Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,236
Reaction score
7,583
Habarini wakuu,
Jana night katika safari zangu za hapa na pale kwenye daladala nipo zangu na deep feeling za kusikiliza music kwa earphones siti ya dirishani macho yakiwa nje kutazama tunavyoikata miti na mito mbalimbali, it was perfect kwangu maana me hupenda kusafiri sana, Huwa safari za usiku zinanisisimua sana hasa ile unakuta mnalikata pori alafu mfano unamuona mtu yupo peke yake maybe ukizingatia giza ni nene na pia mazingira yanatisha ila unakuta huyo mtu maybe haoneshi hofu au pengine ana hofu ila ndo hivyo yupo kwenye mapito yake ya kimaisha pia, Hilo jambo likanifanya niutafakari usiku na matukio yake mabaya niliyowahi kukutana nayo....

Tukio la kwanza, Mimi nililelewa na baba pekee baba alikuwa akinionya sana kuhusu usiku, Alikuwa akinisihi sana niepukane na mizunguko ya usiku kwani ni hatari sana, Mwanzoni nilikuwa simuelewi hadi pale nilipofikia umri wa kubalehe kwenye yale mahusiano ya girlfriend na girlfriend katika zile appointments za hapa na pale siku moja tukapanga tukutane night fulani hivi na mtoto mzuri, Though nilijua nikirudi home itakuwa msala kwa mzee ila sikujali hilo sana maana niliona cha muhimu niende na nirudi salama nikajitusu...
Ile siku niliponea kuuwawa na vibaka kama sio kujeruhiwa na girlfriend wangu alibakwa, so sad ila tulisolve mambo yakakaa sawa kuanzia pale nikagundua usiku ni hatari sana.

Tukio la pili, Hili sio la muda sana
Nilikuwa natoka kazini kuelekea nyumbani, hapakuwa na umbali sana so nikawa natembea kwa mguu barabara ya mandela road kupitia service road nilikuwa nikiongozana na mdada mmoja ambae sikumfahamu ila tulikuwa uelekeo sawa yeye yupo mbele mimi nyuma ghafla wakatokea Majamaa wawili wamepakizana kwenye bike (bodaboda) wakanipita mimi na kumuingilia yule dada kwa mbele wakamblock katika kutahamaki lile tukio maana walifunga breki ya ghafla nilisikia tu wakimuambia yule dada "Tunaomba hilo begi" (dada alikuwa ana begi, Yule dada akaanza kama kuwabwatukia hivi jamaa mmoja kashuka akamsogelea kisha akachomoa pistol akamfyatua mbili za kichwa na kuchukua begi akadandia bike wakasepa, Wakati huo mimi nimebaki kama nimeduwaa tu nisijue nini cha kufanya na hofu ikiwa imenijaa, baada ya sec kadhaa tu watu wakawa wamezingira mwili wa dada yule pale chini, Police wakaja tukaojiwa na kutoa maelezo ya tukio, vipimo vikafanyika mwili wa dada wa watu ukachukuliwa kwenda kuhifadhiwa, Kwa tetesi nilizosikia pale ni kwamba mdada yule alikuwa wakala so, pale alikuwa katoka kafunga hesabu na kwenye begi mule ndo kulikuwa na pesa za hesabu so walimtime, Me binafsi iliniuma sana kuona watu wanamtoa mtu uhai kwaajili ya jasho lake na hiyo ikanifanya nizidi kuamini usiku sio muda mzuri.

Je, wewe ni tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?
 
Kuna siku nimetoka nje usiku nafungua geti nakuta Kuna mtu kanya mavi fungu kubwa aisee lile tukio lilikiwa la kutosha sana na wakati huo nilikuwa naenda hospital kuchoma sindano za masaa. Yale mavi yalikuwa ya week nzima. Hakuna mtu anaweza kunya fungu lile kwa siku moja. .
 
Ila binadamu wamekua makatili sana mmh
 
kukimbizwa na sungusungu nilikuwa nipo na bibie fulan hv katika kiwanja cha mpira mchizi naforce nile tunda kimasihara.... aaah ghafla naona sungu sungu hawa hapa mda uo nanii ipo kwenye nani nilitoka mbio ile kinga nilienda kuvulia mbele ya safar uko. nilisikia yule demu akipigwa mikwaj akilia tu
 
Tukio jingine halikuw usiku lilikuwa jion sema acha nisinlmulie
Nikiwa mbezi makabe kwa wakwe mkojo ulibana nikaona jau kwenda chooni nikaenda kutafuta kichaka nipunguze maji.

Kuna nyumba Ina geti na camera ikaja gari Ina watu wanne wote wanaume. Sasa mie nikiwa napita wakatoleana bastola. Huyo mwenzao anaitwa Sele alikula ganji Yao ya gari walouza. Sasa walivyotoa bastola nikahamaki sijui niende mbele au nirudi nyuma.
Yule Sele anawaambia mie nishakufa siku nyingi siogop bunduki we piga tu. Sijawahi ona jitu kama lile. Wale jamaa wakaendelea kumtisha si akashtua Moja. Nilitoka nduko Hussein bolt haoni ndani. Siku hiyo miguu ilikuwa mepesi bado kidogo tu nadhani ningepaa.
Nilirudi ukweni baadae wanauliza mbona una majani kichwani 😁 nilizuga sikutaka wajue muoga wa bastola😂😂
Ila kwa kweli ni muoga niliota lile tukio mara nyingi
 
Habarini wakuu,
Jana night katika safari zangu za hapa na pale kwenye daladala nipo zangu na deep feeling za kusikiliza music kwa earphones siti ya dirishani macho yakiwa nje kutazama tunavyoikata miti na mito mbalimbali, it was perfect kwangu maana me hupenda kusafiri sana, Huwa safari za usiku zinanisisimua sana hasa ile unakuta mnalikata pori alafu mfano unamuona mtu yupo peke yake maybe ukizingatia giza ni nene na pia mazingira yanatisha ila unakuta huyo mtu maybe haoneshi hofu au pengine ana hofu ila ndo hivyo yupo kwenye mapito yake ya kimaisha pia, Hilo jambo likanifanya niutafakari usiku na matukio yake mabaya niliyowahi kukutana nayo....

Tukio la kwanza, Mimi nililelewa na baba pekee baba alikuwa akinionya sana kuhusu usiku, Alikuwa akinisihi sana niepukane na mizunguko ya usiku kwani ni hatari sana, Mwanzoni nilikuwa simuelewi hadi pale nilipofikia umri wa kubalehe kwenye yale mahusiano ya girlfriend na girlfriend katika zile appointments za hapa na pale siku moja tukapanga tukutane night fulani hivi na mtoto mzuri, Though nilijua nikirudi home itakuwa msala kwa mzee ila sikujali hilo sana maana niliona cha muhimu niende na nirudi salama nikajitusu...
Ile siku niliponea kuuwawa na vibaka kama sio kujeruhiwa na girlfriend wangu alibakwa, so sad ila tulisolve mambo yakakaa sawa kuanzia pale nikagundua usiku ni hatari sana.

Tukio la pili, Hili sio la muda sana
Nilikuwa natoka kazini kuelekea nyumbani, hapakuwa na umbali sana so nikawa natembea kwa mguu barabara ya mandela road kupitia service road nilikuwa nikiongozana na mdada mmoja ambae sikumfahamu ila tulikuwa uelekeo sawa yeye yupo mbele mimi nyuma ghafla wakatokea Majamaa wawili wamepakizana kwenye bike (bodaboda) wakanipita mimi na kumuingilia yule dada kwa mbele wakamblock katika kutahamaki lile tukio maana walifunga breki ya ghafla nilisikia tu wakimuambia yule dada "Tunaomba hilo begi" (dada alikuwa ana begi, Yule dada akaanza kama kuwabwatukia hivi jamaa mmoja kashuka akamsogelea kisha akachomoa pistol akamfyatua mbili za kichwa na kuchukua begi akadandia bike wakasepa, Wakati huo mimi nimebaki kama nimeduwaa tu nisijue nini cha kufanya na hofu ikiwa imenijaa, baada ya sec kadhaa tu watu wakawa wamezingira mwili wa dada yule pale chini, Police wakaja tukaojiwa na kutoa maelezo ya tukio, vipimo vikafanyika mwili wa dada wa watu ukachukuliwa kwenda kuhifadhiwa, Kwa tetesi nilizosikia pale ni kwamba mdada yule alikuwa wakala so, pale alikuwa katoka kafunga hesabu na kwenye begi mule ndo kulikuwa na pesa za hesabu so walimtime, Me binafsi iliniuma sana kuona watu wanamtoa mtu uhai kwaajili ya jasho lake na hiyo ikanifanya nizidi kuamini usiku sio muda mzuri.

Je, wewe ni tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?
Unawapa ela waondoke zao yanini kufa wakati pesa zinatafutwa
 
Kuna siku nimetoka nje usiku nafungua geti nakuta Kuna mtu kanya mavi fungu kubwa aisee lile tukio lilikiwa la kutosha sana na wakati huo nilikuwa naenda hospital kuchoma sindano za masaa. Yale mavi yalikuwa ya week nzima. Hakuna mtu anaweza kunya fungu lile kwa siku moja. .
😁😁
 
kukimbizwa na sungusungu nilikuwa nipo na bibie fulan hv katika kiwanja cha mpira mchizi naforce nile tunda kimasihara.... aaah ghafla naona sungu sungu hawa hapa mda uo nanii ipo kwenye nani nilitoka mbio ile kinga nilienda kuvulia mbele ya safar uko. nilisikia yule demu akipigwa mikwaj akilia tu
shukuru maana hujui uliepuka magonjwa, nuksi au dhambi ya uzinzi
 
wakati huo tunasoma chuo xxx (jina kapuni) jamaa alikuwa na tabia ya kutumia kitu cha Arushaa... haaa siku hiyo akazidisha, labda alichanganya na cha Malawi ... si network ikakata akachujua nguo na kutaka ku-pupu room, watu wakamkurupusha na kumtoa ndukiii
 
😁😁😁
 
Habarini wakuu,
Jana night katika safari zangu za hapa na pale kwenye daladala nipo zangu na deep feeling za kusikiliza music kwa earphones siti ya dirishani macho yakiwa nje kutazama tunavyoikata miti na mito mbalimbali, it was perfect kwangu maana me hupenda kusafiri sana, Huwa safari za usiku zinanisisimua sana hasa ile unakuta mnalikata pori alafu mfano unamuona mtu yupo peke yake maybe ukizingatia giza ni nene na pia mazingira yanatisha ila unakuta huyo mtu maybe haoneshi hofu au pengine ana hofu ila ndo hivyo yupo kwenye mapito yake ya kimaisha pia, Hilo jambo likanifanya niutafakari usiku na matukio yake mabaya niliyowahi kukutana nayo....

Tukio la kwanza, Mimi nililelewa na baba pekee baba alikuwa akinionya sana kuhusu usiku, Alikuwa akinisihi sana niepukane na mizunguko ya usiku kwani ni hatari sana, Mwanzoni nilikuwa simuelewi hadi pale nilipofikia umri wa kubalehe kwenye yale mahusiano ya girlfriend na girlfriend katika zile appointments za hapa na pale siku moja tukapanga tukutane night fulani hivi na mtoto mzuri, Though nilijua nikirudi home itakuwa msala kwa mzee ila sikujali hilo sana maana niliona cha muhimu niende na nirudi salama nikajitusu...
Ile siku niliponea kuuwawa na vibaka kama sio kujeruhiwa na girlfriend wangu alibakwa, so sad ila tulisolve mambo yakakaa sawa kuanzia pale nikagundua usiku ni hatari sana.

Tukio la pili, Hili sio la muda sana
Nilikuwa natoka kazini kuelekea nyumbani, hapakuwa na umbali sana so nikawa natembea kwa mguu barabara ya mandela road kupitia service road nilikuwa nikiongozana na mdada mmoja ambae sikumfahamu ila tulikuwa uelekeo sawa yeye yupo mbele mimi nyuma ghafla wakatokea Majamaa wawili wamepakizana kwenye bike (bodaboda) wakanipita mimi na kumuingilia yule dada kwa mbele wakamblock katika kutahamaki lile tukio maana walifunga breki ya ghafla nilisikia tu wakimuambia yule dada "Tunaomba hilo begi" (dada alikuwa ana begi, Yule dada akaanza kama kuwabwatukia hivi jamaa mmoja kashuka akamsogelea kisha akachomoa pistol akamfyatua mbili za kichwa na kuchukua begi akadandia bike wakasepa, Wakati huo mimi nimebaki kama nimeduwaa tu nisijue nini cha kufanya na hofu ikiwa imenijaa, baada ya sec kadhaa tu watu wakawa wamezingira mwili wa dada yule pale chini, Police wakaja tukaojiwa na kutoa maelezo ya tukio, vipimo vikafanyika mwili wa dada wa watu ukachukuliwa kwenda kuhifadhiwa, Kwa tetesi nilizosikia pale ni kwamba mdada yule alikuwa wakala so, pale alikuwa katoka kafunga hesabu na kwenye begi mule ndo kulikuwa na pesa za hesabu so walimtime, Me binafsi iliniuma sana kuona watu wanamtoa mtu uhai kwaajili ya jasho lake na hiyo ikanifanya nizidi kuamini usiku sio muda mzuri.

Je, wewe ni tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?
Ukiwa na pesa nyingi panda bike, panda tax wahi ufike salama haya mambo ya kuwa bahili sanaa ukiwa na pesa nyingi ni hatari sana R.I. P dada wakala
 
Back
Top Bottom