Tukifuata ushauri wa Professor Janabi tutaangamia kwa njaa

Nakubaliana na hoja. wengi wa wataalaamu ni wajuzi na wana ufahamu wa kutosha ila hawana utaalamu wa namna bora ya kuwasilisha wanachotaka kuhiambia jamii, jamii yenye watu wa aina mbalimbali, wanene, wembamba, wenye maradhi mbalimbali yanayoingiliana na ulaji wa vyakula baadhi tu n.k.

Inabidi wakati wanatoa mada waifikilie jamii inayopokea. Kingine basi waweke tahadhali kwamba itabidi umuone dactari wako, au waweke tahadhali za exceptions, mfano unaweza kula mlo mmoja ndio standard ila kwa watu wanaofanya kazi nzito au wenye kitu a,b,c unatakiwa upatiwe tailored nutrional health advices inaezekana wewe ocupational yako inahitaji wanga na proteein za kutosha kwa hiyo mlo mmoja hautoshi . Sasa yeye anakurupuka na kugeneralize ushauri as if watu wote ni homogenous.
 
Profesa Anna tibaijuka aliwahi kusema"tatizo la Tanzania si kukosekana kwa wataalam bali nikutokuheshimu taaluma;
Bandiko zuri na ushauri mzuri zaidi.
Tuwaheshimu,na kuwatii wasomi wetu kadri ya uwezo wetu. Elewa neno, (kadri ya uwezo wako)
 
nyie msikilizeni tu maaneeneer mtkuja kufa mwenzenu anabeba hadi kitimoto choma kwenye brifcase yake nyie mnasikiliza ngonjera zake, kwani kabla ya yeye watanzania walikua wanaishi namna gani? stupid thin professor.
 
Mimi ni fundi ujenzi, nafunga mwezi mzima wa ramadhani nikiwa kazini,Sadio maney,Suley Ally muntar na wachezaji mpira wengi hufunga mwezi mtukufu wa ramadhani na kucheza mechi za mashindano. Vipi hizi kaya mkuu sio za kutumia nguvu kubwa!?
 
Baada ya mfungo unafururu msosi gani?? Na hiyo ni mwezi mmoja tu wala sio maisha yako yote au walau hata miezi 3.
 
Naam.

Such basic things lakini kwetu ni mgogoro mpaka kwa ma profesa.
 
Baada ya mfungo unafururu msosi gani?? Na hiyo ni mwezi mmoja tu wala sio maisha yako yote au walau hata miezi
Kwa kawaida hakuna ratiba ya shughuli yoyote ile unayoweza kuitekeleza kwa maisha yako yote, mabadiliko yanawezakufanyika kulingana na utaratibu utakaojiwekea kulingana na mahitaji ya wakati.
 
Kwa kawaida hakuna ratiba ya shughuli yoyote ile unayoweza kuitekeleza kwa maisha yako yote, mabadiliko yanawezakufanyika kulingana na utaratibu utakaojiwekea kulingana na mahitaji ya wakati.
Wanaofanya kazi ngumu na kufunga ni wengi mkuu, lakini ni ndani ya huo mwezi tu. Baada ya hapo ni msosi mfululu.
Uwe na mwili kama wa Janabi halafu uwe unabena viromba vya magimbi sokoni, utaweza??
 
Na msiba wako wakachinja mbuzi au ng'ombe
 
Janabi anapaswa kupata tiba ya afya ya akili.

He is unfit kwa namna anavyotoa maelekezo yake ya kipuuzi kwa umma
 
Profesa Anna tibaijuka aliwahi kusema"tatizo la Tanzania si kukosekana kwa wataalam bali nikutokuheshimu taaluma;
Bandiko zuri na ushauri mzuri zaidi.
Tuwaheshimu,na kuwatii wasomi wetu kadri ya uwezo wetu. Elewa neno, (kadri ya uwezo wako)
Ila professor Janabi na professor Tibaijuka ukiangalia miili yao utadhani ni kaka na dada.
Sijui kama Tibaijuka nae kaacha kunywa juice!
 
Mtadanganywa sana na hizo mifumo ya kula.mkija gundua anayewapa ushauri huyo badae anatandika fufu na egusi mamichuzi ya kwao huko ka.a hana akili nzuri.
Na mtachoka zaidi mkijua hata hiyo sio fani yake.
 
Ila professor Janabi na professor Tibaijuka ukiangalia miili yao utadhani ni kaka na dada.
Sijui kama Tibaijuka nae kaacha kunywa juice!
Ndio wasomi wetu hao, vyovyote vile walivyo tuwalindie heshima, wanalo walijualo na wanajitoa kwa ajili yetu.
 
Wanaofanya kazi ngumu na kufunga wengi mkuu, lakini ni ndani ya huo mwezi tu. Baada ya hapo ni msosi mfululu.
Uwe na mwili kama wa Janabi halafu uwe unabena viromba vya magimbi sokoni, utaweza??
Unaweza mkuu, wembamba haumaanishi udhaifu wala ubonge haumaanishi uimara, Professa ana nguvu zakutosha usimjaribu!
 
Unaweza mkuu, wembamba haumaanishi udhaifu wala ubonge haumaanishi uimara, Professa ana nguvu zakutosha usimjaribu!
Ushawahi kwenda kuona wanaobeba mizigo masokoni??
Hata akiwa mwembaba anakua amejengeka misuli kwa kubeba vitu vizito.

Mbeba vitu vizito umpe breakfast ya matunda/asile kama Janabi anavyodai, mchana ale kiduchu sijui jioni ale matunda , mzee kesho hata kutembea atashindwa.

Wewe ni daktari??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…