Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

Sehemu zenu za siri zikipatana mnamuachia nani sasa πŸ˜‚πŸ˜‚ila upwiru ni mbaya snaa
 
Mamdogo Amehlo, your comments please..!!
Shemela Evelyn Salt, sema neno tu na akili yangu ielewe..!!
Kwani we Bantu Lady unasemaje kwenye hili?
Rahabu embu sema kitu hapa.
 
Huyo anayenuka K Ni mgonjwa, ungempeleka hospitali tatizo lingeisha.
 
Kwani nini maana ya siri??
Okay, Neno "siri" lina maana kadhaa kulingana na muktadha. Kimsingi, siri inarejelea jambo au taarifa ambayo haijulikani kwa watu wengi au ambayo inapaswa kufichwa .........kulingana na chat gpt

Sasa siri gani kila mtu anaijua ya mwenzakeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…