Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwa nini unadhani vimetengenezwa?ulimwengu ni vitu vingi ikiwemo hata wewe,muda,nishati na katani kwenye mipaka ya shambani hapo inabadili nini sasa kwamba vimetengenezwa vyote pamoja
broo em vuta hata pumzi uitoe kisha chukua time yako uaminie hayo maujanja nyuma ya uumbaji
Mimi nina kichwa chenye ubongo.Ujanijibu swali langu nimekuuliza wewe una akili?
Kwa nini unadhani ni bora kuamini kuliko kuto kuamini?Kama msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika then its better kuamini kuliko kutokuamini .
That means ni bora anayesema Mungu yupo kwani ikatokea hayupo ana cha kupoteza vipi wewe kwa upande wako unasema hayupo alafu at the end kumbe yupo .?
Ni Kwamba huyo Mungu Hayupo.Mungu yupo aisee ! Ila anajua kututesa Sana huko aliko .
Nakubalii , ila utendaji wake binafsi siulewi kiaina.
Kuna wakati nikiwa napangalama na mishe zangu Mambo hayaendi [emoji16] ila anagalau nakua na amani.
Ila nikijifungamanisha na imani Mambo Ni tofauti Sana . (Ndio kabisa Yana stop)
Nauliza, ndugu washuhuda, ninyi mnaombaje mpaka mnashuhudia na imani zenu kuongezeka na kumfurahia katika majira yote, mkikosa sawa mkipata sawaa.
Mbaya zaidi, ata ndugu , Wanakomaa na Mungu lakini wapii
Umasikini juu ya umasikini [emoji16] , wazee wamezeeka wanategemea Watoto na Watoto nao wapi umasikini hata kusaidiana tu shida .
Kunatukio moja, lilitokea , Ni baya Kila mtu alilia kivyakee [emoji16].
Naulizaa Mungu huyu hamuoni anaupendeleoo ?
(Japo imani inanifundisha Hana upendeleo)
Ilaa inakuajee jamani wengine tunakaribia kuzeeka hatuna hizo shuhuda ?
Zinatoke Ni mbaya mbaya mbayaa .
Watetezi wa Mungu naombeni miongozo .
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Muumini mzuri sana wa Kanisa. Sanaa Sanaa .Samahani wewe ni dini gani?
Mkuu, siwezi kudhibisha kwamba Mungu hayupo .Ni Kwamba huyo Mungu Hayupo.
Thibitisha Kuwa Mungu hayupoHasaidii sababu hayupo, wanaopata hivyo vitu wanavyodhan ni sababu ya kuomba ni uongo bali ni matokeo ya wao kuvifanyia juhudi+pia misaada ya watu wengine... Mungu hana muda na shida za watu
Au wakisema Mungu hayupo watakuwa wanakosea?Na wale vipanga ambao walikuwa wanafanya vizuri sana na kujitahidi wanategemea one au two kwa uzembe wa either msahishaji au kuumwa karibia na paper wakapata zero unawashauri / kuwaambia vipi ? Waamini kwamba Mungu ana upendeleo ?
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema kwa watu wake🙏Huwezi kuamini, ila ni kweli huko kwenye Serikali Kuu sina yoyote naemjua wala anaenijua, na jina letu la ukoo ni yale rare sana na la kawaida lakini ombi langu lilijibiwa ndipo nilipoamini kweli wakati wa Mungu ndio wakati Sahihi
Kwa nini unadhani ni bora kuamini kuliko kuto kuamini?
Kwanza, Unajuaje kwamba ni bora kuamini kuliko Kuto kuamini?
Ulifanya uchunguzi gani na utafiti upi kubaini kwamba kuamini ni bora kuliko Kuto kuamini?
Na si Hofu zako, wasiwasi na kimuhemuhe chako tu?
Kwa sababu kuamini ni kukubali uwepo wa hicho unachokiamini lakini kutokuamini ni kukataaKwa nini unadhani ni bora kuamini kuliko kuto kuamini?
Kwanza, Unajuaje kwamba ni bora kuamini kuliko Kuto kuamini?
Ulifanya uchunguzi gani na utafiti upi kubaini kwamba kuamini ni bora kuliko Kuto kuamini?
Na si Hofu zako, wasiwasi na kimuhemuhe chako tu?
Hata Hawa wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu, hawana uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu. Wanatumia logical reasoning kujenga mahitimisho yao.Kwa sababu kuamini ni kukubali uwepo wa hicho unachokiamini lakini kutokuamini ni kukataa
Ikiwa unaamini uwepo wa Mungu ata ikitokea hayupo you have nothing to lose, Lakini kwa kukataa kwako ikatokea yupo you lose everything.
Kwa mantiki hiyo ni bora kuamini
Ukimwambia athibitishe kutokuwepo kwa Mungu atakwambia hawezi kuthibitisha negative wakati huohuo anakuambia wewe uthibitishe positive anasahau kuwa hiyo positive anayotaka wewe uthibitishe yeye ndio anaipinga.Hata Hawa wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu, hawana uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu. Wanatumia logical reasoning kujenga mahitimisho yao.
Ukimwambia athibitishe kutokuwepo kwa Mungu ataanza na sababu za kwakuwa Dunia iko hivi au vile basi haiwezekani huyo Mungu awepo.
Hivyo Imani ya kutokuwepo kwa Mungu mayo haina uthibitisho wa kutokuwepo kwa huyo Mungu.
Kisicho kuwepo haki hitaji uthibitisho wa kuto kuwepo kwake, kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kusikika au kushikika.Hata Hawa wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu, hawana uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu. Wanatumia logical reasoning kujenga mahitimisho yao.
Ukimwambia athibitishe kutokuwepo kwa Mungu ataanza na sababu za kwakuwa Dunia iko hivi au vile basi haiwezekani huyo Mungu awepo.
Hivyo Imani ya kutokuwepo kwa Mungu mayo haina uthibitisho wa kutokuwepo kwa huyo Mungu.
Unajua hata Uongo unaweza uka aminiwa vilevile.Kwa sababu kuamini ni kukubali uwepo wa hicho unachokiamini lakini kutokuamini ni kukataa
Ikiwa unaamini uwepo wa Mungu ata ikitokea hayupo you have nothing to lose, Lakini kwa kukataa kwako ikatokea yupo you lose everything.
Kwa mantiki hiyo ni bora kuamini
Kama imani ya kutokuwepo kwa Mungu, Haina uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu.Hata Hawa wanaopinga juu ya uwepo wa Mungu, hawana uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu. Wanatumia logical reasoning kujenga mahitimisho yao.
Ukimwambia athibitishe kutokuwepo kwa Mungu ataanza na sababu za kwakuwa Dunia iko hivi au vile basi haiwezekani huyo Mungu awepo.
Hivyo Imani ya kutokuwepo kwa Mungu mayo haina uthibitisho wa kutokuwepo kwa huyo Mungu.
Mkuu,Mkuu, siwezi kudhibisha kwamba Mungu hayupo .
Ilaa naamini kuwa yupo. Ila najiuliza tu kwa haya yanayo nisibu na ndugu zangu.[emoji16]
Kwanini ? Mfano.
Kuna kipindi , Nilijikita na ufugaji, wekeza nguvu,akili na Mali kwa matarajio Safi kabisa, ukizingatia Ni kipindi najitafuta baada elimu ya chuo huko kuishia njiani [emoji29]
Niliteketeza 1.5m fumba na kufumbua chalii kifo Cha mende [emoji23].(Kwenye maisha yangu sijawahi kuhisi uchungu kwa wakati huo Kama kipindi kile )
Ukizingatia Nilitarajia kutoboaa , na njia nilikua naiona ileee....
Kilichokua kinaumiza hela mshua alijikusanya Sana, takribani mwaka, wakati huo nakula shule ya ufugaji ndani ya huo mwaka, mbaya Sana.
Huo Ni mfano tu, Kati ya mengii, Mimi nauliza tu,
Kwanini huyu Mungu anaupendeleo Sana ?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sasa nawewe unavyo claim Mungu hayupo siulete uthibitisho kuwa hayupo ili claim yako iwe sahihi.Unajua hata Uongo unaweza uka aminiwa vilevile.
Sasa unaposema "kuamini ni kukubali uwepo wa kitu fulani" Hata Uongo unaweza ku kubalika uka aminiwa tu.
Kwa hiyo hata imani ya kuamini Mungu yupo ni uongo tu mna amini.
Ndio maana hamuwezi kuthibitisha uwepo wake kama ni ukweli Mungu yupo.
Nakwambia hivi [emoji116]
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika, Ukweli hauendani na imani.
Ukweli unaendana na kujua, uthibitisho (proofs), Evidences, facts na Logic.
Dunia yenye uovu, dhambi,mateso ni uthibitisho wa kwamba Mungu mwema, mkamilifu, mwenye huruma na upendo Hayupo.Sasa nawewe unavyo claim Mungu hayupo siulete uthibitisho kuwa hayupo ili claim yako iwe sahihi.
Na quote kauli yako umesema
"ukweli unaendana na kujua, uthibitisho(proofs), evidences, fact na logic"
Sasa Thibitisha madai yako kwamba Mungu hayupo kwa facts na evidence ili madai yako yawe kweli.
N.B usije sema huwezi thibitisho negative maana ili madai yako yawe kweli yanahitaji proof then prove that God is not exist.