FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
We mleta mada ni mpumbavu katika wapumbavu na ni mtumwa wa akili. Wewe unadhani kwa siku wanaokuja kusafisha kioo wako wangapi? Mimi binafsi kioo changi wanasafisha hata mara 10 kwa siku, na unampa 200 token tu, sasa umpe 10,000/= ndio ili uwe kama mzungu? Mara 10 ni 100k, kwa kuosha kioo ambacho nikibonyeza button ya wiper inatoa povu na kufuta automatically? Halafu pia kzi ni maelewani, huwezi kumfanyia mtu kazi bila makubaliano kwanza, otherwise ni harassment. We mtumwa kama watumwa wengine tu,