Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Linathibitisha kwasababu nilimuomba yeye, Kama walifanya standardization Basi Mungu alinijibu kupitia wao ili ipatikane sababu.Je tukio hili la kufaulu kidato cha Sita lina Thibitisha vipi uwepo wa Mungu na si mawazo yako tu ya kufikirika na imani?
Je vipi kama wasahishaji wa mitihani na wapangaji wa matokeo walifanya "Standardization" ya matokeo?
Hii ni kubwa sana, Shukuru sana Mungu Mkuu.Kupenya kwenye usaili ambao hata mmoja wa top management kwenye taasisi husika aliniambia aisee una bahati sana, sijui una imani gani ila katoe zaka huko popote unaposali
Siku naripoti hr anashangaa cv chenga , experience ya kulenga kwa manati, Na skills za mchongo ila ndio ivyo nipo Taasisini tayari, wakahisi nina connection kubwa na serikali kuu kumbe hata sekretari simjui😂
Nyie acheni Mungu aitwe Mungu, ule muujiza siamini mpaka leo ila nasadiki kweli alifanya njia pasipo na njia
Na wale vipanga ambao walikuwa wanafanya vizuri sana na kujitahidi wanategemea one au two kwa uzembe wa either msahishaji au kuumwa karibia na paper wakapata zero unawashauri / kuwaambia vipi ? Waamini kwamba Mungu ana upendeleo ?Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua nikijitahidi sana ntakuwa na division 3 ila asilimia kubwa nilijua hii ni division 4 lakini matokeo yalivyokuja daah! Sikuamini niliishia kusema kweli Mungu yupo kwani nilifaulu vizuri.
Mungu huyohuyo ndio anachukua roho za watu mkuu, Sasa watu watakufa bila sababu?Ajali zingine zinazo tokea na kuua Watu wengi licha ya kwamba Abiria Husali na kuomba sana Mungu awa kinge na kuwa epusha na Ajali hiyo,
Je Huyo Mungu huwa ana walinda kweli?
Ndege ya precision Air iliyozama ziwa Victoria, Abiria walio pona ni kwamba Mungu aliwalinda?
Je Abiria walio kufa, Hawakuwa wana muomba Mungu na wenyewe wapone kama wenzao?
Huyo Mungu ana walinda kweli watu?
Hana upendeleo ana tenda kwa haki huenda huyo kipanga aliefeli akaja kuwa na maisha mazuri sana kuliko kilaza aliyefaulu alafu baada ya muda kipanga akafilisika na aliyefaulu kwa Magumashi akafaulu tena, That's how life is. It's circle of good and bad.Na wale vipanga ambao walikuwa wanafanya vizuri sana na kujitahidi wanategemea one au two kwa uzembe wa either msahishaji au kuumwa karibia na paper wakapata zero unawashauri / kuwaambia vipi ? Waamini kwamba Mungu ana upendeleo ?
Ngoja nikuulize swali: Je, mwanafunzi aliyefanya mtihani wa kidato cha sita akiwa na mategemeo ya kupata division 1 lakini matokeo yalipotoka hakuamini akajikuata amepata division 4 atasemeja? Atasema hilo tukio linaonyesha ''kweli Mungu hayupo''? Ninachotaka kuku-challenge ni kuwa kupasi kwako hakuonyeshi kweli Mungu yupo kwani kuna wengi walidhani watapasi lakini wakafeli. Na wewe ungepata div 4 ulivyotegemea ina maana usingeamini kuwa Mungu yupo? Kwa nini unadhani matukio mazuri tu yanayotokea kwako ndiyo huonyesha Mungu yupo?Katika dunia tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha, ya amani na magomvi vipi katika maisha yako jambo gani limewahi kutokea na ukajisemea kweli Mungu yupo.
Binafsi ni jinsi nilivyo faulu kidato cha sita yaani daah!
Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua nikijitahidi sana ntakuwa na division 3 ila asilimia kubwa nilijua hii ni division 4 lakini matokeo yalivyokuja daah! Sikuamini niliishia kusema kweli Mungu yupo kwani nilifaulu vizuri.
Vipi wewe kwa upande wako please share experience.
ANGALIZO: Wale wazee wa Mungu hayupo tafadhali hii sio thread ya ubishani juu ya uwepo wa Mungu so pita kimya kimya tu.
Kwa bahati mbaya sana sources ambazo zinatoa uthibitisho wa uwepo wa Mungu Zina rely kwenye imani, Sasa labda uniambie wewe ni imani gani mkuu?.ili nikupe reference za kuendana na imani yakoHebu leta hizo source zako za knowledge zinazo prove uwepo wa Mungu.
Hukatazwi kuwa na imani yako, Lakini ukianza kusema kuna source za kuthibitisha uwepo wa Mungu uzilete hapa tuzione.
Kwahio ni kama kamchezo fulani ka kuwapa watu maumivu na furaha kwa hatua ? For whose Benefit ?Hana upendeleo ana tenda kwa haki huenda huyo kipanga aliefeli akaja kuwa na maisha mazuri sana kuliko kilaza aliyefaulu alafu baada ya muda kipanga akafilisika na aliyefaulu kwa Magumashi akafaulu tena, That's how life is. It's circle of good and bad.
Mimi nimeamini yupo kwa sababu nilimuomba.Ngoja nikuulize swali: Je, mwanafunzi aliyefanya mtihani wa kidato cha sita akiwa na mategemeo ya kupata division 1 lakini matokeo yalipotoka hakuamini akajikuata amepata division 4 atasemeja? Atasema hilo tukio linaonyesha ''kweli Mungu hayupo''? Ninachotaka kuku-challenge ni kuwa kupasi kwako hakuonyeshi kweli Mungu yupo kwani kuna wengi walidhani watapasi lakini wakafeli. Na wewe ungepata div 4 ulivyotegemea ina maana usingeamini kuwa Mungu yupo? Kwa nini unadhani matukio mazuri tu yanayotokea kwako ndiyo huonyesha Mungu yupo?
Shida yako unataka dunia iwe ya mazuri tu. It's not like that utajuaje madhara ya mabaya wakati hujawahi experience na utajuaje thamani ya wema wakati ujawahi experience.Kwahio ni kama kamchezo fulani ka kuwapa watu maumivu na furaha kwa hatua ? For whose Benefit ?
Na hayo mazuri au mabaya hayana uhusiano wowote na mtu binafsi ? (Yaani ukipanda mchicha huwezi kuvuna bangi ) na kama utavuna bangi ni kwamba kuna chizi alichukua mchicha wako anapanda hizo bangi hence wa kulaumiwa yupo hapo na bila uwepo wake zile bangi zisingeingia shambani kwako ? Yaani its all in happenstances....
Logically ukisema fulani kanipendelea basi fahamu kwamba kuna aliyeonewa......
Dini Imani ni yako na faida yako..., sihitaji kujua Imani yako ili kuongea na wewe mimi ninachoongelea ni ulichoweka hapa hakileti logic / hakina mtiririko..., Katika magical world ambayo lolote linaweza kutokea sio lazima liwepo baya ili upate zuri ? Niambie mtoto wa kike mdogo anayebakwa na kufanyiwa unyama kitu kinachopelekea anakuwa depressed maisha yake yote na mwisho wa siku kujitia kitanzi anapata funzo gani katika maisha yake ya baadae ?Shida yako unataka dunia iwe ya mazuri tu. It's not like that utajuaje madhara ya mabaya wakati hujawahi experience na utajuaje thamani ya wema wakati ujawahi experience.
Ili maisha yawe na balance Ni lazima vyote vitokee kabla sijaendelea samahani wewe ni dini gani mkuu?
Nilipigwa Arts huko balaa nilichekwa ila leo 😄😄ni shangwe kwanza masomo yalikuwa rahisi hamna msuli kufaulu lazima ...Walioenda MD mpaka leo waliofanikiwa ni mmoja anakula laki 9 kama MD wilaya na kasota sana .Masomo ya Biasharaa nini ulipangiwaa???
Hana upendeleo ana tenda kwa haki huenda huyo kipanga aliefeli akaja kuwa na maisha mazuri sana kuliko kilaza aliyefaulu alafu baada ya muda kipanga akafilisika na aliyefaulu kwa Magumashi akafaulu tena, That's how life is. It's circle of good and bad.