Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwa nini unadhani vimetengenezwa?ulimwengu ni vitu vingi ikiwemo hata wewe,muda,nishati na katani kwenye mipaka ya shambani hapo inabadili nini sasa kwamba vimetengenezwa vyote pamoja
broo em vuta hata pumzi uitoe kisha chukua time yako uaminie hayo maujanja nyuma ya uumbaji
Kwa nini Hudhani vimekuwepo bila kutengenezwa?
Kama kila kitu lazima kiwe na mtengenezaji basi hata Mungu lazima awe na mtengenezaji.
Lakini kama una amini Mungu alijiumba mwenyewe, Unashindwa vipi kuamini pia Ulimwengu Hauku umbwa?
Kwamba ulimwengu upo tangu mwanzo na hata milele?
Kwa nini unadhani na unalazimisha ulimwengu uwe na mtengenezaji?