Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is a circular argument, your proof is based on it's own premisesYes.. according to Holly books There is hell.
Hata hujanielewa na kunijibu kile nilichokuuliza mimi,Sentensi ya " Mungu anaweza kuumba jiwe zito kiasi ashindwe kulibeba' haina logic kwa sababu ukishasema anaweza kuumba that means anao uwezo, Ukiendelea kusema kiasi ashindwe utakuwa umeondoa ule uwezo yaani ety Mungu awe na uwezo alafu uwezo wenyewe uwe wa kushindwa it doesn't make sense and no logic at all huwezi kusema mtu fulani anao uwezo wa kutokuweza
Mfano sentensi inayo sema" John Ni kipofu hivyo John anao uwezo wa kutokuona " sentensi hii sio sahii, Inatakiwa useme John Ni kipofi hivyo aoni.
Sijui umepata logic.
Hujaelewa hata neno dhana, wewe unaelezea dhanioSawa ni dhana ya fizikia swali langu ni hiyo dhana haiwezi kuwa uongo?
Kwanza umeshasema dhana.
Dhana ndio inaunda dhanio na dhanio sio lazima liwe kweli
Hujaelewa hata neno dhana, wewe unaelezea dhanio
Nimejibu swali ulilouliza, Read carefully the below reply.Hata hujanielewa na kunijibu kile nilichokuuliza mimi,
Kama umejibu ni kwamba umejibu kitu ambacho sijakuuliza mimi, na hakiendani na nlichokuuliza.
Kunauwezo wa kuumba, na kunakubeba.
Hizo ni dhana mbili tofauti.
Nakuuliza tena,
Je Mungu anaweza kuumba jiwe zito ambalo atashindwa kulibeba?
Anao uwezo wa kuumba jiwe la design hiyo?
Hell haipo katika ulimwengu huu wa kwetu sasa unataka kuthibitishiwa kitu ambacho hakipo katika ulimwengu huu wa dunia.That is a circular argument, your proof is based on it's own premises
View attachment 2733997View attachment 2733998
hivyo vitabu uvisemavyo vitakatifu ni mkusanyiko wa hadithi za uongo za kutungwa tu na watu kama wewe,
Hadithi hata wewe ukiamua unajitungia unaziandika tu,
Uongo huo uliomo kwenye vitabu hivyo ni pamoja na mbingu na kuzimu/Hell.
Kama unabisha siyo hadithi za uongo hizo, thibitisha hell kama ipo kweli.
Mimi matukio nimengi sana kiasi nathubutu kusema kwakuwa bado napua Mungu yupo nani Mwema sanaKatika dunia tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha, ya amani na magomvi vipi katika maisha yako jambo gani limewahi kutokea na ukajisemea kweli Mungu yupo.
Binafsi ni jinsi nilivyo faulu kidato cha sita yaani daah!
Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua nikijitahidi sana ntakuwa na division 3 ila asilimia kubwa nilijua hii ni division 4 lakini matokeo yalivyokuja daah! Sikuamini niliishia kusema kweli Mungu yupo kwani nilifaulu vizuri.
Vipi wewe kwa upande wako please share experience.
ANGALIZO: Wale wazee wa Mungu hayupo tafadhali hii sio thread ya ubishani juu ya uwepo wa Mungu so pita kimya kimya tu.
Sasa hapo shida iko wapi kama si ushetani wako wa kupekua cm za watu... Embu enjoy maisha yako acha kufuatilia mambo ya watu utakufa mapemaNilikuta msg za mapenz anachat na rafiki yangu akaninyakua cm akafuta ushahidi akakataa hana mahusiano nae, Mungu alivyomkuu baada ya wiki 1, wakajirecord wanaongea mambo ya mapenz na jinsi mechi ilivyokua na hawakujua kama cm inarecord....nikaja sikiliza kilakitu
Mkuu unaelewa maana ya imani?Hell haipo katika ulimwengu huu wa kwetu sasa unataka kuthibitishiwa kitu ambacho hakipo katika ulimwengu huu wa dunia.
Na ndio maana Mungu akaweka imani kwamba judgement zote about hell zitabebwa katika chombo cha imani, Imani ambayo inatokana na dini sasa labda uniambie wewe ni dini gani ili tupite katika mawanda hayo kuthibitisha hell.otherwise utabaki kusema kila kitu hakuna kwa sababu unataka vitu vya spiritually vithibitishwe physically.
Maana yake ni kwamba hawezi kuumba jiwe lililozito lenye kumshinda kulibeba?Nimejibu swali ulilouliza, Read carefully the below reply.
Mungu ni muweza wa kila kitu.
Hiyo ndio sentensi iliyofanya ukauliza kuwa 'Je Mungu anauwezo wa kuumba jiwe zito ambalo atashindwa kulibeba?
Majibu ni kuwa..Swali lako kwanza halina logic at all, Ushasema kuwa Mungu ni muweza wa kila kitu sasa neno 'kushindwa kulibeba' ni kwamba Mungu hawezi hapa unakuwa umekataa kuwa hawezi sasa sentensi yako inakuwa imetoka kwenye mfumo wa swali inakuja kwenye mfumo wa hitimisho lako binafsi juu ya mungu.
Hivyo Mungu anaouwezo wa kuumba jiwe zito lakini hawezi shindwa kulibeba kwa sababu hakuna kinachomshinda ukisema kuwa aunde jiwe alafu ashindwe kulibeba huoni kuwa jiwe litakuwa limemshinda Mungu?
Umebadili swaliAnaweza kuumba jiwe zito na akaweza kulibeba
Unataka ni kuthibitishiwa hell ipo kwa logic sio ..ok Jibu hili swali kubaka ni jambo nzuri au baya?Mkuu unaelewa maana ya imani?
Kwanini Mungu huyo akaweka mambo yake yawe kiimani tu siyo kwa hakika!?
Yaan unalazimisha tu Hell iaminike kuwa haipo, ilihali haipo kwenye uhalisia.
Dini ambazo zinabeba imani ndiyo uongo wa kutupwa.
Kuna Dini zaidi ya 3000+
Je dini ipi, ama hell ya dini ipi ndiyo ya kweli!??
Mungu ni Roho,so kujua yupo au hayupo ni Imani yako tu.Umejuaje hilo?
Kufanikiwa kwako kunauhusiano gani na kukufanya ujue Mungu yupo?
ExactlyMungu yupo, ukubali ukatae, yakutokee mabaya au mazuri hayazuii uwepo wake
Ni watu wasio na ufahamu wa uwepo wa Mungu ndio watabisha.Ni Mengi Mungu ametenda kwangu ila kwa hil tukio huw nawaza na kushkuru mpaka kesho. Kuna siku nilipigika yaani niliwamba na na kuchakaa sina pesa kabisa. Na wakati huo kodi ya kijiofisi changu na sehem ninayoishi zimebakiza siku moja ziishe, ukichek harakat zangu sina hata dalili ya kupata pesa nilipe kodi wenye nyumba tayari washaanza kunipigia simu, huyu wa Ofsi ambapo nilikuwa nalipa 210,000/= kwa miez mitatu anadai anaomba niwaishe kodi maana mtoto katimuliwa ada shuleni hvyo siku mbili zijazo anatakiwa kurud shule maana kule shule kuna zoez la ujazaji fomu flan zitafanyika siku hiyo maana alikuwa darasa la mitihani. Huyu ninapoishi yeye ni mfugani pia anadai vifaranga vya kuku tayari viko njiani vinakuja hvyo anategemea kodi yangu anunulie chakula cha kuku yeye nilikuwa nalipa 180,000/= kwa miez sita.
Ukweli nilikaa moyoni ile siku huk nikijisemeza Eeh Mungu kama upo kweli naomba uonekane sasa, niliendelea hvyo na ukweli sikuwa na tumain lolote la kibinadam maana nikiwaza kuipata hiyo pesa kwa pamoja bdo naona ni mtihani mkubwa sana nimeupata. Kama wasemavyo wengine kuwa matendo ya Mungu ni ya ajabu na hayaelezeki bas katika hili nilishindwa kueleza. Ikafika sik ya kulipa kodi na kuna kijimvua kilikuwa kinanyesha toka mida ya saa 11 alfajili na tayar saa tatu ila bado mvua inanyesha. Ikaingia namba mpya kwenye sim yangu ikawa inaita, naipokea alikuwa ni mdada akajitambulisha kuwa ni muasibu wa taasisi X na hii taasisi naifahamu maana nimewah fanya kazi kwao kwa mkataba na tayari mwaka ulikuwa umepita tangu niachane nao. Huyu mhasib aliniuliza kama mim ndiye anayenitafuta kwa kutaja majina yangu yote matatu, nikajibu kuwa mim ndimi haswaa, basi akanieleza kuwa anatambua kuw mkataba uliishia kipind flan lakin wao kuna makosa yalifanyika walikuwa wanaendelea kuniwekea mshahara wangu hivyo anaomba kama nina taarifa bas nimsaidie namna y kurudisha zile pesa, Nikil kuw sikuwa na faham chochote maana ile acount nilifungua kwa ajil ya kupokelea mshahara tu na sikuwa nimeunganisha kwa sim zangu kuw mshahara ukiingia bas niwe napata notifications flani hivyo baada ya kumaliza mkataba wangu na kupata mshahara wangu wa mwisho nilienda nikakomba wote na ATM CARD nikaitelekeza. Kwa maelezo ya yule dad nikamwambia kuw inawezekana ila naomba niende benk kuhakik maana sijui lolote, ilibid nitoke na mvua mpak bank na nikaomba statement, ni kweli nikakuta kuna tumilion kadhaa, nikampigia yule dada kumjuza kuwa ni kweli pesa ipo ila nina ombi kwake..
Ombi langu kwake lilikuw hvi. Huu ni ukwel mtupu wakati nafanya kazi kwenye taasisi ile kuna kipind ilitokea tatizo la kufanya malipo ya mishahara hivyo kuna watu wacheche mshahara haukuingia kabisaa kwa mwezi ule na mim nikiwa mmoja wa wahanga, nilifuatilia sana mpaka mwez ukapinduka ila sikuwa nimelipwa pesa yngu, mwez uliofuata ukaingia mshahara wa mwez husika na ikaendelea hvyo kwa miez mingine.. mpaka namaliza mkataba wangu niliendelea kufuatilia lakin sikupata majibu. Sasa ilipotokea hii nikaona ni sehem sahih ya kudai haki yangu. Nikamueleza kila siku kilivyotokea kule nyuma akaomba afuatilie atarud kwangu kunipa jibu. Ndugu msomaji pesa yangu wala sikuifikilia mara mbil nikaitoa na kwenda kulipa madeni yanyu ya kodi na nilifanya hvi kwa ujasili maana ile ilikuwa pesa yangu halali kabisaa na kuwa simzurum mtu, pesa yangu nilitoa na y kwao nikabakiza nikisubir maelekezo yke.
Toka siku amenipigia sim na kusema ngoja afuatilie zilipita siku mbil kimya, ikaj y tatu mara week ikabid nimpigie, nilimpigia sana na sim haikupokelewa nilipiga tena na tena takribani miez mitatu ila sim hazipokelewi, natuma text kuomba kupewa muongozo namna y kurejesha hzo pesa ila sikupata majibu yoyote chanya.. Hvyo baada ya takribani miez sita kupita bila majibu niliamua kuzitumia zile pesa na sasa ni miaka mitatu sijawah pokea sim yka. Hili tukio huw linakumbusha juu ya uwepo wa Mungu na naamin Mungu yupo.