WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Umeandika uchakubanga mtupu..Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu.Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki.
Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa, KUNYANYASHWA, na kubaki katika UMASKINI wao.
Wananchi walitumika kama MITAJI ya KISIASA kwa wenye NGUVU za KIFEDHA na uchu wa madaraka.
Kwenye KAMPENI zao wananchi WALIAAHIDIWA ahadi kibao. Waliambiwa mtapata hiki na kile oh mtapata maji WAnasiasa walipoingia madarakani.AHADI nazo zikawa ni AHADI tu.
Wakaahidiwa maendeleo na USTAWI, badala yake WALICHOAMBLIA ni UMASKINI uliokithiri.
Wakaahidiwa UMOJA na USAWA na badala yake walichobulia ni UTENGANO wa WALICHONACHO na WASO NACHO.
kumbuka huku wengine wakiwa CHAMANI CCM walikua WAKILA mali ya CHAMA na kuifanya ni kama yao. Yaani vurugu mechi tu.Mpaka Magufuli alipotokea KIPONYA TAIFA.
Wakati haya yote yanafanyika Benard Membe and Co. ndo walikuwa MSTARI wa mbele chamani/ the DEEP STATE fellas/watu wa ndani na wa karibu...
Akiwa Wizara ya mambo ya nje hakukuwa na utaratibu NA MENGINE HATUWEZI KUYASEMA HAPA.,
Balozi zetu zilikuwa kama shamba la bibi. Hela nyingi ilitumika vibaya na watuwaliokuwa on tour of duty/Kzaoza kibalozi/ni nk wengine WALIDIRIKI KUKATA kurudi Tanzania maksudi hivyo kuendelea kukaa huko majuu kwa kadri ya MUDA waliopenda. KINYUME kabisa na TARATIBU za tour of duty katika wizara ya Mambo ya Nje.
Kama ULIJUANA na Membe mambo yako yalikuwa ni mazuri.
Kama WIZARA ILIMSHINDA TAIFA ZIMA ATALIWEZA?
Uongozi si ujuziwa kusema /ELOQUENCE. Ni zaidi ya kuzunguka zunguka nchi za nje.
SWALI: Ni nini kipya atakachowaambia Watanzania hasa baada ya MAGUFULI KUREKEBISHA both madudu serikalini na CHAMANI ambacho yeye mwenyewe ndo alikuwemo?
Ni maendeleo yapi ambayo Benard Membe ATAFANYA ama MAWAZO/IDEAS mpya ambazo atawauzia Watanzania sera WAZINUNUE?
Tusidanganyane Benard Membe HAFAI kuwa RAIS.
Rais Magufuli aendelee na maono yake kwa wanyonge na wasio na sauti.
Watanzania wanachotaka sasa na walichakipata ni UONGOZI ulio na MAONO/VISION.
Na Si SIASA tupu tena.
Hatutakubali kutumika tena KAMA MITAJI ya WATU.
Sasa tuna miundombinu mizuri, Hospitali, Zahanati, SGR, MAJI, UCHUMI wa KATI ambao Tanzania wamepewa MIAKA 5 mapema zadi kabla ya wakati 2025hii ni kusema Magufuli anakubalika KIMATAIFA.
Hizi zinginezo ni mbwebwe za Membe.
TUKIKUMBUKA yale MAZURI JPM aliyoyafanya kwa muda mfupi sana pia HATuTASAHAU UNAFIKI wa Benard MEMBE
Kwa nini hatukuona mazuri mengi sana ya wakoloni pia? Jibu mmoja wapo na la muhimu sana la swali lako liko hapo kama utaweza kulijibu kwa kufikiria kwa kina...Kwa nini hamuoni mazuri yeyote kwa Magu?
Too low, paralleling unparalleled, conceptually inept mixing metaphysics with science therefore complete confusion. Herd immunity yes. Consequence? 3% of Tanzanians died silently. Why the government not coming openly telling this to public instead of championing useless metaphysics? Only fools believed the Madagascar juice would work! Please get back to sense.Nataka nikupe UFAHAMU kidogo tu kwa kile kinachotokea hapaTanzania kuhusu COVID19. SarsCov2
1.Mungu ni kweli akikimbiliwa huwa na huruma.Rais alipotangaza watu wamlilie Mungu maombi yao naamini yalisikiwa.Najua kwa hili utaleta mjadala hata hivo acha nisemem tu.
2. Tanzania sasa ninachoamini KISAYANSI / Medical Science ni kuwa watu wengi wamedevelop kitu kinachoitwa HERD IMMUNITY/Kinga inayokuja wakati mtu anapokuwa EXPOSED mara kwa mara na virusi hivyo.
Na hivyo kinga YA MTU inatoa/produce ProtinI ijulikanayo kama ANTIBODIES/ KISAYANSI/IMMUNOGLOBULIN ambayo hupigana na ugonjwa na kuproduce antigens ambazo huonekana kama adui lakini baadaye mwili huitambua namatokeo yake ni kuwa ANTIGENS huchua usukani wa VITA MWILINI.
Na mwishowe mwili UNAZOEA na unashinda vita.
Si ajabu Kama SAMPLE ZA WATANZANIA zikipimwa leo utakuta wana ANTIGENS KIBAO WENGINE WAKEKAA NAZO TANGu MIAKA 3 ILIYOPOTA .Na HAWAUGUI unlessstu mtu mwenye underlying condition kama KISUKARI.
3. KISAYANSI Tanzania tangu miaka ya zamani Hospitali ama WIZRA ya AFYA ilijikita sanakatika kutoa kinga ya chanjo ya KUZUIA TB {BCG} na kwa utafiti wa sasa nchi ambazo zilichanjaga watu wake na BCG wamegudua kando ya BCG kuzuia TB piaina STIMULATE THE IMMUNITY STSTEM zima mwilini na hivo COVID 19 inakuwa haina nguvu zaidi.
Ili kudhibitisha hili.
Wahidumu wa afya 4000 wa AUSRALIA na AFRIKA YA KUSINI wamejitolea WACHANJWE BCG kama majaribio maana kuna debate ya mafanikio ya chanjohii ya zamanisana.
Nchi nyingi za ULAYA na MAREKANI ZILIACHAGA ZAMANI kuchanja BCG unless tu mtu ni At risk kama nchi kama Uingereza ambayo pia si lazima.
4.La mwisho Watanzania hawali VITU VYA SUKARI SUKARI , Maana SUKARI ikiwa nyingi mwilini . Tcells ambazo ni mojawapo ya celi za KINGA HUWA ZINALEMEWA.
Kazi kwako.
Mkuu,Why go ballistic? There is nothing like metaphysics here on what I tried to explain to you giving you some inputs ostensibly to help you at least that you might grasp some knowledge.Too low, paralleling unparalleled, conceptually inept mixing metaphysics with science therefore complete confusion. Herd immunity yes. Consequence? 3% of Tanzanians died silently. Why the government not coming openly telling this to public instead of championing useless metaphysics? Only fools believed the Madagascar juice would work! Please get back to sense.
Pamoja na kututawala Mkoloni alitupatia ELIMU NA MAARIFA.Kwa nini hatukuona mazuri mengi sana ya wakoloni pia? Jibu mmoja wapo na la muhimu sana la swali lako liko hapo kama utaweza kulijibu kwa kufikiria kwa kina...
Nashukuru. Kama tu ungenipatia moja ya huo uchakubanga ni ujue ili niurekebishe ningefurahi sana.Umeandika uchakubanga mtupu..
Sijakupata vizuri mkuu.Nadhani umeshaona kwanini nilikwambia hivyo kiongozi!!
Na mengine mengi pia... tusijidanganye, miundo mbinu pia walileta sana kwa miaka zile... but what is my question to you? Why didn't we see all those good things and chased them away?Pamoja na kututawala Mkoloni alitupatia ELIMU NA MAARIFA.
Please ukipata majibu yenye tija unitag MkuuNa mengine mengi pia... tusijidanganye, miundo mbinu pia walileta sana kwa miaka zile... but what is my question to you? Why didn't we see all those good things and chased them away?
Eti miundo mbinu tena Tanganyika ipi hiyo?.Na mengine mengi pia... tusijidanganye, miundo mbinu pia walileta sana kwa miaka zile... but what is my question to you? Why didn't we see all those good things and chased them away?
In addition to that I have not even touched the Madagascar stuff you talked about.Too low, paralleling unparalleled, conceptually inept mixing metaphysics with science therefore complete confusion. Herd immunity yes. Consequence? 3% of Tanzanians died silently. Why the government not coming openly telling this to public instead of championing useless metaphysics? Only fools believed the Madagascar juice would work! Please get back to sense.
Bado nakusubiriUmeandika uchakubanga mtupu..
Nasubiri nilivyokuliza mkuu.Nadhani umeshaona kwanini nilikwambia hivyo kiongozi!!
Haha haha!! Eti stress na "wataniona tu".kuna stress inakusumbua Mkuu tulia... acha maspidi wakubwa watakuona tuu
Ni lisahau jambo moja Sina SPIDI .Mwendapole hajikwaikuna stress inakusumbua Mkuu tulia... acha maspidi wakubwa watakuona tuu
Unajua OCTOBER mzee anarudi kwa asilimia kubwa zaidiya 2015?Mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe au ndo mmeanza KUWEWESEKA NA OCTOBER HAIJAFIKA?
Naona ninyi watu hamna macho?Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
Lete data humu50M kila kijiji,laptop kwa kila mwalimu,elimu bure,mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wote,kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuboresha kilimo na kutafuta masoko kwa wakulima,Tanzania ya viwanda nimeyataja kwa uchache vipi yametekelezwa hayo Bwasheee?
Magufuli amekuwa waziri for 20yrs kwenye serikali ya chama gani? Kuna madudu mangapi ameyafanya kule wizara ya ujenzi,wizara ya nyumba,ardhi na makazi,na wizara mifugo na uvuvi? Pale Ikulu kuna madudu mangapi anayafanya?
Njaa mbaya sana zinawatoa akili na kubakia na akili ya kusifu na kuabudu tu.
Katika Kulijibu swali lako- Uhuru huo upo 100%.Swala si Nani anafaa
Swala ni Uhuru wa wananchi kusema yupi anafaa na yupi hafai..
Uhuru huo upo?