu wenye kuwaza.
Yanayowapata wapalestina wote hayana mfano kwanini dunia nzima isiwe upande wao.
Acha hizo,Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.
Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.
Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.
Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.
Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.
Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.
Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Alinena wapi mkuu? mbona mi sikusikia hiyo au itakuwa nilikuwa bize kwenye tamasha la Simba Day ikanipita hiyo!Nitambaliki Kila atakae mbaliki islael na nitamlaani Kila atakae mlaani islael. Asema bwana MUNGU wa majeshi
Wewe ni mdini. Ungejikita kwenye diplomasia bila kuingiza dini ungekuwa na pointBinafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini.
Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu.
Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo waliyovamia ya Wapalestina wanawanyima haki na uhuru wao Wapalestina na kuwaua ovyo huku jeshi la Kizayuni likiwalinda hao 'skin heads' wa Mayahudi. Ukiwaona wakirandaranda maeneo ya Wapalestina wamevaa bunduki za rashasha huku wakipewa sapoti na askari wa Israel hakika utahuzunika.
Israel nje imekuwa ikijinadi kama nchi ya kidemokrasia sawa na nchi za Magharibi, lakini kwa uhakika utawala wao wa Kizayuni ni sawa na ule wa ki apartheid uliokuwa wa Makaburu Afrika ya Kusini.
Israel kwa kufahamu inafaidika kwa Wakristo wakereketwa kufikiri Mayahudi waliyobarikiwa na kutamkwa kwenye Biblia ni sawa na hawa maharamia wanaoongozwa na kina Netanhahu. Wala Wakristo wengi hawataki kuamini Mayahudi sio Wakristo. Ili mradi Biblia iliyoandikwa na Mayahudi wenyewe wa enzi ya zamani kila mahali imewataja Mayahudi, basi Wakristo wanapata upofu kuona uovu wa hawa wanajiita Mayahudi leo.
Kwa maoni yangu, ningependa kushauri Tanzania na nchi za Kiafrika kufuata mfano wa Afrika ya Kusini na kuvunja kabisa uhusiano wa kibalozi na Israel.
Katika kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kilichopita, ilitia moyo kuona uwakilishi kama watazamaji wa Israel wakitimuliwa. Inaelekea walipewa hadhi hiyo kwa kutumia hila enzi ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Hawa watu walinyimwa kitu muhimu sanaWewe ni mdini. Ungejikita kwenye diplomasia bila kuingiza dini ungekuwa na point
🧠Hawa watu walinyimwa kitu muhimu sana