Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo siyo muhaya, hakuna muhaya wa hivyo.There is something went wrong ! Hamza is not a criminal but is a victim.
Hicho kichwa cha habari sio kiingereza.. Grammar fake, unaaibisha wahaya. Uwe unaandika kiswahili tu.
She cry! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Nilikuwa nasikiliza wimbo wa Bob Marley unaitwa Johnny was! Yes Johnny was a good man so is Hamza ! Wore wawili wameuwawa na bullets by the system! Bob aliimba, Woman hold her hands and cry as her son has been shot down in the street and die, just because of the system! She cry!! I know Johnny was a good man!!! Just like Hamza was!! Nna wajua polisi vizuri Sana, mnakumbuka kesi ya Zombe? Ndo haya Sasa! Hamza was a good Man!!
Mkuu utakuwa unatania, yaani watu wasubiri taarifa ya polisi kama ile ishu MoTusubiri taarifa rasmi ya polisi.
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Unatakiwa uwahi kituo cha polisi karibu yako kutoa ushahidi .tusaidie tafadhali.Stori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.
Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kidogo kuna kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?
Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kidogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kidogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?
Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.
Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020.
Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi kwani ni mfanyabiashara wa madini.
Tukio la leo linahitaji tume huru ya uchunguzi.Jeshi la polisi linalijua tukio hili nje ndani na halitaweza kujichunguza.
Inasemekana kuwa taarifa zilizotolewa na family member ni kuwa tukio limesababishwa na kisasi. Dhuluma ndiyo sababu ya kisasi.
Bwana Hamza amechukua sheria mikononi kwa kuwa misingi ya haki katika nchi kwa sasa imefikia kileleni katika kuoza.Polisi wako busy katika kudhulumu watu,kupora mali za uma na kuitumikia CCM badala ya kuwatumikia wananchi.
Nategemea kuona matukio mengi ya watu kuchukua Sheria mikononi yakiongezeka kwa kuwa mamlaka za haki zimegeuka kuwa mamlaka za kukandamiza haki.
R.I.P HAMZA. Dhahabu zako wamechukua na Uhai wako Pia.
View attachment 1908628View attachment 1908629View attachment 1908630View attachment 1908631View attachment 1908632
View attachment 1908644

.......... siyo kwa polisi au afisa yeyote wa serikali inayotawala TanzaniaPolisi ni mtu anaepaswa kuwa msafi asiye na doa. Ni ngumu sana polisi mwenye mawaa kutenda haki kwa raia.
😂🤣Taifa lilipoteza shujaa.
YeahUnaweza kuta hao wadhulumaji ni mapolisi wenye vyeo vya juu
yule sio mjinga akung'ute polisi tu wakati raia walikuwa kibao
HawaweziJamani! Tangu enzi za Zombe Polisi hawajabadilika?
Bwana Hamza amechukua sheria mikononi kwa kuwa misingi ya haki katika nchi kwa sasa imefikia kileleni katika kuoza.Polisi wako busy katika kudhulumu watu,kupora mali za uma na kuitumikia CCM badala ya kuwatumikia wananchi.
Waporaji...polisi wajuwe una hela lazima watakutimbia wakuporeHawawezi
Afadhali umemuambiaJama kanishangaza sanaaa, yaani alitaka mwamba akavamie kituo kizima cha police. Kwani aligombana na police woteee?,yeye alimalizana na wabaya wakee