Nakubaliana na hoja. wengi wa wataalaamu ni wajuzi na wana ufahamu wa kutosha ila hawana utaalamu wa namna bora ya kuwasilisha wanachotaka kuhiambia jamii, jamii yenye watu wa aina mbalimbali, wanene, wembamba, wenye maradhi mbalimbali yanayoingiliana na ulaji wa vyakula baadhi tu n.k.Mkuu,
Tulishalijadili hili.
Kuna mtu alimtetea hivyo hivyo unavyomtetea, akanibishia nikaweka mpaka video hapa. Nikaweka mpaka dakika na sekunde ya kuanza kusikiliza.
Jamaa alikimbia. Hakuweza kuendelea kumtetea Janabi.
Usibisje. Janabi alivyosema ni kwamba ukiona dalili yoyote kati ya hizi umefika advanced stage ya ugonjwa wa figo.
Niliweka video mpaka dakika za kwenda kusikiliza nikaziweka hapa.
Don't make me do it again.
Tatizo hao maprofesa wenu wanaongea sana bila kufikiri na bila kujua kwamba kila neno lina uzito, na watu wengi sana wanawaamini. Wanawachanganya watu.
Inabidi wakati wanatoa mada waifikilie jamii inayopokea. Kingine basi waweke tahadhali kwamba itabidi umuone dactari wako, au waweke tahadhali za exceptions, mfano unaweza kula mlo mmoja ndio standard ila kwa watu wanaofanya kazi nzito au wenye kitu a,b,c unatakiwa upatiwe tailored nutrional health advices inaezekana wewe ocupational yako inahitaji wanga na proteein za kutosha kwa hiyo mlo mmoja hautoshi . Sasa yeye anakurupuka na kugeneralize ushauri as if watu wote ni homogenous.