Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

Mimi nilishangaa sana...lilikuwa ni konde la kustukiza
 

Wewe utakuwa huelewi vizuri Sheria za mpira au hujui kilichowapata kina kaburu?
Huyo jamaa TFF wadela naye Kwa kumfungia maisha kujishughulisha na mpira na pia apandishwe kizimbani .
Kitendo alichokifanya haikubaliki kabisa katika dunia ya kistaarabu ya mpira wa miguu
 
Ni juu ya aliyedhuriwa kufungua mashtaka. Kama ameridhika ni juu yake pia.
 
Na huu ni ushangiliaji? Mnatoka upande wenu mpaka kwa wapinzani?
 
Huyo afungwe tu, iwe fundisho kwa wengine.
 
Umeandika sana ila masuala ya michezo hayapelekwi polisi kama ulivyotushawishi hapo..ndiyo imeisha hiyo..ugulieni tu maumivu ya kushuka daraja.
Hili halipti bure subirini rungu zito sana la TFF muda sio mrefu
 
Wamekuja ligi kuu na ushamba wao wa mwisho wa reli. Mpuuzi sana huyo kocha hajui hilo ni kosa lenye kuweza kumpeleka kifungoni.
 
Umeandika sana ila masuala ya michezo hayapelekwi polisi kama ulivyotushawishi hapo..ndiyo imeisha hiyo..ugulieni tu maumivu ya kushuka daraja.
Tumia akili hicho kitendo kingeweza kusababisha machafuko unadhani Mbeya city Wang's react ingekuaje hapo uwanjani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…