Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

Nipo Sehemu X

Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.

In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana

Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.

Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.

Pathetic
Fanya kilichokuleta,Dunia hii atakaiweza ni aliyeiumba
 
Nipo Sehemu X

Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.

In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana

Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.

Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.

Pathetic
Si vijana tu ni rika zote.
 
Vijana wa Tanzania wananituma sana na kupiga kazi wakipata fursa nzuri tatizo mnachukulia vijana wachache ndio majibu ya Watanzania wote nenda ukaone vijana wa Zambia,Malawi au SA uone wanavyochezea fursa mtu akilipwa mshahara harudi kazini mpaka hela yote iishe kwa pombe akirudi kazini kazi hakuna (umsebenzi auko) Kizulu hapa watu hawanywi pombe ukitaka ujue wanywaji shuka Lusaka au Joberg au nenda maduka makubwa ya bottle store uone watu wananunua pombe za nyumbani kama za kwenda kuuza...
 
Kiasi fulani unasema kweli ukisikiliza maoni vijana wa kenya na Tz ni tofauti kabisa...
Hata kwenye page za social media vijana wa Tz wana shida mpaka unajiuliza huyu mtu kweli ni baba au mama katikati familia fulani
Naungana na wewe mkuu. Vijana wa Tanzania kama alivyoeleza mtoa mada ni kweli kuna tatizo. Mimi nimeona na kujiridhisha hasa utendaji kazi vijana wengi hawapo makini kama vijana wa nchi zingine. Wakipewa kazi hawafanyi kwa umakini na kujali muda pia mazungumzo yao mengi hayana tija ktk kujenga mustakabali wa maisha yao.
Kuna sehemu walikuja vijana wataalamu kutoka Ardhi kuchukua data na kuthamanisha mali ili kupewa fidia ktk mashamba yetu. Kwanza hawakuwa makini wakichukua data kesho yake wanarudia kwa sababu walikosea. Pia hawajali muda tukipanga kuanza kazi saa tatu asubuhi wanafika kazini saa tano?na kuanza kazi saa sita au saba zaidi mazungumzo yao tukiwa kazini ni tofauti sana na vijana wa nchi zingine.
Kuna mahali kama taifa tunahitaji kurudi kwenye misingi kimaadilj na kiutendaji
 
Nipo Sehemu X

Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.

In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana

Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.

Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.

Pathetic
Watu wasio na malengo na waliokata tamaa ya maisha mawazo yao na matendo yao asilimia kubwa huelekea huko. Huitaji Rocket Science kujua hilo
 
Nipo Sehemu X

Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.

In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana

Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.

Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.

Pathetic
"Insteady of cursing the darkness,light the candle"
Unayoyaona sio chanzo ni dalili ya mifumo ya jamii kufa/iliyokufa
Hiyo ni taswila/reflection ya kinachoendelea kwenye jamii,
Lakini pia,hicho unachosema "kuvaa uchi"wakati mwingine ni mtazamo tu,sasa unataka Binti wa 2022 avae kama Binti wa 1990!chupi,gagulo,gauni lefu mpaka chini,na kanga juu!!!,
Waza kama kijana wa 2022,sio Mzee wa miaka ya 80!!
 
Kwa vijana kuwa wa hovyo ina onyesha kuwa ata wazazi nao walikuwa wa hovyo maana mtoto ujifunza toka kwa wazazi na sio vice versa
Naona wengi mnatupia lawama wazazi. Wapo vijana wengi tu wamepata malezi mazuri na familia bora wakakengeuka mbele ya safari. Wengi wanakengeuka vyuoni huko au wakiingia mtaani kuanza maisha yao.
 
Trust me if u look back and retrace their steps u will find out that at some point parent neglected the signs. Mtoto habadiliki in one day. Mtoto kuwa wa hovyo ni mzazi kupuuzia vile viashiria toka mwanzo.

Mfano rahisi tuu. Mtoto anaanza kudokoa vitu ndani ya nyumba wee mzazi ufumbia macho baadae mtoto anakuwa mwizi utasema kuwa mzazi hajachangia kwenye hilo?
 
Je unakubali kuwa kuna watu wanalelewa vizuri ila wanakengeuka wenyewe mbele ya safari?
 
Back
Top Bottom