Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

Mel James

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
356
Reaction score
290
Katika mahusiano watu hushindwana sana kwenye tabia, hapo hupelekea wapenzi kuachana.
Ila sehemu za siri pia ni tatizo kubwa sana hupelekea watu wengi kuachana.

Mfano nishawahi kuachana na msichana mmoja mrembo sababu ya harufu kali sehemu ya uke!

Kuna watu washawahi kuachana sababu mmoja ana maumbile ya siri makubwa au madogo.

Wengine wameachana kutokana na uume kuwa lege lege, embu taja yako ulishawahi muacha mtu wako akiwa na shida gan?
 
Nakuja
1000092004.jpg
 
Back
Top Bottom