Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
Tuwatumie kombora pia PSRSKwa sisi waganga na wachawi, tutatumia huo wakati kutuma kombora letu kwenda kwa mmoja wa wagombea urais hapo nchini tanzagiza na kumfanya awe na akili timamu.
Hao nao nawafikiria 😂Tuwatumie kombora pia PSRS
Fanya hivyo mkuu tulambe asali.Hao nao nawafikiria 😂
Hilo kombola limuepuke mpendwa wangu JIPU la KISULISULI wa kisutuKwa sisi waganga na wachawi, tutatumia huo wakati kutuma kombora letu kwenda kwa mmoja wa wagombea urais hapo nchini tanzagiza na kumfanya awe na akili timamu.
Kwa upande wa Uislamu hayo ni matukio makubwa ambayo Mwenyezi Mungu anaonyesha waja wake wapate kuzingatia na kujua kwamba hakika ipo siku moja huu ulimwengu utafikia mwisho,na dalili moja wapo za heka heka ambazo zitatokea siku ya kiamaHivi kiimani ni nini hasa kinatokea kipindi mwezi unavyokuwa hivyo, maana watu wa imani za budha na hindu wanasema milango ya ulimwengu mwingine (dimension) huwa inafunguka, nimeona hapo min-me kagusia ni siku nzuri kwa meditation, pia mtume kasema ukiona hiyo hali utakiwa uswali na kuomba hifadhi kwa mungu, hivyo ni nini hasa huwa kinaendelea kwenye kupatwa huko
Nimefika hapo nkadhani TMA wameamua kuahirisha hili tukio....➖ TAARIFA➖
KUPATWA KWA MWEZI
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kuwa tukio la kupatwa kwa Mwezi linatarajiwa kutokea leo tarehe 7 Septemba 2025, tukio ambalo hutokea wakati Dunia inapita kati ya Jua na Mwezi
siku nzuri ya kurelease bad energy piaHivi kiimani ni nini hasa kinatokea kipindi mwezi unavyokuwa hivyo, maana watu wa imani za budha na hindu wanasema milango ya ulimwengu mwingine (dimension) huwa inafunguka, nimeona hapo min-me kagusia ni siku nzuri kwa meditation, pia mtume kasema ukiona hiyo hali utakiwa uswali na kuomba hifadhi kwa mungu, hivyo ni nini hasa huwa kinaendelea kwenye kupatwa huko
Kwani afande fetty umesikia wao wanaamua litokee au lisitokee🤣🤣Nimefika hapo nkadhani TMA wameamua kuahirisha hili tukio....
Haya afande tuendelee kazi na posho tunasonga mbele.
Ndio wakiamua hili tukio linasogezwa mbele.....😁Kwani afande fetty umesikia wao wanaamua litokee au lisitokee🤣🤣
Imekuwa tume ya uchaguziNdio wakiamua hili tukio linasogezwa mbele.....😁
How is itWale watu wa meditation hiyo ni siku nzuri sana kwao ya kutahajudi
Wanafahamu wahusika mkuuHow is it