Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

UZINZI NI HATARI SANA KATIKA DHAMBI ZOTE AMBAZO MUNGU ANACHUKIA NI PAMOJA NA ZINAA ZINAAA ZINAAA ILIMUANGUSHA ADAM NA HAWA ILIFANYA KIFO KIINGIE DUNIANI ZINAA IMEFANYA MUNGU KULETA GHARIKA KIPINDI CHA NUHU ZINAA IMEFANYA MUNGU KUANGAMIZA KWA MOTO SODOMA NA GOMORA

KAMA UNATAKA UELEWE FUATILIA MAHUSIANO YAKO YAPI YAMEISHA VIZURI KATI YA ULIOLALA NAO AMA WALE AMBAO HUJAWAI KULALA NAO

JIULIZE NI MANGAPI YAMETOKEA BAADA YA KULALA NA MTU

ZINAAA NI MBAYA SANA KWASABABU NI TENDO LINALOTENDEKA NDANI YA MWILI

VIJANA OENI OANENI ACHENI UZINZI… MTAKUFA KWA ZINAAA

MUWE NA JUMAPILI NJEMA
 
Mimi na Mpenzi wangu tuna miaka 24 ndani ya Ndoa, yeye hana kabisa sehemu za siri lakini wala sijawahi kufikiria kumuacha...labda aanze yeye

Kwanini vijana wa sikuhizi hamna uvumilivu wala siri?
Hii kamba na chai nzito....Rudia kusoma ulichoandika
 
Mmmh am speechless japo k kubwa ni tatizo na kina mama zetu wa sasa wana mak makubwa mno tuendele3 kuwa wapole tutunzane tu maana hakuna namna
 
Back
Top Bottom