Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?

Nani amwambie kwa mtazamo wako!?
A.Mashabiki wa Simba
B.Viongozi wa Simba akiwamo yeye mwenyewe

Na, Je una uhakika makampuni tajwa hapo hayana mkataba na Simba?

Maana mimi sijaona hata mkataba wa magodoro ya GSM wala mkataba wowote wa GSM zaidi ya kuambiwa ni wadhamini tu.

Na hata hivyo "UKIKUBALI KULA KUBALI KULIWA" .
Hata mimi siwezi kuweka pesa yangu mahali ambako hapanizalishii pesa either direct au in second hand never.Na tusimwonee wivu mtu aliyeiona fursa na kuitumia ,hapa duniani ilishaandikwa TAJIRI ATAMTAWALA MASIKINI (unadhani atamtawalaje kama si kutumia fursa ambazo maskini hawezi kuzitumia!?

Jiulize , hivi ukipewa na wewe utangaze bango lako unaweza kulipia bill zote za Simba Sports Club kwa pesa utakayoipata? Si rahisi sana kuendesha club ndugu zangu.
Jamaa hana wivu ila ametaka uwazi( transparency) kwamba Mo kwa kutangaziwa biashara zake binafsi na page za simba kupo kwa makubaliano ya namna gani?
 
Kama nimemwelewa mleta uzi anachozungumzia ni uwazi wa mpaka kimkataba kati ya Mo kama mdhamini na Mo kama mwekezaji kitu ambacho kina uwezekano wa kuleta mgongano wa kimaslahi
Mbona hawahoji uwekezaji wa GSM? Mimi ningeona ni jambo la kheri tuhoji kotekote maana mhindi wa watu kakaliwa kooni as if ndiye mwekezaji pekee kwenye hizi timu mbili kubwa

Ifike wakati tuhoji katika mizania sawa hapo tutajenga zaidi taifa letu na soka kwa ujumla
 
Mo yupo Simba kiupigaji, yupo pale kuvuna tu, maana mashabiki wa Simba ni watu duni na upeo mdogo. Wao watakwambia wanapata vikombe vya ubingwa, sasa kwanini wahangaike kumsumbua Mo.

Akili zitawakaa siku wakikosa ubingwa.
Mbona Yanga hazijawakaa kwa kukosa ubingwa miaka nenda rudi? By the way uwekezaji haumaanishi vikombe miaka yote ndiyo maana Lile kachukua ubingwa mbele ya PSG yenye uwekezaji mkubwa.

Wewe leta tahadhari nyingine sio hizo za kukosa ubingwa brother

Man City aliukosa ubingwa na wakati kasajili kuliko wenzake na bado lawama hazikuwa eti Sheikh Mansour ni mpigaji
 
Ifike hatua kama hauna uhakika wa unachosena bora ukae tu kimyan sidhani hayo matangazo ya bidhaa za MO kuwa yanawekwa bure hicho kitu hakipo pesa ya udhamini wa hayo matangazo anatoa. Na je timu haina mafanikio..? Mbona huulize sportpesa anatoa bei gani, kule gsm magodoro anatoa bei gani.?? Nk kwenye kila jezi kutwa mna shupalia tu Mo Mo Mo jamaa anatoa pesa sio bure. Kwa kujua ukweli tembelea ofisi za simba sc. Udaku mbaya saana.
 
Kama nimemwelewa mleta uzi anachozungumzia ni uwazi wa mpaka kimkataba kati ya Mo kama mdhamini na Mo kama mwekezaji kitu ambacho kina uwezekano wa kuleta mgongano wa kimaslahi
Kuna kilindi mbona walisema udhamini au kiasi Mo extra na Mo safi, na Mo foundation wanaweka
 
Hapo shida yako ni tangazo la sabuni, kama ingekuwa ile Mo energy uliyoizoea usingelia.

Simba imekuwepo miaka mingi, lakini hata mishahara ya wachezaji ilikuwa tatizo, timu ilikuwa inategemea viingilio vya milangoni ambavyo havikutosha chochote zaidi ya wale makomandoo kuneemeka kwa kupitia jina la timu.

Leo amekuja Mo, anasajili wenye viwango, anawalipa mishahara mizuri kwa wakati hatusikii wakilalamika kama upande wa pili, wanafanya vizuri ndani na nje ya nchi, brand ya timu inazidi kukua, lakini cha ajabu kwenu anayechangia kuikuza hiyo brand hatakiwi kutangaza biashara zake.

Kila siku mmekalia majungu Mo anaiibia Simba SC, bila kutuonesha ushahidi usio na shaka anaiba vipi na wapi, Simba inaingiza kiasi gani na Mo anaiba ngapi.

Wazungu husema "he who alleges must prove" if you can't shut up; vinginevyo nyie mnaoutumwa na makomandoo au ndio makomandoo wenyewe kupiga kelele mnajisumbua tu, Simba SC ilishatoka huko.

Hamjiulizi pesa za usajili, posho, gharama za usafiri na malazi, mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi hutoka wapi, mnalialia tu; toa hizo gharama zote halafu tuambie Mo anaiba ngapi tofauti na kile alichoweka Simba SC sio maneno matupu kila siku.

Kama mlikuwa na hii akili ya biashara kwanini hamkujitokeza kabla Mo hajaenda Simba SC? au mmepata akili baada ya Mo kwenda Simba? wacheni kelele, mlilia na bil 20 zikawekwa, mmebaki kuhamisha magoli wachovu nyie.
Umegonga nondo nzito sana ,
 
Mo yupo Simba kiupigaji, yupo pale kuvuna tu, maana mashabiki wa Simba ni watu duni na upeo mdogo. Wao watakwambia wanapata vikombe vya ubingwa, sasa kwanini wahangaike kumsumbua Mo.

Akili zitawakaa siku wakikosa ubingwa.
Afu anaweka pesa zake[emoji15][emoji15][emoji15] upigaji ni nini..? Kuna biashara utaifanya usiwazie faida..? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mbona hawahoji uwekezaji wa GSM? Mimi ningeona ni jambo la kheri tuhoji kotekote maana mhindi wa watu kakaliwa kooni as if ndiye mwekezaji pekee kwenye hizi timu mbili kubwa

Ifike wakati tuhoji katika mizania sawa hapo tutajenga zaidi taifa letu na soka kwa ujumla
Kwani hapa tunazungumzia yanga au simba
 
Hapo shida yako ni tangazo la sabuni, kama ingekuwa ile Mo energy uliyoizoea usingelia.

Simba imekuwepo miaka mingi, lakini hata mishahara ya wachezaji ilikuwa tatizo, timu ilikuwa inategemea viingilio vya milangoni ambavyo havikutosha chochote zaidi ya wale makomandoo kuneemeka kwa kupitia jina la timu.

Leo amekuja Mo, anasajili wenye viwango, anawalipa mishahara mizuri kwa wakati hatusikii wakilalamika kama upande wa pili, wanafanya vizuri ndani na nje ya nchi, brand ya timu inazidi kukua, lakini cha ajabu kwenu anayechangia kuikuza hiyo brand hatakiwi kutangaza biashara zake.

Kila siku mmekalia majungu Mo anaiibia Simba SC, bila kutuonesha ushahidi usio na shaka anaiba vipi na wapi, Simba inaingiza kiasi gani na Mo anaiba ngapi.

Wazungu husema "he who alleges must prove" if you can't shut up; vinginevyo nyie mnaoutumwa na makomandoo au ndio makomandoo wenyewe kupiga kelele mnajisumbua tu, Simba SC ilishatoka huko.

Hamjiulizi pesa za usajili, posho, gharama za usafiri na malazi, mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi hutoka wapi, mnalialia tu; toa hizo gharama zote halafu tuambie Mo anaiba ngapi tofauti na kile alichoweka Simba SC sio maneno matupu kila siku.

Kama mlikuwa na hii akili ya biashara kwanini hamkujitokeza kabla Mo hajaenda Simba SC? au mmepata akili baada ya Mo kwenda Simba? wacheni kelele, mlilia na bil 20 zikawekwa, mmebaki kuhamisha magoli wachovu nyie.
Watu kama hawa ndio wakwanza kulaumu kwanini mpira wa tz haukui ikiwa wao ndio kikwazo kikubwa. Yaani Mo anaweka pesa ya maana na timu inapiga hatua na inaonekana cha ajabu mtu kutoka kwao kashiba maandazi yake anataka aseme Mo anaiba. Basi mkawekeze nyie katieni zaidi ya 20B Mo atawaachieni.

Ifike hatua watu wamuheshimu mtu anaedhubutu. Ipo azam ya barkhesa mbona ana hela lakin anashindwa kuipandisha kwa kununua wachezaji wazuri..? Watu tukubali tu Mo kaleta maendeleo ya mpira tz kulitia simba sc
 
Unauliza swali at the same time unahitimisha. Sasa unataka tujadili nini? Kukusaidia tu hayo matangazo yote yana mkataba na wanatoa hela ndefu.

Kukusaidia zaidi. Jamani kuna 51% inahitaji wawekezaji, mkanunue shares muweke hela kama ni rahisi. Itawasaidia kupimana nguvu na major shareholder kwenye vikao vya maamuzi badala ya kutupigia kelele humu.

Yaani mtu atoe 20b na aiweke timu juu halafu umpangie jinsi ya kufaidika nayo,huu si ni wehu. Kwani timu ya mama yake ile. Ile ni biashara chief. Hizi kelele mmepiga mwaka wa 5 huu hazileti tija yeyote,hamchoki tuuuuu
Hela ndefu ndo shilingi ngapi??

Hiyo mikataba inajulikana wapi au kuna wanaijua??

Kwa nini hiyo mikataba iwe kama siri, mbona thamani ya mikataba mingine ya kibiashara kwenye michezo na hata kwenye hizi timu zetu huwa inajulikana.
 
nakosa muda wa kukupigia mbuzi gitaa
 
Unauliza swali at the same time unahitimisha. Sasa unataka tujadili nini? Kukusaidia tu hayo matangazo yote yana mkataba na wanatoa hela ndefu.

Kukusaidia zaidi. Jamani kuna 51% inahitaji wawekezaji, mkanunue shares muweke hela kama ni rahisi. Itawasaidia kupimana nguvu na major shareholder kwenye vikao vya maamuzi badala ya kutupigia kelele humu.

Yaani mtu atoe 20b na aiweke timu juu halafu umpangie jinsi ya kufaidika nayo,huu si ni wehu. Kwani timu ya mama yake ile. Ile ni biashara chief. Hizi kelele mmepiga mwaka wa 5 huu hazileti tija yeyote,hamchoki tuuuuu
Duh hiyo 51% nayo tena inatafutiwa Wawekezaji na sio Wanachana/Club ndio wanaomiliki? Kama ndio hivyo kweli nyinyi ni Mbumbumbu msiojielewa.
 
Back
Top Bottom