Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

Story yako imewezaje kuGeneralize wazungu wote!?

apa ungeongelea appreciation ya mtu yes ni mweupe lakini hii haijumlishi wote.

ukarimu ni wa mtu binafsi.
Utofauti wa tamaduni sio ulemavu.

wazungu wanalala na mbwa ndani, apa utasema wao ni wachafu Au vichaa!?
Just because Africa hatuna hii tamaduni!?

wazungu (america as example) wamepitisha sheria kutete ushoga.
Hapa vipi!?
Wapo sawa Au la!?
Ukilinganisha na kwenu!?

story yako tayari imempa udhaifu mtu mweusi.

Lakini kwa namna ulivoiweka.
But You sound racist to me!

na hii itakupa ulemavu.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nakubaliana na mawazo yako, lakini tujiulize kati yetu watu weusi na wazunhu ni kina nani wanasaidia sana wengine?! Achilia mbali swala la umasikini maana najua hicho ndio kichaka chetu, lkn ni ukweli usiopingika sisi waafrika haguna upendo. Ndio maana haga mafaifa yetu hayakaliki, kila siku tunauwana kwasababu ya mali na madaraka. Wazungu wana ile hali ya kujali, kuthamini na kutambua utu wa mtu. Nadhani inaweza kuwa sio wazungu wote ila asilimia kubwa wapo hivyo tofauti kabisa na sisi watu weusi. Nimesema hapo siwatukuzi, ila ni hali ya kukubali ukweli. Ni kama vile navyoweza kukubali kuwa Diamond ni mwanamuziki mzuri sana, hata kama nifakuwa sipendi but I can't resist reality.
 
Seriously?

Kwanini wasitumie hizo gari?
 
Pengine mzungu ndio Mara ya kwanza kuona kitu kama hicho kwake ni kigeni, na sababu a najua watu ni masikini pengine akaona kwamba huyo ni mtu anafaa kusaidiwa

Ila wazungu ni kama sisi tu.

Bulgaria ni Matapeli Nigeria wakasome, scam kubwa kubwa duniani wanafanya wao, hizi pyramid schemes na coins za kitapeli.

Hii ni video ya juzi fainali Euro watu wameforce getini Waka ingia bure, bila ticket

Your browser is not able to display this video.


Leo hii chukulia Mfano PM majaliwa ama Diamond ama na watu wengine ambao wapo vizuri Tz, aende Italy akutane na kijana masikini mtaani, ampe hela, local people wanaweza kusema Watanzania wapo civilized sana, hawawezi jua weakness zetu kirahisi.
 
Unawaongelea hawa wazungu walioua wanawake na watoto kwa miaka 20 huko Afghanistan?

Au unawaongelea wazungu wanaoua watoto na wanawake huko Libya,Iraq,Palestina,Somalia...?
 
Mkuu nakuelewa sana, lakini tujiulize kati yetu watu weusi na wazungu ni kina nani wanasaidia sana wengine?! Achilia mbali swala la umasikini maana najua hicho ndio kichaka chetu, lkn ni ukweli usiopingika sisi waafrika hatuna upendo. Ndio maana hata mafaifa yetu hayakaliki. Kila siku tunauwana kwasababu ya mali na madaraka. Hatupendani na hiyo ndio asili yetu. Wenzetu wazungu wana ile hali ya kujali, kuthamini na kutambua utu wa mtu. Nadhani inaweza kuwa sio wazungu wote ila asilimia kubwa wapo hivyo tofauti kabisa na sisi wagu weusi. Na kusema hivyo hakuna maana kuwa nawatukuza, hapana. Ni hali ya kukubalina na ukweli. I can't resist reality. Na kuhusu maswala ya utumwa hizo ni historical moment. Hivi unadhani katika dunia ya leo ukiwaambia waingereza watutawale tena watakubali?! Jibu ni kuwa hawatokubali. Usisahau pia kuna wazungu waliwahi kutawaliwa na wazungu wenzao, vipi na hao wachukiane eti kwakuwa walitawaliwa?!
 
Rejea tena andiko langu mkuu. Thamani ya pesa sio logic ya andiko langu, thamani ya utu ndio kitu nilichotaka kukiwasilisha. Shilingi 10,000 haikuwa pesa kubwa sana, lkn tujiulize ni wangapi walipita kwa yule kijana na wakata huduma kisha hawakumlipa hata shilingi ilihali mfukpni walikuwa na zaidi ya milioni moja??!!!

Huyo Diamond anaweza kwenda Ulaya kama ulivyosema lakini asisaidie wasiojiweza.

Wazungu tena watu wa kawaida tu wana kariba ya kuja Afrika na kusaidia watu wasiojiweza. Sasa jiulize umewahi kusikia waafrika wanakwenda ulaya kusaidia wasiojiweza?! Hapo ndio utajua sisi waafrika tukoje.
 
Unazidi kudidimiza uafrica wako.

mbona unasemea waafrica wote?
Mzungu mmoja amekupa imani wengi wapo ivo.

mwafrica yupi amefanya uone wote tuko ivo!?

bado unachanganya utu na utaifa!
 
Wewe sio tu Mwafrika bali ni mtu mweusi kama mkaa.
 
Wazungu wapo hapa wanafanya mambo mengi sana ndugu,hawapo hapa nchini kufanya kazi au biashara zenye faida laki sita au milioni kwa mwezi,wapo hapa aidha vocationa au wana ma deal ya mamilioni kwa siku au kwa wiki

Huyo mzungu huenda anakaa oysterbay au masaki analipa rent 3000usd elfu 10000 kitu gani kwake na hayo ndo maeneo yao ya kukaa na hizo ndo rent zao wanazolipa
Lkn sisi waswahili ndio tuna vigari vyetu huko mabarabarani ila vipato vyetu vinatutosha wenyewe na familia zetu au pengine pia hata havitutoshi ndo maana utoaji wetu kwa wenye shida pia umekuwa duni.

Na si kila mwenye gari ana hela,pia si kila mswahili hulipa hao madogo sh 100 au 200 wapo wanaotoa zaidi isipokuwa wewe umegumia hilo tukio la mzungu...
 

Ngoja nimalizie kupinga nyungu kwanza.

Achana na mabeberu hao. Kwanza sisi ni nchi tajiri sana. Mitumba sasa hivi inatoka kwetu kwenda kwao.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii nchi ilikuwa imechezewa sana!
 
Niwe mkweli tu akimwagia maji huwa nawasha wipers haraka na kufuta mwenyewe huku nikimsisitiza aache. I guess I'm a typical Tanzanian.
Tena nakasirika sana. Ki ukweli maisha wala hayatuchukulii kirahisirahisi hivyo, kwamba maji kwenye kioo kitu ten daahh mbona wote tungefanya hio kazi.

Maisha ni magumu ni mapambano haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…