Tukiachana na tabia, sehemu za siri pia hupelekea sana watu kuachana

Unakuta unamtongoza mtu, katikat ya mahusiano unagundua anamiliki kadi ya Ccm, aiseeh hiyo kitu inakata sana stimu.
 
Watu hawaelewi hawajui kuchukuliana, kama kuna mtu unaona ana harufu msaidie jaman mbona tatizo linatibika na hata kusahau, wenye maumbile madogo mbona nao wanahitaji kuwa na wapenzi mfano mwenye uume mkubwa kuna stail zake na hata mwenye dyudyu dogo pia tena vibamia vinakuna vzr hadi raha na havilali ovyo kwa kweli
 
Ushiled
 
unashauri hivyo wewe ukiwa kama nani?
 
kuna wanawake hawana budi kujitambua hasa kipengele cha usafi wa sehemu za siri ,yaani kabla ya tendo jisafisheni sehemu zote ,mlango wa mbele na nyuma kadhalika kwa jinsia ya kuime .Yaani kuna wanawake wame wadisapointi wanaume kwa sehemu kubwa mtu anaonekana very beautiful lakini katika kile kipengele ananuka panya akasome sasa unategemea nini wanaume wenyewe wamesha onjaonja nje wanaexperience ya kutosha.
 
Waafrika bana.

Yaani Kikojeo, kikunyio kinasababisha watu kuachana!
 
Mimi na Mpenzi wangu tuna miaka 24 ndani ya Ndoa, yeye hana kabisa sehemu za siri lakini wala sijawahi kufikiria kumuacha...labda aanze yeye

Kwanini vijana wa sikuhizi hamna uvumilivu wala siri?
Lakn JF kuna watu mnaongea pumba asee🀣🀣
 
Unamuacha mtu kwa sababu ana dudu dogo au dudu kubwa huo ni UTROTRO.

Ni utoto na ujinga kwa sababu mbolo zote ni tamu iwe kubwa au ndogo ni tamu mno....

Japo wadada wengi ni walaku wa MIBORO MIKUBWA, sijui wanataka KUBOMOLEWA VIZAZI?

Ridhikeni jamaniii... khaaaa.... majitu malaku ya MBORO.

Cc: Lamomy Extrovert Poor Brain Mbaga Jr secretarybird
 
Pialu wapi..
Sio unapita kimya kimya tyuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We kaongoo sanaa..... njoo Kinyerezi hapa namtuma boda anakufata utakula pilau mpaka uvimbiwee....

Nimepika masotojo ya kila aina... utajilambaaaa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kudadakeee et masotojo....
Sawa ngoja nifanye mpango tuone..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…