Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Sijajua expert wangu,lkn kama ni mda mrefu wa masaa Sita hope utaonekana sehemu nyingiUtaonekana all over TZ!?
Kunafaida gani? Zaid ya kuongeza ushamba kwenye kitabu cha listView attachment 3467406
Habari
Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi
Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya
Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa
Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare nanyi, watoto wajifunze kitu
NI hayo tu!
Kushare picha ndipo kulipelekea Jf ikavamiwa aiseee....🤨Tuzidi kushare pictures
Naheshimu maoni yako expert wangu,kwetu sisi ni kushuhudia matukio mahimu ya kiduniaKunafaida gani? Zaid ya kuongeza ushamba kwenye kitabu cha list
Ila sio za namna hii hahahKushare picha ndipo kulipelekea Jf ikavamiwa aiseee....🤨
Moja kati ya faida zake ni kufungiwa kwa huu mtandao kama hiviKunafaida gani? Zaid ya kuongeza ushamba kwenye kitabu cha list
sawa ukishauona un PMNaheshimu maoni yako expert wangu,kwetu sisi ni kushuhudia matukio mahimu ya kidunia
Sa kwani mwezi una uhusiano wowote na chi 🙄Sio kwamba tukizidi kushare picture serikali itaongeza muda wa ban kwa jf?
Hivi kiimani ni nini hasa kinatokea kipindi mwezi unavyokuwa hivyo, maana watu wa imani za budha na hindu wanasema milango ya ulimwengu mwingine (dimension) huwa inafunguka, nimeona hapo min-me kagusia ni siku nzuri kwa meditation, pia mtume kasema ukiona hiyo hali utakiwa uswali na kuomba hifadhi kwa mungu, hivyo ni nini hasa huwa kinaendelea kwenye kupatwa hukoView attachment 3467406
Habari
Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi
Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya
Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa
Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare nanyi, watoto wajifunze kitu
NI hayo tu!
===
Taarifa ya mamlaka ya hali ya hewa Tanzania
View attachment 3467409