The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Sio vijana pekee ni majority ya watz hatujitambui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya kilichokuleta,Dunia hii atakaiweza ni aliyeiumbaNipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
Si vijana tu ni rika zote.Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
Naungana na wewe mkuu. Vijana wa Tanzania kama alivyoeleza mtoa mada ni kweli kuna tatizo. Mimi nimeona na kujiridhisha hasa utendaji kazi vijana wengi hawapo makini kama vijana wa nchi zingine. Wakipewa kazi hawafanyi kwa umakini na kujali muda pia mazungumzo yao mengi hayana tija ktk kujenga mustakabali wa maisha yao.Kiasi fulani unasema kweli ukisikiliza maoni vijana wa kenya na Tz ni tofauti kabisa...
Hata kwenye page za social media vijana wa Tz wana shida mpaka unajiuliza huyu mtu kweli ni baba au mama katikati familia fulani
Watu wasio na malengo na waliokata tamaa ya maisha mawazo yao na matendo yao asilimia kubwa huelekea huko. Huitaji Rocket Science kujua hiloNipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
"Insteady of cursing the darkness,light the candle"Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
Naona wengi mnatupia lawama wazazi. Wapo vijana wengi tu wamepata malezi mazuri na familia bora wakakengeuka mbele ya safari. Wengi wanakengeuka vyuoni huko au wakiingia mtaani kuanza maisha yao.Kwa vijana kuwa wa hovyo ina onyesha kuwa ata wazazi nao walikuwa wa hovyo maana mtoto ujifunza toka kwa wazazi na sio vice versa
Trust me if u look back and retrace their steps u will find out that at some point parent neglected the signs. Mtoto habadiliki in one day. Mtoto kuwa wa hovyo ni mzazi kupuuzia vile viashiria toka mwanzo.Naona wengi mnatupia lawama wazazi. Wapo vijana wengi tu wamepata malezi mazuri na familia bora wakakengeuka mbele ya safari. Wengi wanakengeuka vyuoni huko au wakiingia mtaani kuanza maisha yao.
Je unakubali kuwa kuna watu wanalelewa vizuri ila wanakengeuka wenyewe mbele ya safari?Trust me if u look back and retrace their steps u will find out that at some point parent neglected the signs. Mtoto habadiliki in one day. Mtoto kuwa wa hovyo ni mzazi kupuuzia vile viashiria toka mwanzo.
Mfano rahisi tuu. Mtoto anaanza kudokoa vitu ndani ya nyumba wee mzazi ufumbia macho baadae mtoto anakuwa mwizi utasema kuwa mzazi hajachangia kwenye hilo?
Wachache sana.Je unakubali kuwa kuna watu wanalelewa vizuri ila wanakengeuka wenyewe mbele ya safari?