Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni aibu kutetea ujinga?Angalia vizuri hilo igizo, hiyo ngumi haikumggusa hata kidogo
Suala hili lina kipaumbele cha amani kuliko mambo ya kimpira kushuka daraja, timu inaweza kushuka daraja na kupanda lakini mtu kushambuliwa hivi anaweza kupoteza maisha hakuna kufufuka ama kuwa kilema moja kwa moja na jicho lisiweze kuona tena.
Unahitaji elimu ya ziada kwenye sheria.
Kosa la jinai halina cha mpira wala rede.
Ingekuwa wanapigana tungeelewa lakini hii kavamia mtu
Ni juu ya aliyedhuriwa kufungua mashtaka. Kama ameridhika ni juu yake pia.Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,
Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi imechezwa uwanja wa Sokoine Mbeya.
Timu ya mashujaa ilipofunga goli wakati wakiwa wanashangilia wakapita sehemu ya wapinzani wao kushangilia kwa kuwatambia na ni kawaida tumeshazoea, ila ghafla bin vu! kocha wa makipa wa mashujaa akampiga ngumi nzito ya usoni kocha mkuu wa Mbeya city, Jambo hili lilipelekea kocha wa Mbeya city kutoweza kuinuka kwa dakika kadhaa huku akiwa anapewa huduma ya kwanza.
yule kocha wa makipa wa mashujaa kapewa kadi nyekundu tu.
Adhabu ya uwanjani kashapewa ni vema sasa na vyombo vya ulinzi na sheria viingilie kati.
Mapendekezo.
Kwa kuwa nchi yetu ni ya amani na vitendo hivi havina mwanya wa kuzoeleka, hatua hizi zichukuliwe iwe fundisho wengine wasije kuthubutu.
Suala hili lina kipaumbele cha amani kuliko mambo ya kimpira kushuka daraja, timu inaweza kushuka daraja na kupanda lakini mtu kushambuliwa hivi anaweza kupoteza maisha hakuna kufufuka ama kuwa kilema moja kwa moja na jicho lisiweze kuona tena.
- Atafutwe haraka awekwe chini la ulinzi pale central ya polisi Mbeya
- ahamishwe mahabusu kusubiri kusomewa kesi
- asomewe mashtaka mahakamani, adhabu iwe faini ya matibabu ya kocha mkuu isiyopungua milioni 2, viboko 10 na afungwe gerezani kifungo kisichopungua mwaka 1.
- Kwa upande wa TFF nao wasiwe nyuma, wamfungie walau miaka mitano
View attachment 2667804
Na huu ni ushangiliaji? Mnatoka upande wenu mpaka kwa wapinzani?Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,
Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi imechezwa uwanja wa Sokoine Mbeya.
Timu ya mashujaa ilipofunga goli wakati wakiwa wanashangilia wakapita sehemu ya wapinzani wao kushangilia kwa kuwatambia na ni kawaida tumeshazoea, ila ghafla bin vu! kocha wa makipa wa mashujaa akampiga ngumi nzito ya usoni kocha mkuu wa Mbeya city, Jambo hili lilipelekea kocha wa Mbeya city kutoweza kuinuka kwa dakika kadhaa huku akiwa anapewa huduma ya kwanza.
yule kocha wa makipa wa mashujaa kapewa kadi nyekundu tu.
Adhabu ya uwanjani kashapewa ni vema sasa na vyombo vya ulinzi na sheria viingilie kati.
Mapendekezo.
Kwa kuwa nchi yetu ni ya amani na vitendo hivi havina mwanya wa kuzoeleka, hatua hizi zichukuliwe iwe fundisho wengine wasije kuthubutu.
Suala hili lina kipaumbele cha amani kuliko mambo ya kimpira kushuka daraja, timu inaweza kushuka daraja na kupanda lakini mtu kushambuliwa hivi anaweza kupoteza maisha hakuna kufufuka ama kuwa kilema moja kwa moja na jicho lisiweze kuona tena.
- Atafutwe haraka awekwe chini la ulinzi pale central ya polisi Mbeya
- ahamishwe mahabusu kusubiri kusomewa kesi
- asomewe mashtaka mahakamani, adhabu iwe faini ya matibabu ya kocha mkuu isiyopungua milioni 2, viboko 10 na afungwe gerezani kifungo kisichopungua mwaka 1.
- Kwa upande wa TFF nao wasiwe nyuma, wamfungie walau miaka mitano
View attachment 2667804
Huyo afungwe tu, iwe fundisho kwa wengine.Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,
Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi imechezwa uwanja wa Sokoine Mbeya.
Timu ya mashujaa ilipofunga goli wakati wakiwa wanashangilia wakapita sehemu ya wapinzani wao kushangilia kwa kuwatambia na ni kawaida tumeshazoea, ila ghafla bin vu! kocha wa makipa wa mashujaa akampiga ngumi nzito ya usoni kocha mkuu wa Mbeya city, Jambo hili lilipelekea kocha wa Mbeya city kutoweza kuinuka kwa dakika kadhaa huku akiwa anapewa huduma ya kwanza.
yule kocha wa makipa wa mashujaa kapewa kadi nyekundu tu.
Adhabu ya uwanjani kashapewa ni vema sasa na vyombo vya ulinzi na sheria viingilie kati.
Mapendekezo.
Kwa kuwa nchi yetu ni ya amani na vitendo hivi havina mwanya wa kuzoeleka, hatua hizi zichukuliwe iwe fundisho wengine wasije kuthubutu.
Suala hili lina kipaumbele cha amani kuliko mambo ya kimpira kushuka daraja, timu inaweza kushuka daraja na kupanda lakini mtu kushambuliwa hivi anaweza kupoteza maisha hakuna kufufuka ama kuwa kilema moja kwa moja na jicho lisiweze kuona tena.
- Atafutwe haraka awekwe chini la ulinzi pale central ya polisi Mbeya
- ahamishwe mahabusu kusubiri kusomewa kesi
- asomewe mashtaka mahakamani, adhabu iwe faini ya matibabu ya kocha mkuu isiyopungua milioni 2, viboko 10 na afungwe gerezani kifungo kisichopungua mwaka 1.
- Kwa upande wa TFF nao wasiwe nyuma, wamfungie walau miaka mitano
View attachment 2667804
Ubaguzi utawamaliza vilaza nyieHilo jibwa litakuwa likimbizi kutoka BrD
Hii nchi imeshakuwa ya kibaguzi, jinga kabisa weweNyie waha hizo tabia zenu za kirundi ziishie hukohuko kwenu haya mambo hatuyataki kwenye ligi yetu!
Kilaza shangazi yako aliyekulea[emoji304]Ubaguzi utawamaliza vilaza nyie
Hili halipti bure subirini rungu zito sana la TFF muda sio mrefuUmeandika sana ila masuala ya michezo hayapelekwi polisi kama ulivyotushawishi hapo..ndiyo imeisha hiyo..ugulieni tu maumivu ya kushuka daraja.
Angalia vizuri hilo igizo, hiyo ngumi haikumggusa hata kidogo
Wamekuja ligi kuu na ushamba wao wa mwisho wa reli. Mpuuzi sana huyo kocha hajui hilo ni kosa lenye kuweza kumpeleka kifungoni.Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira,
Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi imechezwa uwanja wa Sokoine Mbeya.
Timu ya mashujaa ilipofunga goli wakati wakiwa wanashangilia wakapita sehemu ya wapinzani wao kushangilia kwa kuwatambia na ni kawaida tumeshazoea, ila ghafla bin vu! kocha wa makipa wa mashujaa akampiga ngumi nzito ya usoni kocha mkuu wa Mbeya city, Jambo hili lilipelekea kocha wa Mbeya city kutoweza kuinuka kwa dakika kadhaa huku akiwa anapewa huduma ya kwanza.
yule kocha wa makipa wa mashujaa kapewa kadi nyekundu tu.
Adhabu ya uwanjani kashapewa ni vema sasa na vyombo vya ulinzi na sheria viingilie kati.
Mapendekezo.
Kwa kuwa nchi yetu ni ya amani na vitendo hivi havina mwanya wa kuzoeleka, hatua hizi zichukuliwe iwe fundisho wengine wasije kuthubutu.
Suala hili lina kipaumbele cha amani kuliko mambo ya kimpira kushuka daraja, timu inaweza kushuka daraja na kupanda lakini mtu kushambuliwa hivi anaweza kupoteza maisha hakuna kufufuka ama kuwa kilema moja kwa moja na jicho lisiweze kuona tena.
- Atafutwe haraka awekwe chini la ulinzi pale central ya polisi Mbeya
- ahamishwe mahabusu kusubiri kusomewa kesi
- asomewe mashtaka mahakamani, adhabu iwe faini ya matibabu ya kocha mkuu isiyopungua milioni 2, viboko 10 na afungwe gerezani kifungo kisichopungua mwaka 1.
- Kwa upande wa TFF nao wasiwe nyuma, wamfungie walau miaka mitano
View attachment 2667804
Mimi mwenyewe sioni kama aliweza kumpata ila kosa la kurusha ngumi tu tayari anastahili adhabu.Angalia vizuri hilo igizo, hiyo ngumi haikumggusa hata kidogo
Wewe ni kilaza tu kama una instinct za kibaguziKilaza shangazi yako aliyekulea[emoji304]
Tumia akili hicho kitendo kingeweza kusababisha machafuko unadhani Mbeya city Wang's react ingekuaje hapo uwanjani?Umeandika sana ila masuala ya michezo hayapelekwi polisi kama ulivyotushawishi hapo..ndiyo imeisha hiyo..ugulieni tu maumivu ya kushuka daraja.