Hata mashetani yanazidiana, Boss! Niambie mtu kama Mbowe ambaye hawezi hata kujenga ofisi, lini atafikiria kuondoa tatizo la maji?Magufuli ndo kafanya Nini Cha maana ? wote magamba tu watupishe wametuchelewesha na lichama lao la hovyo, yaani baada ya Miaka 60 ndo tumeingia uchumi wa chini Kati?
Mawazo ya kiumasikini na kuabudu watu badala ya Mungu. Si huyo mtu wako aliahidi laptop kwa kila mwalimu? Au si huyo aliyeahidi 50m kila kijiji? Ama si huyo aliyeahidi kuboresha maslai ya watumishi kwa nia ya kuwafanya watumishi wawe na maisha bora? Yako mengi na kila nikiandika nahisi kukasirika zaidi. Kufanya mambo kwa fedha ya zuruma si sawa na kupata utajiri kwa kutoa kafara ya ndugu zako? Waliyemwita dikteta walikosea nini?Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu.Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki.
Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa, KUNYANYASHWA, na kubaki katika UMASKINI wao.
Wananchi walitumika kama MITAJI ya KISIASA kwa wenye NGUVU za KIFEDHA na uchu wa madaraka.
Kwenye KAMPENI zao wananchi WALIAAHIDIWA ahadi kibao. Waliambiwa mtapata hiki na kile oh mtapata maji WAnasiasa walipoingia madarakani.AHADI nazo zikawa ni AHADI tu.
Wakaahidiwa maendeleo na USTAWI, badala yake WALICHOAMBLIA ni UMASKINI uliokithiri.
Wakaahidiwa UMOJA na USAWA na badala yake walichobulia ni UTENGANO wa WALICHONACHO na WASO NACHO.
kumbuka huku wengine wakiwa CHAMANI CCM walikua WAKILA mali ya CHAMA na kuifanya ni kama yao. Yaani vurugu mechi tu.Mpaka Magufuli alipotokea KIPONYA TAIFA.
Wakati haya yote yanafanyika Benard Membe and Co. ndo walikuwa MSTARI wa mbele chamani/ the DEEP STATE fellas/watu wa ndani na wa karibu...
Akiwa Wizara ya mambo ya nje hakukuwa na utaratibu NA MENGINE HATUWEZI KUYASEMA HAPA.,
Balozi zetu zilikuwa kama shamba la bibi. Hela nyingi ilitumika vibaya na watuwaliokuwa on tour of duty/Kzaoza kibalozi/ni nk wengine WALIDIRIKI KUKATA kurudi Tanzania maksudi hivyo kuendelea kukaa huko majuu kwa kadri ya MUDA waliopenda. KINYUME kabisa na TARATIBU za tour of duty katika wizara ya Mambo ya Nje.
Kama ULIJUANA na Membe mambo yako yalikuwa ni mazuri.
Kama WIZARA ILIMSHINDA TAIFA ZIMA ATALIWEZA?
Uongozi si ujuziwa kusema /ELOQUENCE. Ni zaidi ya kuzunguka zunguka nchi za nje.
SWALI: Ni nini kipya atakachowaambia Watanzania hasa baada ya MAGUFULI KUREKEBISHA both madudu serikalini na CHAMANI ambacho yeye mwenyewe ndo alikuwemo?
Ni maendeleo yapi ambayo Benard Membe ATAFANYA ama MAWAZO/IDEAS mpya ambazo atawauzia Watanzania sera WAZINUNUE?
Tusidanganyane Benard Membe HAFAI kuwa RAIS.
Rais Magufuli aendelee na maono yake kwa wanyonge na wasio na sauti.
Watanzania wanachotaka sasa na walichakipata ni UONGOZI ulio na MAONO/VISION.
Na Si SIASA tupu tena.
Hatutakubali kutumika tena KAMA MITAJI ya WATU.
Sasa tuna miundombinu mizuri, Hospitali, Zahanati, SGR, MAJI, UCHUMI wa KATI ambao Tanzania wamepewa MIAKA 5 mapema zadi kabla ya wakati 2025hii ni kusema Magufuli anakubalika KIMATAIFA.
Hizi zinginezo ni mbwebwe za Membe.
TUKIKUMBUKA yale MAZURI JPM aliyoyafanya kwa muda mfupi sana pia HATuTASAHAU UNAFIKI wa Benard MEMBE
Usinisubiri we endelea kusifia ujinga wa Lower middle income economy...Bado nakusubiri
Aha! Kumbe wewe ni lile kundi la "The elites."/Walioisha faidika wakati wa madili dili.Usinisubiri we endelea kusifia ujinga wa Lower middle income economy...
Ni kweli ahadi ZOTE hizo alizitoa huku akidhani akishika utawala atakuta kuna HELA.Mawazo ya kiumasikini na kuabudu watu badala ya Mungu. Si huyo mtu wako aliahidi laptop kwa kila mwalimu? Au si huyo aliyeahidi 50m kila kijiji? Ama si huyo aliyeahidi kuboresha maslai ya watumishi kwa nia ya kuwafanya watumishi wawe na maisha bora? Yako mengi na kila nikiandika nahisi kukasirika zaidi. Kufanya mambo kwa fedha ya zuruma si sawa na kupata utajiri kwa kutoa kafara ya ndugu zako? Waliyemwita dikteta walikosea nini?
Sitaongeza neno mkuu.Hata mashetani yanazidiana, Boss! NIambie mtu kama Mbowe ambaye hawezi hata kujenga ofisi, lini atafikilia kuondoa tatuizo la maji?
Kwa hiyo sisi tunasifia ujinga? Na huoujinga ni upi?Usinisubiri we endelea kusifia ujinga wa Lower middle income economy...
Kama watu wangeelewa "Charity begins at home" Wangeacha ushabiki bila kufikiri.Hata mashetani yanazidiana, Boss! NIambie mtu kama Mbowe ambaye hawezi hata kujenga ofisi, lini atafikilia kuondoa tatuizo la maji?
Angalia unavyoandika... punguza maspidi ndugu.Haha haha!! Eti Mastress na wa wartaniona tu. .Kwanza kabisa
1.Sina stress yeyote. Huku kijijini hatuna Stress kama mlivo watu wa mijini. Huku Chakula tele na sinunui, mambo safi tu. Sasa stress itoke wapi?
2. Ninasikitika ikiwa kila maoni na mitazamo inayoonekana kama inaegemea kuupa utawala huu moni chanya unakuwa tagged sijui "UTAONEKANA. Sijui unataka kiki.
Swali kwani kila mtu anafikiriaga kama wewe? Na kama tungekuwa tunafikiria kama wewe basi wengine hata kuandika humu JF tusingetoa maoni yetu. Kwa kifupi Wengine wetu wazo kama hilo hatuna.
Tulia usiwe na dhana potovu.
Hicho kinachosababisha usahau ni maspidi, mihemko inayoambatana na sonona!!Ni lisahau jambo moja Sina SPIDI .Mwendapole hajikwai
'Sonona" ndo kusemaje.Bonge lamsamiatiHicho kinachosababisha usahau ni maspidi, mihemko inayoambatana na sonona!!
Mwanamageuko.Nashukuru sana kwa kunisahihisha kwa uandishi wangu wa haraka wakati nilipokuwa ninakujibu.Angalia unavyoandika... punguza maspidi ndugu.
Bila Lissu na Membe hutapiga kura kweli?Jpm na member wote magamba tu.Ila Mara 1000 jpm kuliko membe.Bila lissu sipigi kura kamwe
Nafikiri ulikosa hizo picha ama ushahidi.Ndo maana umeishia mitini.Mkuu,Why go ballistic? There is nothing like metaphysics here on what I tried to explain to you giving you some inputs ostensibly to help you at least that you might grasp some knowledge.
BUT When you allude your imaginary 3 % of Tanzanians died without subsequent data or verified or reliably and scientifically proven Data it remains vehemently a flat lie.
Your understanding on these issues could be the prelude of ignorance in some of what I wrote down.
Nevertheless this does not negate the fact of the situation in Tanzania as far as Covid 19 Pandemic is concerned that we are on a good path.
Whereas we cannot live on denial that this is a dangerous disease and have to be vigilant and adhere to the health guidelines given by the Ministry of health in order to prevent the vulnerable and ourselves at large from this deadly virus.
WHY I SAY your 3% is a LIE?:
TODAY in this nation we could be seeing THOUSANDS of people DYING ON ROADSIDES,STREETS, HOMES etc and this would have attracted a lot of attention both from ourselves and the International community ESPECIALLY in this DIGITAL ERA.!
However if you have TANGIBLE info on the DEATHS kindly give us in this FORUM/TUPATIE ushahidi humu JF KUWA maelfu ya watu wanakufa.
La sivyo kubali tu mkuu kwamba uliambiwa wala hukujionea.
Your Insidious anger against the government does not concern me. May be you could direct your disdains to the relevant authority which is the Ministry of Health. I am 100% sure that they are in a good position to listen to your grievances on why they have not gone PUBLIC .
And since I do not speak for the government ,mine was to give the nexus space so that we could engage ourselves in a healthy discourse WITHOUT
unnecessary acrimony.
Shukrani mkuu.
Ni kweli kabisa mikurupuko na mihemiko ni hasara tupu.Hata wananchi pamoja na uhuru wao lakini nao hukosea,
kuna jamaa huko philipino alikuwa mwana mziki aliendesha maandamano kumtoa raisi aliyekuwapo na kuafanikiwa kuchukua hiyo nafasi ya uraisi, na aliungwa mkono na wananchi.
Lakini baada ya miaka miwili nae wakamtoa kwa maadamano, kwa hiyo hawakuchagua kwa usahihi pamoja na uhuru waliokuwa nao,
Pili kuna raisi wa misri aliemtoa mubarak madarakani lakini alipoingia ndo akawa mwiba na kuongeza ma sheria makari
Pia haohao wananchi wakamtoa pia na akahukumiwa kunyongwa.
Sasa jiulize ni hasara ngapi walipata kutokana na maandamano ya mara kwa mara hao wananchi kwa kukosa umakini kwa kigezo cha uhuru wao?
Wananvhi waelimishwe ili wanapohitaji mabadiliko yawe yenye tija na sio kukurupuka na mihemko ya kisiasa na kingizia taifa hasara zisizo na tija.
1.Nashukuru kwa maelezo yako mazuri.Usipokuwa sujawahikumsikia JPM akisema kuwa yeye ni mungu ila ninyi ndo mnambadikia majina yasiyo yakeHao wote unaowasema ni walewale CCM na kumbe hujui watanzania tunachokitaka ni kuwa tumeichoka CCM iwe ya njano(Membe) au kijani(Magufuli) tunataka mabadiliko na serikali mpya inayojali wananchi wake na kufuata utawala wa sheria.
Nchi yetu hatutaki iongozwe kama familia ya mtu binafsi atakacho yeye ndicho afanye, hapana tunataka kiongozi mwenye kutuelewa watanzania tunataka nini na tushirikiane nae kuondoa changamoto zetu. Sie yeye afikiri badala yetu na kufanya anayodhani yeye inafaa.
Wapelekee salamu zetu huko hao wenzio wasiojua kama nchi ni ya watanzania sio ya CCM. Maana naona mmejisahau na kudhani nyie ndio wenye hati miliki ya nchi hii mkitaka nyie ndvyo itakavyokuwa. Tunataka kurudisha madaraka ya nchi hii kwa wananchi. Kiongozi yeyote hata kama ni rais ajue yuko chini ya wananchi na sio kujiona yeye ndiye "mungu" wa watanzania No!!!
Nasubiri unijibu.50M kila kijiji,laptop kwa kila mwalimu,elimu bure,mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wote,kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuboresha kilimo na kutafuta masoko kwa wakulima,Tanzania ya viwanda nimeyataja kwa uchache vipi yametekelezwa hayo Bwasheee?
Magufuli amekuwa waziri for 20yrs kwenye serikali ya chama gani? Kuna madudu mangapi ameyafanya kule wizara ya ujenzi,wizara ya nyumba,ardhi na makazi,na wizara mifugo na uvuvi? Pale Ikulu kuna madudu mangapi anayafanya?
Njaa mbaya sana zinawatoa akili na kubakia na akili ya kusifu na kuabudu tu.
Kiingereza chenyewe cha kuombea uji si bora uandike Kiswahili tu!Common sense is not common, sorry.
Ujinga ni mzigo.Eti miundo mbinu tena Tanganyika ipi hiyo?.
Maana Tanganyika haikuwa KOLONI na Muingereza kama wewe ni mawanafunzi mzuri wa hustoria.
Waliofaidika na miundo mbinu ni jiranizetwa Nchi ya Kaskazin maana wao ndo walikuwa KOLONI lao.
Kuhusu kuondoka kwao ambayo si kweti tu ni historia unayoijuia fika.
Pointi yako niipi mkuu?
Ni wapi nimekuandikia WEWE kiingereza mkuu?Kiingereza chenyewe cha kuombea uji si bora uandike Kiswahili tu!