Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

Kiingereza chenyewe cha kuombea uji si bora uandike Kiswahili tu!
Sasa nimekumbuka.
Nilipokuwa nakilezea kuhusu. Covid 19.
Nikakupa maelezo ya kitaalamu.
Ulichotakiwa ni kunijibu KItaalamu kwa Kiswahili ama kile KINGEREZA CHAKO kizuri. Na unipe hicho chako kilicho "METICULOUS" Maana wengine tulisomea chini ya miti.
Na kama yale nilyoyaongea yanazidi ufahamu wako katika nyanja hiyo. Ni viziri pia kunyamaza .
Hiyo nayo huwa inasaidia.
Shukrani.
 
Ni wapi nimekuandikia WEWE kiingereza mkuu?
Hebu nikumbushe.
Cha weza kuwa kweli cha uji.Heb nipe "quote moja"
' nione. Maana sikumbuki.
Nachukuwa hilo kwa unyeyekevu.
Nionyeshenitafurahi sana.
Shukrani.
Shige 2=Sophist
 
Huyu Membe mmeishi naye miaka mingapi? Kwanini sasa ndio muyaone maovu yake? Kilichooza ni fisiemu kwa sababu adui njaa na ujinga wangalipo... pasi kuwasahau umaskini na maradhi Gambo alisema "...wakizeeka wanakuwa wachawi!" Sijui alimaanisha nini!!!
 
Huyu Membe mmeishi naye miaka mingapi? Kwanini sasa ndio muyaone maovu yake? Kilichooza ni fisiemu kwa sababu adui njaa na ujinga wangalipo... pasi kuwasahau umaskini na maradhi Gambo alisema "...wakizeeka wanakuwa wachawi!" Sijui alimaanisha nini!!!
Hilo atajijibia mwenyewe. Tuvumiliane na kutofautiana kimitazamo kwa ustaarabu. Naona wewe nimstaarabu.
Japokiwa wakatimwingine waonekana kuja juu.Sijui wewe na rangi ya kijani sijui mlikosanaga wapi mkuu ?
 
Huyu Membe mmeishi naye miaka mingapi? Kwanini sasa ndio muyaone maovu yake? Kilichooza ni fisiemu kwa sababu adui njaa na ujinga wangalipo... pasi kuwasahau umaskini na maradhi Gambo alisema "...wakizeeka wanakuwa wachawi!" Sijui alimaanisha nini!!!
Kwa kuwa jina lako ni "MWANAMAGEUKO".NAkUOMBA sana ugeukie upande wa maendeleo.
 
Mchimia Rungu Nakushukuru sana maana jibu nililokijubu lilileta sense ama sivyo?
 
Toa ushahidi hapa kuwa Taifa linaongozwa kama familia ya mtu binafsi.
Kama hizi si vijembe tu vya mitaani.
 
2015 kiuhalisia hatukuchagua CHAMA bali MTU. Ma na ndo maana akaja akakitengeneza.
Sasa chaonekana kinatimiza na ANATIMIZA aliyoyaahidi
HAKIKA mwaka 2015 hatukuchagua CHAMA (CCM) bali MTU(MAGUFULI).
Give him another fv*king 5yrs and he will make our dream a reality.

Kile anachofanya ukanda wa magharibi hasa ziwa Tanganyika kujenga bandari za kuvusha mizigo moja kwa moja DRC na Burundi ni maono ya mbali sana.
Huu ujinga wanaowafanyia madereva wetu wa Cargo kule Rwanda na Kenya, au walichotufanyia Zambia utakuwa umepata dawa.
Meli ya kwenda Comoros inakuja kujenga daraja zuri sana la kibiashara kwa watanzania wa kawaida wenye nia thabiti ya kujikwamua kiuchumi.

Huyu mtu anayeitwa Magufuli, John Joseph Pombe siyo mtu wa mchezo mchezo.
When he says "HAPA KAZI TU" he means business, Not business as usual.

Make no mistake, He is one of the finest leaders of his generation in his own right.
 
Hilo atajijibia mwenyewe. Tuvumiliane na kutofautiana kimitazamo kwa ustaarabu. Naona wewe nimstaarabu.
Japokiwa wakatimwingine waonekana kuja juu.Sijui wewe na rangi ya kijani sijui mlikosanaga wapi mkuu ?
Sipendi kuwa karibu na wanafiki, wazandiki, wezi, mafisadi, waongo, wala na walinda rushwa, wabaguzi, wanaotoa ahadi na kutozitimiza, wanaolinda ubadhirifu na maovu kiitikadi.
Yako mambo ya msingi ya kujadili ambayo fisiemu haiyataki na haitayataka.
1. Katiba ya mwananchi
2. Kufuta ujinga na umaskini
3. Nini faida kwa elimu ya kijana wa kitanzania (maana inasemwa "kusoma na kuandika inatosha na darasa la saba...)
4. Wakulima kwanini wanadhulumiwa miaka yote na hawapewi usaidizi unaofaa?
5. Kwanini vyama vya ushirika havina nguvu inayostahili?
6. Kwanini utu, hadhi na heshima ya wasio makada havithaminiwi? Na
7. Kwanini waliochagua upinzani/wapinzani hawatakiwi kufanya siasa na wastaarabu?
8. Kwanini...? Kwanini....? Kwanini...?
HITIMISHO: IKIWA USTAARABU NA UUNGWANA NI KUKATA VIUNO HUKU MMESHIKA ILANI MSIYOITEKELEZA ENDELEENI NAO TU RUKSA SI TUTAWATAZAMA TU. TUVUMILIANE TU
 
Nimei LOVE sababu ya kunickesha. Ey
Nitakujibu ifuatavyo.
1.Katiba ya mwananchi ni haki yake ya kimsingi maana sheria nyingi ZILIZOPO zina elements za UKOLONI-Magufuli HAJAKATAA ila timing haikuwa nzuri. Na serikali naamini haikuwa na hela za KUPOTEZA kwa mambo ambayo hayakuwa ni ya KIPAU MBELE
Ilibidi kufanya Maendeleo ya nchi ya nchi kwanza halafu Katiba ITAFUATA.-
Huo NI MTAZAMO WANGU BINAFSI.

2.Katika kufuta Ujinga na umasikni Tanzania chini ya Magufuli imepunguza kiwango cha UMASKINI kwa asilimia kubwa sana kwa asilimoa 8%
Kutoka 34.4% 2007 mpaka {26.4%-2018 kumbuka ni miaka MITATU tu Baada ya Magufuli kushika Utawala.wakuingoza nchi.{ 2019 World Bank Report}

3.Hilo la darasa la saba si kweli. Vijana wengi sasa wanahimizwa wasome na wanasoma kweli. Zingine ni siasa za uongo.

4.Wakulima kwa miaka mingi tulipotoka tu Ujamaa na kuubakiza kwenye nadharia tu, ilichukuwa muda mrefu MKULINA mwenyewe KUJIELEWA. Sasa anaweza kuuza mazao yake atakavyo-SOKO HURU.

5 Ni NGUVU GANI ya vyama vya Ushirika ambayo ungetaka wapewe? Maana vyama vya Ushirika ndo vunahimizwa ili kuwasaidia wakulima WASIDHULUMIWE na MADALI- Hilo si kweli.

6. Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja. Mtu mmoja akikosea ni yeye peke yake na si kujumlisha.

7.WALIOCHAGUA UPINZANI ni Watanzania na wana haki yao ya Kikatiba kufanya siasa zao WAKATI UNAPOFIKA kama sasa hivi. siku hizi si WANAKUSANYIKA na tena wanapata coverage ya vyombo vya habari kama TV.? -Hilo pia si kweli.

8. Wanapozuiwa LABDA wahusika wanataka kuvuruga amani ama MATAMSHI ya UCHOCHEZI.La sivyo Sioni sababu ya wao kutouza sera zao kwa USTAARABU.
Naamini nimekujibu nilivyoweza. Kumbuka haya ni MAONI YANGU BINAFSI na ni mtazamo wangu mimi mwenyewe.
 
That is my point. WHEN Magufuli {not IF } gets into his second term of five years, definitely Tanzania will be an epitome of East and Central Africa. Believe you me.
 
Ndo unakuta mtu anataka urais eti kwa sababu alitembelea nchi nyingi. Je Alipotembelea HIZO nchi alituletea nini?
Je hiyo ni moja Sifa ya uongozi kweli?
Labda awadanganye wasio na uelewa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…