DuuuAcha hao wanaoombea, hao ni cha mtoto, hao inaonyesha ni wanyonge na hawana cha kufanya hivyo wamebaki wakitegemea maombi tu. Kuna wanao kaa vikao kujadili nani afe na afe lini na namna gani, halafu wanakwenda kuua wenyewe.
Muulize huyo atuambie nani amewahi kuandika uzi hapa akiombea fulani afe? Yani mtu aweke hisia zake hasi ndani ya kichwa chake mwenyewe halafu aje huku kushutumu watu?Unetutajia member mmoja tu aliyemtakia mwanasiasa kifo cha Corona ingependeza zaidi!
Ndoo ujue waswahili hawa akili zaoHili jambo nimeliona sana humu...Achana na hilo, kuna wengine hata nyuzi za tanzia wanaonekana kufurahia....limenistaajabisha sana hili.
Imagine! Nitamshangaa sana Lissu kama hana watu anaowaombea wapate Corona.
Si alikuwa anasifia njia mbovu za kupambana na corona aendelee kusifu na kuabudi. Alijitoa ufahamu.Vipi kuhusu yule aliyewafananisha watanzania wenzake na corona, yeye mbona ulikaa kimya
Pia kuna Mbunge wa CCM na mwenyekiti wa UVCCM mkoa walipendekeza Zitto auawe ila jamaa lilikaa kimyaKuna watu walishabikia maumivu ya Lissu tena hadharani na kutaka kuuwawa kwa Lissu, maandiko yapo na video zipo, wapi uliwakemea? Lissu hana damu na mwili? Tuache unafiki, wacha wafe kama wanakufa
Naikumbukà sana ile video clip! Halafu MTU anakuja kuandika makala ndefuuu kujifanya hayajui hayaPia kuna Mbunge wa ccm na mwenyekiti wa uvccm mkoa walipendekeza zitto auawe ila jamaa lilikaa kimya
Alipotangazwa mtoto wa mbowe ilikuwa Kumtakia nini?. Eti asiambukize wengine kwa hiyo hao wagonjwa waliambukizwa na wasiotangazwa. ACHENI UZEZETA. Kama kutangaza ilikuwa kuzuia maambukizi mngemtangaza kila mgonjwa Mwenye corona.CCM ndo inafundisha kuombea wenzako wapate Korona?