Usiwe mbishi wakati kichwani ni empty box. Ndege maalum za Marais wetu zilishakuwepo tangu enzi za Nyerere. Na ndege ya mwisho kabisa kununuliwa ilikuwa enzi za Mkapa!walikuwa wanatumia ndege za mkopo?
Usiwe mpumbavu Rais ana ndege rasmi kwa ajili ya ziara zake labda kama CCM mmezifisadi!Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Ndio niniKatika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Ndugu mbona unaandika utumboKatika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
TGFA walikua na ndege kibao za viongozi mpaka nyingine wameitelekeza toka 2015(Ile Fokker 28) ila imekula billion kadhaa za matengenezo japo haitumiki mwaka wa 6 huuKatika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Hivi unatumia kiungo gani kufikiri na kutenda wewe zooba?
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Proff Assad anajua uislam kuliko wew uliyeishia madrassa....Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Mkuu kwa lugha ambayo wengi hawapendi kuambiwa lakini ndo ukweli wenyewe na umeufafanua vizuri kabisa hapa huyo mtu tunamwita "MPUMBAVU"Kuna mtu hapa hajui kama hajui
Atakuwa anatumia makalioHivi unatumia kiungo gani kufikiri na kutenda wewe zooba?
Nimeamini maneno yako mkuuAnachokojolea ndio anatumia kufikiri maana ubongo wake haupo kichwani tena
Duuuu kaishia madrasa ina maana uwezo wake wa kufikiri hauna tofauti na mwana madrasaProff Assad anajua uislam kuliko wew uliyeishia madrassa....
By the way inayokopa ni serkali ambayo haina dini
Haswaaaa
Watu wapo obsessed na mwendazake mpaka sera zake. Mtu hajui hata biashara ya genge, achilia mambo ya micro wala macroeconomics, anajimwambafayi eti angeenda na ndege ya mkopo. π π πHujui tofauti ya ndege ya Rais na za Atcl? Akitumia hizo za Atcl ni kwa mapenzi yake mwenyewe.
Huna akili kabisawalikuwa wanatumia ndege za mkopo?
Nyie watu nyie!!!, polepole alimfundisha hesabu prof, leo wewe unamfundisha uislam si ndio?Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Mungu anamuona Mzee Mramba.Upo dunina ya wapi nani kakwambia serikali ya tanzania ishakosa ndege ya rais tangu tupate uhuru
Nikupe tarifa tulishambiwa tule nyasi ili ndege ya rais inunuliwe na ikanunuliwa ndege ya rais
Ila.maisha yanaenda kasi sijui yupo wapi mzee mramba eti tule nyasi rais apate ndege
Ww ni zero, kwenye uislamu hakuna sehemu iliyosema mikopo ni haramu,bali riba ndo haramuKatika uislamu mkopo si jambo la heri.