Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Imani yako hiyo ina thibitisha vipi uwepo wa Mungu?Who told you that ukweli hauendani na imani?
Na kama ukweli unaendana na logic , evidences Vipi utajua kuwa ulichokijua ni kweli?
Na vipimo gani unatumia kujua kuwa jambo ni kweli? Na baada ya kupima utathibitishaje kuwa hiyo kweli ndio kweli?.
Imani inabeba mambo mengi yanayothibitika kwa milango ya fahamu na yanayothibitika kwa akili yaani logic na mengine hayayhibitiki kwa milango ya fahamu ila kwa imani yenyewe so tunarudi palepale Mungu athibitiki kwa milango ya fahamu kwa sababu yeye sio maada( Matter) Kwa hiyo kutumia dimension ya logic sijui fact na matakataka mengine huwezi kumpata mungu. So, usipompata usi conclude hayupo, Mungu yupo ila wewe umetumia mzani wa uzito kupima urefu my friend huwezi pata urefu ila sio kwamba hicho unachokipima hakina urefu kinacho ila umetumia kipimo sicho.
Sasa ili kumpata Mungu badili kipimo na vipimo vya mwanzo vipo ndani ya imani bad enough unapinga imani so sina msaada na wewe maana umejiwekea mipaka katika kujifunza .
Toka katika hiyo mipaka ya logic, sijui fact utajua vingi ila ukiishia kwenye hizo mambo tu ni kama upo stage ya mwanzo ya kujifunza There is more beyond logic.
Kama unasema kwamba, Mungu Hathibitishiki kwa vipimo vya kibinadamu,
Kwamba huitaji kutumia evidences, proofs na facts kumthibitisha Mungu,
Wewe ulitumia vipimo gani, ulifanya uchunguzi gani na ulifanya utafiti upi kubaini huyo Mungu Yupo?
Kisicho kuwepo haki hitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kusikika, au kushikika.
Hivyo, Ukisema Mungu yupo onyesha huyo Mungu yupo kwa namna gani, Na ulifanya uchunguzi gani kutambua huyo Mungu ni Mungu kweli na si mawazo yako tu.